Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Mwache dada.........
 
Si uangalie TBC tena ushike adabu yako tuachie ITV yetu
 
https://youtu.be/6YKRs2dTgZw
Hii imetokea leo katika uchambuzi wa magazeti kwani mtangazaji aliyekuwa akisoma magazeti anasoma habari ambayo haikupewa uzito wa juu na kuiacha kabisa habari iliyopewa uzito wa juu kisa inamzungumzia Lowassa. Je, huku si kukiuka kanuni za huduma ya utangazaji (maudhui) ya mwaka 2005?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/907923-tbc-yadangaya-hatua-stahiki-zichukuliwe.html
 
Kwa ccm news lazma ukunje sura maana moyo wako utakusuta sababu everyday makada wanaondoka hakuna furaha lazma ukunje sura
 
Tumewapa Tbc muifanye mnavyotaka japo mnatumia kodi zetu, Haya mambo ya ITV Tuachieni
 
Unaboreka na ITv??? Kweli.... Hamia TBC ufaidi taarifa nzuri huna sabab yakukosa taarifa zako Za ccm wakat chanel yenu ipo. Welcome
 
Kama hujaolewa unapoongea habari za mwanaume kama UKAWA ni lazima utatabasamu tu maana wanachofanywa CCM unakubali
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Toroka uje mkuu
 
Itv ni tv ya taifa fanya utafiti ikifika saa 2 itv ndio habari ya tz.safari hii hakuna kununua vyombo vya habari.k'bu kuna source nyingi saizi.
 
Kati ya vituo bora kabisa vya television ni ITV na sasa Azamu two, Kama unataka kupata habari za uwongo we tazama TBC. Watangazaji wa ITV wanasoma habari kama zinavyosomwa na BBC, CNN, France24 na Aljezeera!
 
Unataka awachekee ccm ili iweje..yeye yupo kazini bahati nzuri hajadanganya kama walivyofanya tbccm leo.
 
ITV ndio tva makini TZ ikifuatiliwa na Azam kwa mbali ..Start TV chuki za mmiliki kwa Lowasa zimemnyima nafasi ya kuifanya TV yake iangaliwe kipindi hiki watangazaji waliokuwa na midahalo ya kuvutia km akina Yahaya.
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

kama vipi kula malimao, ufoo yupo sawa
 
Back
Top Bottom