Jifunze taratibu kwa kuanzia na wachache
Angalizo, wachache huwa hawalipi Bali wa nakupa uzoefu ambao utakufaidisha pale ukianza kufuga wengi ili kukupa faida
Inahitaji
1. Concentration (muda na Nia thabiti) wanakatisha tamaa sana.
2. Resilience (ustahimilivu na uvumilivu wa kiwango cha juu), wengi wanakurupuka nakuishia pa hovyo
3. Moyo wa kupenda .... Maana wengi huishia kususa nakufilisika hasara hujitokeza Mara kwa Mara hususani unapoanza
-vifaranga wanakufa.....uzoefu wa matunzo
-magonjwa kuvamia na kuua Kuku wako...uzoefu wa matunzo nk
Ndio maana unashauriwa kuanza taratibu. Ukifaulu na kupata udhoefu ndio unafanya shughuli halisi...kufuga wengi kwa faida
Nayafahamu haya maana wife nimfugaji wakuku ameanza kama miaka tatu hivi sasa hivi amefaulu kufaham mbinu na mahitajio yote na anao wengi.
Kila raheri mkuu.
.........................................................