Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Kwa mwenye uhitaji wa hawa viumbe ani PM ila bei ni 15,000.
Wanauzwa kuanzia Sungura kumi na kuendelea.

abexcley1990@gmail.com
Hiyo bei yako ni ya udalali mtu mwenye ujitahidi akitafuta wanapatikana kwa bei ya kawaida tu
Mkuu,mimi nina interest kubwa sana ya kufanya rabbit raising for meat.... na nimeshafuga sungura at a small scale..., niliwahi kufuatilia sana project ya sungura na nikapewa guidelines na FAO kuhusu funding programs under Tele food na wakanitumia vitabu viwili vinavyohusu rabbit raising ...tele food funding inaweza kutoa funds kama mtaweza ku form a gorup abayo itaweza kutoa fursa ya kukuza ufugaji wa sungura at the sme time kuzalisha sungura wa nyama kama mbadala wa chakula katika jamii

Nashauri tuwasiliane tuone tunaweza vipi tukaanzisha umoja wa ufugaji wa sungura na kushawishi umma kuhusu nyama ya sungura ili tupate soko kutoka kwa wananchi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo kigoma huku manyovu border sungura 4000 mkubwa kazi ni kwako ukihtaji just ni P.M tu
 
Kama Kichwa kinavyojieleza naomba kupewa uzoefu kuhusu ufugaji wa sungura na changamoto zake. Pia Ningependa kufahamu hali ya soko la sungura ikoje?
Nategemea kupata ushauri na uzoefu wenu ili na mimi niweze kuchagua fursa miongoni mwa fursa nilizoziona na kuzisoma hapa JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom