Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Ufundi wa kuchonga vipuri ni umasikini

Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii fani boss ndiyo anapata pesa tu na fundi anabaki kuganga njaa muda wote.
Sio kweli mkuu, ebu acha kuwadanganya wenzako.
Machinist ni kazi nzuri na ukitumia akili na maarifa yako inalipa zaidi hata ya watumishi wengi wa serikali.
Tatizo ninalo liona kwako wewe/vijana wengi ni tamaa ya kutaka kufanikiwa kwa haraka. Tena vijana wengi (kama wewe) mnaumizwa sana mnapo shuhudia owner anapata mpunga mrefu huku wewe ndie ukiwa mchongaji.
Mkuu, ebu tulia na fanya kazi tena ujiwekee malengo na ukiwa mwenye nidhamu na fedha hakika utaupata mtaji na one day utanunua na kumiliki Lathe, Mill na Boring...
 
Siwatishi ila nawaambia ukweli mimi mwneyewe nipo kwenye fani hii na nayaona mkuu
Ebu acha endezi mtoto, yaani hizo siku mbili upo kwenye fani ndipo unajifanya mwanakujuuuua... p.mbafu sana.
Yaani wewe naona tatizo lako limeanzia kwenye akili yako ilio ongozwa na tamaa.
 
Ungekuwa fundi ungenielewa zaidi. Nachomaanisha hata akilini haiwezi kukaa ety nafanya kazi ya laki 4 alf naambulia elfu 40 sindo kufa maskn kwenyew huko
Tena kwa taarifa hiyo 40,000 per 400,000 unalipwa nyingi sana.....
Tatizo lako nishakuambia ni kwamba unamuhesabia owner anaingiza shingapi wakati haujui anatakiwa kulipia umeme, kodi, ulinzi, maji, machine zijilipe na yeye apate faida.
Bwege kabisa wewe, tena ngoja nikublock kabisa jinga sana....😠😠
 
Tena kwa taarifa hiyo 40,000 per 400,000 unalipwa nyingi sana.....
Tatizo lako nishakuambia ni kwamba unamuhesabia owner anaingiza shingapi wakati haujui anatakiwa kulipia umeme, kodi, ulinzi, maji, machine zijilipe na yeye apate faida.
Bwege kabisa wewe, tena ngoja nikublock kabisa jinga sana....[emoji34][emoji34]
[emoji3][emoji3]
 
Wewe unaongea stry za kuambiwa hii Bongo yenyewe CNC machine hazifiki kumi. Na hata huko nje unaposemea mafundi wapo vile vile . Mimi nazungumza fani hii ni umaskini kutokana naona shida za upataji wa pesa kwa mafundi vipuli ni wachache sana wenye maisha mazuri mkuu
Kuna wenzako wanakushangaa sana manake wanapiga hela sio mchezo shida ni mindset yako mbovu unataka kila mtu aichukie haiwezekan
 
Tena kwa taarifa hiyo 40,000 per 400,000 unalipwa nyingi sana.....
Tatizo lako nishakuambia ni kwamba unamuhesabia owner anaingiza shingapi wakati haujui anatakiwa kulipia umeme, kodi, ulinzi, maji, machine zijilipe na yeye apate faida.
Bwege kabisa wewe, tena ngoja nikublock kabisa jinga sana....[emoji34][emoji34]
Eti bana kashindwa kuelewa wakati anachonga alitumia umeme, maji, bado yumo ndani ya jengo linalohitaji kuja kulipiwa. Ebu tuchukulie kazi zimechanganya alafu kasema analipwa elfu 40 kwa kila siku atakuwa sawa na anayelipwa sh 19,200 kila siku machinist taasisi fulani ninayoifahamu ya serekali? Daah huyu jamaa bado hajajua kuchezea Lathe.
 
Huyu mtoto leo ingewezekana ningeomba Mods wamtoe huko nyuma ya keyboard ili nimuone kwanza nimtie khelbu...☹️☹️
 
nilikuwa nasoma tu imebidi ni log in...unatakiwa uchange mindset yako..hio kazi umeajiriwa au ni kibarua kama ni kibarua au unalipana posho amekupa kubwa mmno..hata kama ujuzi ni wako akikuachia hio ofisi uiendeshe kwa ubongo wako ulivyo huwezi kumlipa hata fundi mmoja kiasi hicho....hapo kuna watu wa osha wanakuja kuchukua chao,watu wa fire,watu wa wizara ya viwanda...achana na wazee wa kukadiria tra....kama analipwa nalazima atakuwa anatumia efd..angalia kwenye hio pesa vat au kodi ni sh ngapi alafu toa na aliyokupa uone kama sio laki tatu...bado kodi ya jengo hata kama ni lake lazima itolewe umeme na gharama za kuendesa ofisi..siku hata kazi kama haipo mnalishwa msosi na kunywa maji au kuoga hapoa hapo bills analipa nani...kama vipi nenda kalime tikiti upate mtaji ugungue ukianza na less machine m4 itakutosha ...alafu material ya kutengeneza kipuli ni ya kwako....huyo bossi atakufa maskini....asipoangalia umeniudhi kiasi kwamba ungekuwa karibu ngekunasa kofi la kidari
 
Back
Top Bottom