Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Umelazimishwa kuiangalia ITV? Au umeichoka tv yako ta tbc?
 
Vip TBC mkuu? Inabalance habar?? Wakat mwingine tuseme tu ukwel sio chuki binafsi

Umegundua jinsi huyu mleta mada alivyomjinga? Kituo tunacholipia kodi zetu kukiendesha kinafanya upumbav ye anakomaa na vitu vidogo vituo binafsi.... kaolewa na chama huyu
 
Msimchafulie dada wa watu cv yake, hayo ni maneno ya uchochezi km mna chuki zn binafs msizilete humu. Shut up.
 
huyu atakuwa amepigwa kibuti na Ufuo hana lolote!!

peleka ngebe zako TBC tuache sie na Mengi wetu.
 
Ulitaka atangaze habari za chama kinachonuka rushwa huku anafurahi?
 
Ulitakaje wewe??

Awe ananuna kama wale wa tbc1?

Huoni ni kwa jinsi gani watangazaji wa tbc1 walivyo kwenye vifungo? Wanatoa habari kwa kujishtukia, hawajiamini, wanajua kabisa si habari zinazokwenda na wakati, wala hazina maslahi ya kitaifa...zimejaa unafiki!!

Nimekuwa nikifuatilia sana kulinganisha hivi vituo, ni ukweli usiopingika kuwa hata watangazaji wa habari wanatakiwa wawe wanafurahia habari wanazozitoa, na sio maigizo.
Pia nina imani kabisa, wakiwa kama raia wengine wa tanzania hawapendi kuvitazama vipindi vya tbc, watakuwa ni wafuatiliji wa vituo vingine vya utangazaji kama itv...

huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea lowassa ahamie chadema/ukawa kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu chadema/ukawa huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini ufo saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya tanzania cha ccm huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za ccm.

Kwenu uongozi wa itv hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie chadema
/ukawa, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni ccm na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko chadema/ukawa ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Waego waanzishe vyao kama CCM walivoanzisha TBC.
 
Kwenda zako bhna umepanic tu.....
 
Hakuna cleverbright ambae mpk karne hii bado anashabikia CCM tu!!! Ni bora ukae kimya sio kushabikia CCM ambayo miaka 50 sasa haina lolote jipya.!! Shit.
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

We sio mzima aiseee!! Nimecheka mno,
 
Back
Top Bottom