Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Mnahangaika na Ufoo Saro .... kila MTU mwenye akili timamu hivi sasa hawezi kuifurahia CCM imetufikisha pabaya sana. ondoa/ futa kabisa CCM
 
hiyo mipasho kawaambie wale wahariri wa Uhuru Radio na Habari Leo gazeti!
 
ITV inatenda haki na ITV ndio TV ya umma. Nawapongeza ITV kwa kutoa taarifa zote bila wasiwasi na bila kuchakachua huo ndio weledi ITV
 
Watu wana matatizo hata katika vyombo vya habari kuna watu wanamlengo wao kisiasa ITV kuna MTU anaitwa GONDWE so CCM yule umewahi fuatilia habari zake anapo zungumzia habari inayobhusu UKAWA?? au CCM?? acha mambo yako mtoa mada bila shaka umetumwa ww hapa juz ZITTO amekutwa NA watu Fulani wakiganya vikao vya pamoja watu nao ni wa chama tawala he kuna Democracy hapo?? Tujadili mambo kama Haya yatatusaidia
 
Huko kwenye ccm mi sipo. Mimi nina yangu, mpaka leo najiuliza yule jamaa aliejiua aliona nini kwa kale kamama. Kamekomaa..!!
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Bora ITV ambao hiyo habari wanaisoma kuliko TBc ambao wanairuka Wazi Wazi
 
Watu wana matatizo hata katika vyombo vya habari kuna watu wanamlengo wao kisiasa ITV kuna MTU anaitwa GONDWE so CCM yule umewahi fuatilia habari zake anapo zungumzia habari inayobhusu UKAWA?? au CCM?? acha mambo yako mtoa mada bila shaka umetumwa ww hapa juz ZITTO amekutwa NA watu Fulani wakiganya vikao vya pamoja watu nao ni wa chama tawala he kuna Democracy hapo?? Tujadili mambo kama Haya yatatusaidia

Hata jana walikuwa pale Double Tree Hilliton Masaki yaani Zitto, Mangula na Nape.
Sasa sijui ndiyo Upinzani wa kweli?
 
MUUMBAJI WETU ANA MAKOSA,makosa ni yetu sisi TUNAOJITOA UFAHAMU...
 
Back
Top Bottom