ufugaji wa ng'ombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji kibiashara.....

    Habari Ninafikiria kuhusu kufanya mradi wa ufugaji wa mbuzi, kondoo na ng'ombe wa kienyeji katika shmba kuliko likae idle. Wazo nililonalo ni kuanza na mbuzi jike 15 wa kienyeji na dume moja chorata (Malya Blended kutoka TALIRI) pia kondoo jike 10 na dume mmoja. Kwa upande wa ng'ombe...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Wauzaji wa ng'ombe bora wa maziwa Ng'ombe wetu wana maziwa mengi kwa siku wanakamuliwa lit30 ...pia tuna ndama wadogo kuanzia miezi Mitano tupo makambako 0763 357 978
  3. E

    JamiiForums Tanzania Bull Forge wanunuzi wa ngozi kavu na pembe za ngombe.

    Bull forge ni kampuni inayojishughulisha na ununuz wa bidhaa mbalimbali za ng'ombe. Tunanua Ngozi kavu pia pembe za ng'ombe. Mwenye nazo tuwasiliane 0713879793 0689529041
Back
Top Bottom