Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Kufeli kwako wewe sio kufeli kwa wengine,hapo ni sawa na kupata ajali ya Gari kisha uwaambie wenzako kua wasinunue magari coz yanapata ajali,Machinist au machine operator ni kazi kama kazi zingine tu tena hasa ukizijua hizi CNC MACHINE utapiga sana hela na kupata ajira abroad ni simple tu.
 
Kufeli kwako wewe sio kufeli kwa wengine,hapo ni sawa na kupata ajali ya Gari kisha uwaambie wenzako kua wasinunue magari coz yanapata ajali,Machinist au machine operator ni kazi kama kazi zingine tu tena hasa ukizijua hizi CNC MACHINE utapita sana hela na kupata ajira abroad ni simple tu.
Wewe unaongea stry za kuambiwa hii Bongo yenyewe CNC machine hazifiki kumi. Na hata huko nje unaposemea mafundi wapo vile vile . Mimi nazungumza fani hii ni umaskini kutokana naona shida za upataji wa pesa kwa mafundi vipuli ni wachache sana wenye maisha mazuri mkuu
 
Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii fani boss ndiyo anapata pesa tu na fundi anabaki kuganga njaa muda wote.


Sasa unataka wote wawe maboss???.

Kumbuka hata Mungu ni mmoja, yeye ndiye Boss, je unataka Miungu wengekuwa wengi???.

Kama kutengeneza vipuli hakukufai basi acha kazi hiyo kwani kazi zipo nyingi tu lakini usidhalilidhe kazi ya kutengeneza vipuli inayosaidia viwanda na shughuli nyingi za kimaendeleo.
 
Unachobishia hapa ni kama mtoto mdogo anapoambiwa ukikuwa ndiyo utayaona na alikuwa anayaona kwl [emoji23]
Ulipaswa kuongelea changamoto ya fani yako lkn si kuwashauri watu wasisomee.
Kukosa mtaji si kila mtu atakosa..kwani hao uliowaita maboss wamepata wapi mtaji?
Halafu unadhani vipuli vikiachwa kutengenezwa kwa ukosefu wa mafundi nini kitatokea?
Tafuta solution ya changamoto zako au badili fani
 
Sasa unataka wote wawe maboss???.

Kumbuka hata Mungu ni mmoja, yeye ndiye Boss, je unataka Miungu wengekuwa wengi???.

Kama kutengeneza vipuli hakukufai basi acha kazi hiyo kwani kazi zipo nyingi tu lakini usidhalilidhe kazi ya kutengeneza vipuli inayosaidia viwanda na shughuli nyingi za kimaendeleo.
Ungekuwa fundi ungenielewa zaidi. Nachomaanisha hata akilini haiwezi kukaa ety nafanya kazi ya laki 4 alf naambulia elfu 40 sindo kufa maskn kwenyew huko
 
Wewe unaongea stry za kuambiwa hii Bongo yenyewe CNC machine hazifiki kumi. Na hata huko nje unaposemea mafundi wapo vile vile . Mimi nazungumza fani hii ni umaskini kutokana naona shida za upataji wa pesa kwa mafundi vipuli ni wachache sana wenye maisha mazuri mkuu
Mkuu kwa uzoefu wako ili uwe na ofisi yako kwa kupata mashine za kuanzia kazi inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani ?


Na cash flow ya mwezi inaweza kuwa kiasi gani?


Tuanzie hapo kwanza
 
Ulipaswa kuongelea changamoto ya fani yako lkn si kuwashauri watu wasisomee.
Kukosa mtaji si kila mtu atakosa..kwani hao uliowaita maboss wamepata wapi mtaji?
Halafu unadhani vipuli vikiachwa kutengenezwa kwa ukosefu wa mafundi nini kitatokea?
Tafuta solution ya changamoto zako au badili fani
Sikupingi kwa hilo na jaribu kuwashauri watu kotaka na nayo yaona kwahyo ni mtu achague mwnyw
 
Wewe unaongea stry za kuambiwa hii Bongo yenyewe CNC machine hazifiki kumi. Na hata huko nje unaposemea mafundi wapo vile vile . Mimi nazungumza fani hii ni umaskini kutokana naona shida za upataji wa pesa kwa mafundi vipuli ni wachache sana wenye maisha mazuri mkuu
Nani kakwambia kua naongea story zakuambiwa? soko la machinist ni kubwa sana hasa huko Middle east kwenye nchi zinazochimba mafuta,naongea ninachokijua kijana,

Inaonekana umasikini wako na kufeli kwako kunatokana na ubishi wako wa kijinga,haya endelea kufuga ujinga na umasikini ngoja nikuache ulivyo.
 
Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye u/masikini, Hii fani boss ndiyo anapata pesa tu na fundi anabaki kuganga njaa muda wote.
Boss ni nani na fundi ni nani?
 
Back
Top Bottom