UFO(unidentified flying object) yapita hapa Msasani usiku huu

Unidentified Flying Object. Ilikuwa inaruka at a very low altitude,less than 500 metres. Imepita hapa imewasha taa, ilipowasha taa ndipo imeonekana kwamba inapita kuelekea baharini.
authorized by the government to neutralize the situation in zbar?
kwahiyo 'wa'meanza kupeleka vifaa vya angani au?
 
Drone inapiga kelele. This thing was silent. Nilikuwa nje natembea kuelekea kwenye Gate,kulikuwa na mwanamke pale,anaongea na na nani.anaongea na Afisa Usalama wa Taifa?,ndiyo nilikuwa naenda kucheki. Ghafla,nikageuka nyuma,nikaiona ile UFO. Nadhani yule Afisa Usalama pia ameiona.
 
Andrew,umejuaje kuwa ni Afisa Usalama wa Taifa
 
Kama ameiona na kuitambua kwamba ni UFO maana yake ameshai-identify...inaitwa UFO..what sort of identification do you stil need?
Unajua mi siifahamu UFO nilitaka anipe angalau info chache tu ili niweze kuijengea picha yake.Basi niambie wewe.
 
Huyu jamaa wenye akili ndogo humu ndani itawachukua almost decades kumuelewa ila Mimi nshamuelewa kuwa Zanzibar is under control of military personnel Na mpaka sasa vikosi vingine bado vinazidi kumiminika Zanzibar.
 
Back
Top Bottom