Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Acha maneno ya ovyo ww,unaushahidi na Hilo swala,??mbona tbc hawatangazi kabisa habar za ukawa Kwan ili television ya ccm??ovyoooo kabisa
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Yaaani Huyu jamaa na post zake za kijingaaaa hachokiii tuu ndoo maana nakuitaga
Bedwiiiii huna lolote yaaani kwan kicheka unamlazimisha mtuu???
Kama hanamood acheke tuuuu.....
We vipiiii wewe
Ccm TV yao ni ipiii,? Au shoboo tuu
TBC ni ya watz cyo ccm ooooh!!
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa
mwanaume gan?!! unakuwa na manane ya kimbeya ivo.!!
 
HII NDIYO TV YA TAIFA IANGALIE HALAFU UWE NA LAKUSEMA NA ITV.

TAFAKARI SANA
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe unaangalia habari kwenye tv au unawasha tv kuangalia sura za watangazji?
Acha udigidigi uchwara, mwache dada wa watu aripoti habari. Kwanza she is a good reporter I have ever seen in Tz, sauti yake na anvyosimulia matukio inavutia sana, she is mwaaa.
Pole kwa kufiwa na mumeo Uffo, kama vipi ntamuo kabisa ili roho ikuumw we mbutura wa Lumumba
 
Huo ni ubaguzi kwa vile yeye anatoka kaskazini, watu kama hawa ni wa kumuogopa kama ukoma
Namuogopa lembu na ukanda alotokea kama EBOLA mana ni wabaguzi wenye upeo mdogooooo
 
Acheni Uchochezi wa ajira ya huyu dada, kwani akiachishwa kazi utapewa nafasi yake? Nyani kweli haoni kundule hivi TBC ni chombo cha CCM au Taifa? Mbona mwandishi alivyoruka leading story ya gazeti la Majira hukumsema?

Ama kweli akili ndogo ni shidaaaa.
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Duuuuuh
ITV umeona ila TBC hujaona?
 
Kwani habari nyingi za ccm za hivi karibuni ni za majonzi tupu mara wamepigana na viti mara huyu kakatwa mara kahama hivi afurahi kwa lipi apo?
 
Back
Top Bottom