ng'ombe wa maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa maziwa au bajaj used ipi option nzuri? Changamoto zake

    Nipo kwenye mchakato wa kugawa pesa katika miradi midogo midogo, nione namna ya kufikia uchumi wa Kati Kwa makusanyo ya tsh 100,000/= Kwa siku na kuzidi, hii miradi ambayo nataka mtaji wake usizidi million 4-5 pia inipatie only 20,000/= per day Nimechakata mawazo mengi nikaona nikimbie uchumia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ng'ombe wa maziwa wenye kiwango cha juu cha uzalishaji na uwezo mkubwa wa kuhimili mazingira tofauti? Wasiliana nasi

    Je, unatafuta ng'ombe wa maziwa wenye kiwango cha juu cha uzalishaji na uwezo mkubwa wa kuhimili mazingira tofauti? Usitafute mbali! Tunao ng'ombe bora kabisa wa kisasa (kama Friesian na Ayrshire/Guernsey crosses) walio katika hali nzuri ya afya, wenye viwele vikubwa na uwezo wa kutoa maziwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Wauzaji wa ng'ombe bora wa maziwa Ng'ombe wetu wana maziwa mengi kwa siku wanakamuliwa lit30 ...pia tuna ndama wadogo kuanzia miezi Mitano tupo makambako 0763 357 978
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aina za mbegu za ng'ombe wa maziwa

    Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza ✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA; --- Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds) 1. Friesian (Holstein-Friesian) - Maziwa mengi sana, rangi nyeusi na nyeupe - Uwezo wa...
  6. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  7. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  8. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio ng'ombe anaetoa zaidi ya lita 20 kwa siku: anaweza kukupa laki 6 hadi 9 kila mwezi

    Katika Darasa letu, mwendelezo wa mafunzo yetu kuhusu ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara. Katika somo letu lililopita, tulizungumzia kuwa ng’ombe bora wa maziwa anaweza kutoa 🥛 lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku, huku mfugaji akipata kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kwa mwezi! 💸 🤔 Lakini je...
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo. Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa maziwa anasumbuliwa na reccurent mastitis. Msaada tafadhali

    Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis hiyo within a week! Please advise!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaamini maziwa ya chocolate yanatoka kwa ng'ombe wa kahawia

    Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui? ==== Seven percent of all American...
Back
Top Bottom