Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Hii fani kuna mjomba wangu alikua analipwa 3k kwa siku nikaona huu ujinga
Mkuu, hapa naona unamtukanisha mjomba wako bure tu....
Yaani unaniambia ni jinsi gani mjomba wako hakuweza kushirikisha akili na maarifa kwa ukamilifu....
Anyway, pengine kabla hauja mhukumu mjomba wako labda wakati wa ujana wake kuna ngazi aliruka na sasa ukaona analipwa 30,000 akiwa tayari amesha kua mzee/nguvu zimeisha
 
1.Electrical installation
2.Plumbing and pipe fitting
3.Refrigeration and air condition
4.Fitter mechanics

Hzo kozi kama umepiga moja wapo kukaa na njaa ni kujitakia.kwaio dogo jitathimini upya.ova
Asante sana ndugu, Mungu akubariki sana.....
Na ikiwa kijana hajakua na majukumu, tena asiwe mlevi (kama mimi), asiendekeze zinaa na starehe zingine kwa kazi hizi anweza pia akapata mjengo wa maana ndani ya muda mfupi sana.
 
Ungekuwa fundi ungenielewa zaidi. Nachomaanisha hata akilini haiwezi kukaa ety nafanya kazi ya laki 4 alf naambulia elfu 40 sindo kufa maskn kwenyew huko

Hiyo ndiyo shida ya kufanya kazi bila mikataba, mikataba ndiyo makubaliano ya kazi kabla hujaanza kufanya kazi yenyewe, mikataba lazima iwekwe kimasndishi mbele ya mwanasheria, mikataba hiyo ndiyo itakulinda mbele ya sheria.

Kwa msingi huo tatizo sio huyo boss, tatizo ni wewe kutokujua nini maana ya mapatano.

Sasa popote uendapo kutafuta kazi au hata ukiwa ni boss katika kampuni yako binafsi na umeajiri watu, mapatano au mikataba ya kazi au ajira ni muhimu kwanza.

Sasa kuanzia leo usilaumu aina ya kazi laumu aina ya mikataba/mapatano ya kazi.

Umesikia dogo?!!🤣
 
Unapoajiliwa tambua upo kwa lengo la kufanikisha ndoto ya boss wako..
Inabid utambua wewe unataka nn na iushi ndan ya njia zako ata kama umeajiliwa
 
Nani kakwambia kua naongea story zakuambiwa? soko la machinist ni kubwa sana hasa huko Middle east kwenye nchi zinazochimba mafuta,naongea ninachokijua kijana,

Inaonekana umasikini wako na kufeli kwako kunatokana na ubishi wako wa kijinga,haya endelea kufuga ujinga na umasikini ngoja nikuache ulivyo.
Mbona unapanic bro ni kueleweshana na kuelimishana nlikuwa kmy coz nilikuwa job.
 
Mkuu, huyo dogo amekuingiza choo cha watoto.
FTC ama VETA hakuna course yenye jina la ainahiyo.
Lakini hiki tunacho kijadili hapa kinafundishwa kwenye FITTER MECHANICS course.
Na nimeambatanisha cozi zote hapo chini zinazo tolewa na VETAView attachment 1662924
Hehehe, huyu mtaalam wetu ameshindwa kuandika fitting and turning, ila kaweza kulalama tu.
 
Ukisema mtaji mkubwa sana, kwako unamaanisha pesa ngapi...??
Yaani mimi matoto yenye tamaa Kama wewe mnanijazaga sum sana haki...[emoji34]
Siyo sumu mkuu sema ujajua tu ila syo kwangu hata kwa mafundi wengn ni changamoto sana. Ebu fkilia mtu kafanya kazi miaka 10 ya kuchonga na hana ktu kwl
 
Waache vijana wajaribu...

Cc: mahondaw
Sija mzuia mtu ila nimezungumza kwa yale nayopitia na kuyaona bro. Kiukwl wakati naskia ufundi ni mzuri nilikuwa natamani sana kuujua ila niliyokutana nayo nitofauti sana. Wanazengo wananiona kama sijui nachoongea ila ukwl mafundi wengi wa kuchonga siyo kama tunavofkili kuwa wanajiweza hapa syo kwl, wana maisha magumu ndiyo ukwl
 
Hiyo ndiyo shida ya kufanya kazi bila mikataba, mikataba ndiyo makubaliano ya kazi kabla hujaanza kufanya kazi yenyewe, mikataba lazima iwekwe kimasndishi mbele ya mwanasheria, mikataba hiyo ndiyo itakulinda mbele ya sheria.

Kwa msingi huo tatizo sio huyo boss, tatizo ni wewe kutokujua nini maana ya mapatano.

Sasa popote uendapo kutafuta kazi au hata ukiwa ni boss katika kampuni yako binafsi na umeajiri watu, mapatano au mikataba ya kazi au ajira ni muhimu kwanza.

Sasa kuanzia leo usilaumu aina ya kazi laumu aina ya mikataba/mapatano ya kazi.

Umesikia dogo?!![emoji1787]
Hapa nimenifunza kitu bro
 
Back
Top Bottom