Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,666
- 19,674
Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAIStory za Wajasiliamali wa Kibongo huwa mara nyingi ni za kuingizana Chaka, Mwishowe unabaki unawaya waya na bidhaa zako!!!