Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Hii thread ndiyo kama ile ya SUNGURA KWA 50,000/- - 65,000/-, hapa wajinga ndiyo waliwao watanunua na kuwafaidisha matapeli, kwani kuku wa laki 2 na wa alfu 20 tofauti iko wapi hasa?! Ladha, ukubwa?!
UTAPELI uliokubuhu kutokana na hali mbaya ya uchumi tuliyonayo, UJINGA KABISA HUU...
 
nahisi hao kuku ni kwa ajili ya ufahari maana kama kuku huwez hata muuzia jirani yako kwa ajili ya kitoweo ni wa nini ,haya twende upande wa nyama ina vitu gani vinayoifanya nyama yake iwe special mpaka huyo kuku awe laki 2,Nina uhakika nyama yake INA ladha ya kuku wa kawaida japo utajisifu nimekula kuchi bwana ,naomba unielimishe basi au ni kwa ajili ya soko LA nje
 
Sikiliza. Wewe umeshaninua. Sasa hivi na Wewe unatafuta wa kumuuzia. Kama utampata mwenye mawazo uliyokuwa nayo wakati ule unanunua, unaweza kuuza. Ila ktk hali halisi hiyo siyo biashara endelevu. Ni kubahatisha watu wasiyojielewa. Ninunie kuku shs 200,000/= kwa sababu gani hasa. Nyama nzuri, mapambo au bondia wa maonyesho ya mapambano? Mimi siwaelewi. Naona kama mlipoteza hela zenu kwa maneno ya kuambiwa. Samahani lakini huenda nimetumia lugha kali kuonyesha hisia yangu
Ni mawazo yako tu upo sahihi.
 
nahisi hao kuku ni kwa ajili ya ufahari maana kama kuku huwez hata muuzia jirani yako kwa ajili ya kitoweo ni wa nini ,haya twende upande wa nyama ina vitu gani vinayoifanya nyama yake iwe special mpaka huyo kuku awe laki 2,Nina uhakika nyama yake INA ladha ya kuku wa kawaida japo utajisifu nimekula kuchi bwana ,naomba unielimishe basi au ni kwa ajili ya soko LA nje
Ndugu yangu hivi unatumia jina gani jf coz hiyo accont ya nyamima ni yangu na naona km mim naitumia na naona alert za commeny unacomment inatokea nyamima pia ina maana tunatumia account moja.. ?au unatumia account yangu naomba log out kwanza then jaribu kuingia tena mana ninachoona huku ni km unatumia account yangu hata sielew vzr nin tatzo.
 
Account yko ina jina gani ndugu yangu?
 
Mininao hao kuchi wanachelewa kukua ila wanakuwa wakubwa mno na wana uzito kweli uwezi linganisha wameshupaa mkao wake
 
Miniliwapatia Tabora jogoo3 na majike4 na hawashambuliwi na ugonjwa wote niliwakuza nimekula nimeuza wanataga kweli nikidogo bt kwa mda waneendelea ndonimechukua mayai yake nitotoleshe
 
Ndugu yangu hivi unatumia jina gani jf coz hiyo accont ya nyamima ni yangu na naona km mim naitumia na naona alert za commeny unacomment inatokea nyamima pia ina maana tunatumia account moja.. ?au unatumia account yangu naomba log out kwanza then jaribu kuingia tena mana ninachoona huku ni km unatumia account yangu hata sielew vzr nin tatzo.
Duh, kamata mwizi men!!
Ukipata jibu utujulishe, maana hii ndiyo naiona kwa mara ya kwanza hapa JF!
 
Hao fuga kwa leisure tu, sio kibiashara af ukategemea kutajirika, utamuuzia nan kuku laki 2 bongo hii hata nje uko had upate mteja kuku ashazeeka
 
.
Asa sikujua tatzo ila niliambiwa bibadik password uwenda itasaidia ndo nimefanya hivyo.
Bado ni tatizo kubwa, mistaken identity is risky sometime.
Ukizingatia hilo jina siyo common kama Ally, Mwita na Kimaro, nakushauri wajulishe mods.
Inawezekana vilevile mko nyumba moja, na ni Mr! Ila hamjuani sababu ID za jf ni siri
 
Mkuu kuna Jamaa alikataa milioni 3 hajauza jogoo la kuchi maeneo Ya kigamboni. Wahindi Na. Waarabu ndio wanapeda Kununua Sana hii Aina Ya kuku.lkn kuna faida kwani Hata kifaranga tu cha mwezi ni elfu 50.na yake ni elfu 15 moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom