Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Stupidity of the highest magnitude! Wewe ulitaka atoe machozi? Ulipashwa kukemea TBS na sio ITV! Kituo cha weananchi ndio kipo 100% biased. ITV ni kituo binafsi haktegemei kodi yako kukufikia wewe.
 
sawaaaa...endelea kutujuza kwa ustadi wa hali ya juu UFOO SARO kama unavyofaya sasa... wanaochuki WAJINYONGE
 
Una inferiority complex jitambue la sivyo soon utakuwa chizi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
haya ufoo tafadhali ukisoma habari ya ccm lazima uchekelee na ukisoma ya chadema lazima ulie la sivyo kazi huna
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

stupid ideas "nawe toka ukatangaze ccm" umekosa mada ya kupost humu.
 
Na huyu wa TBC umekwisha mwambia pia?

Last edited by a moderator:
kawaambie TBC habari za mafuriko wanajifanya hawazioni,
 
mkuu cleverbright saivi itv wamenunua drones kwa ajili ya aerial photos za mafuriko ya UKAWA na ufoo saro ndio atakua akitangaza sasa nakuombea Mungu upone mahaba yako ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Mbona TBC uchambuzi huwa hawasomi habari za UKAWA kabisa!! Si ni afadhari Ufoo Saro anasoma kwa kukunja sura!! Acheni habari zenu!! Mziki ni October!!
 
wapuuuuzi nyie na mtajinyonga tu mwaka mnafikir myawadanya watz siku zote! giza jiran....giza jaman ccm gizaaa nene. wale wasiotaka mabadiliko "na wapigwe tuuu"
 
Kasomeni magazeti yenu kule TBCCM ndo mnajua kueleza hisia zenu kwa kuzificha kuliko mrembo Ufo.......Ufo Yupo juu kama Ukawa hana ubaguzi,
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

achakufuru utalaaniwa na muumba mbigu na nchii
 
Back
Top Bottom