Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

JE UNATAKA KUFUGA NYUKI KWA NJIA YA KISASA NA KIBIASHARA ZAIDI

THE HIVE LTD TANZANIA WANASHUGHULIKA NA MAMBO HAYA

MPIGIE MENEJA MIRADI BW. Nicas Mbeikya 0653 930 391 au 0653242627 Kwa maelezo ya kupatikana kwa soko,mizinga na vifaa vyake vya kisasaaa.
 
ofis wapi... huduma za ushauri je?
 
Hivi mzinga ukiweka nje tu nyuki wanauona?
Nyuki anao uwezo wa kunusa zaidi ya km 3 na kuna chambo ambayo huwekwa ndani ya mzinga kwa kuinusa nyuki huingia kwenye mzinga na kukuta mazingira bora ya kuishi. Na hivyo unakuwa umesha muweka katika imaya yako. Jambo hili hufanyika si zaidi ya siku 45.
 
Hii ni kwa nyuki wakali au wapole?
 
Habarin wakuu kwa mwenye uelewa naomba anijuze mbao ya mti gani inafaa kujengea mizinga ya nyuki...jion njema
 
Kazi nyingine ya propolis ni kuvutia nyuki ili waingie ktk mzinga mpya,yaani ukishapata mzinga mpya,nenda shambani kwako, fungua ndani ya mzinga kisha paka ktk kuta za mzinga hiyo propolis yako,funika na uondoke. Usifanyie nyumbani kwako,kwa sababu unaweza ukasahau kupeleka shamba na nyuki wakaingia mchana, watoto wako au wa jirani wakachezea. Balaa lake si dogo.
Mkuu hii propolis inapatikana wapi? Nimejenga mzinga wangu mmoja mdogo najaribu kujifunza ufugaji nyuki
Anayejua elimu/ujuzi wa ufugaji wa Nyuki, Mizinga bora,ulinaji asali na soko la asali atupe elimu. Natamani kufanya biashara hii.

View attachment 408472
===========
 
mimi nina habari za kutosha juu ya biashara hii, soko la bidhaa zote zitokanazo na nyuki, mizinga ya nyuki ambayo unaweza kuvuna mara 5 kwa mwaka na vifaa vya kuvunia asali na kujikinga using'atwe. nicheki hapa 0653242627
 
Sio lazma kusubiri nyuki waingie katika mizinga yote hamsini, ipo njia ya kuwezesha mizinga yote kuwa na nyuki kwa muda mmoja. Hayo yote utayafahamu ukifika ofisi zetu
We weka maujuz hapa tuyapate sasa huko ofisin tunafata nini ? Wengne wapo mbali nahapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom