BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,487
- 3,685
"Fitter and Turner" lakini anachosema hakina ukweliHio kozi kwa kiingereza inaitwaje mkuu?
"Fitter and Turner" lakini anachosema hakina ukweliHio kozi kwa kiingereza inaitwaje mkuu?
Inautamua gn mzee ebu nipashe niijueBasi wewe umesomea ambayo siyo ungesomea "Fitter and Turner" ungejua utamu wake
Halafu mbaya zaidi unakuta boss hajasomaHabari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii fani boss ndiyo anapata pesa tu na fundi anabaki kuganga njaa muda wote.
Inauma knm ynHalafu mbaya zaidi unakuta boss hajasoma
Utamu wake ukibobea kwenye hiyo fani unakuwa mtaalamu wa kuunda baadhi ya mashine kirahisi sana.Inautamua gn mzee ebu nipashe niijue
Tatizo ofisi iwe yako ndy utapata pesaUtamu wake ukibobea kwenye hiyo fani unakuwa mtaalamu wa kuunda baadhi ya mashine kirahisi sana.
Unaweza kuanza kama mwaajiriwa ukiwa na lengo la kuanzisha ofisi yakoTatzo ofisi iwe yako ndy utapata pesa
Mbona hela nzuri,ni 10% hiyo.Ungekuwa fundi ungenielewa zaidi. Nachomaanisha hata akilini haiwezi kukaa ety nafanya kazi ya laki 4 alf naambulia elfu 40 sindo kufa maskn kwenyew huko
[emoji16][emoji16][emoji16] Yani ni balaa...Amakweli nimeamini duniani kuna watu waongo....
Hivi mkuu, unaelewa kweli ulicho kiandika..??
Ama pengine haukuelewa swali ulilo ulizwa...[emoji848]
Mkuu naona dogo kakukera hatari!,[emoji16][emoji16][emoji16]Ebu acha endezi mtoto, yaani hizo siku mbili upo kwenye fani ndipo unajifanya mwanakujuuuua... p.mbafu sana.
Yaani wewe naona tatizo lako limeanzia kwenye akili yako ilio ongozwa na tamaa.
Utakuaje Boss bila kuijua kazi? Uboss unaupata kwa kuanza na kazi yenyewe nje ya hapo umerithi pesa.Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii fani boss ndiyo anapata pesa tu na fundi anabaki kuganga njaa muda wote.
Sana mkuu, lakini ndio uzazi tunapaswa kufoka kidog then tuna sameheMkuu naona dogo kakukera hatari!,[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Haswa......Si ndio hiyo mnaita filter and turner
Hili wazo ni zuri san. Sema biashra ya share inatakiwa apatikane msimamizi muhaminifu sanaMbona hela nzuri,ni 10% hiyo.
Kama ukiweza kupata kila siku kiasi hicho,kwa mwezi unakiasi gani?
By the way,mitambo ya kuchonga chuma bei gani?Mafundi mkianzisha kikundi chenu mkachukua mkopo hamuwezi kumiliki mitambo yenu mkajiongoza?
Mtaji kiasi gani ?? Nafikiri ungefanya clarification kwanzaNa hata kama ukisema usome uwe boss hii fani mtaji wake ni mkubwa sana