Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Salaam kwenu wadau wote wa JF!

Kama title ilivyouliza hapo juu;

kumekuwa na makundi mbali mbali yanayohamasisha ufugaji wa sungura huku yakiuza sungura kama "mbegu" ili watu watekeleze mafunzo kwa vitendo, makundi hayo hunadi sera kwamba sungura wana soko la jumla, lakini kwa bahati mbaya yale makundi huwa yanatokea sehemu tofauti.

Makundi hayo yamewaacha wafugaji wakiendelea kukutana na changamito za kazi hiyo bila kujua nani atakuja kununua bidhaa hiyo, ukuzingatia jamii haina mapokeo ya matumizi makubwa ya bidhaa hiyo

Sasa naomba kuuliza hapa jamvini, umewahi kusikia hizi habari na ama je unaweza kuwa unawajua hao wanunuzi?

Asante naomba mchango wako tafadhali

IMG_20180313_102445.jpg
 
View attachment 725597
Fuga labda Kwa ajili ya kuuza mbolea na mkojo wa sungura Lita moja ni elf tano, utumikia kuuliwa wadudu shambani,
 
hii ni wale walitengeneza porojo wakawatengeneza mafala wakuwapiga kwa kuwauzia mbegu wenyewe na kuwanunu tena wenyewe kwa bei watakayo si upwamu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom