UFO(unidentified flying object) yapita hapa Msasani usiku huu

UFO(unidentified flying object) yapita hapa Msasani usiku huu

Sikuogopa kwa kuwa si Mara yangu kwanza kuiona. Pia najua ipo na ilinunuliwa. Pili nilijua inaenda Zanzibar kwa kuwa kuna joto la uchagizi. Kwa Mara ya kwanza niliona himo Kilimanjaro karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania wakati ule Jk kaingia kwenye mgogoro na Malawi. Nilikuwa mahali nakunywa na askari mmoja tulipo iona akaniambia ni yenyewe inachukua matukio.
Basi sawa,kumbe yetu mie nilijua allien wametuvamia
 
Endrew Nyerere anaanzisha mada nzito ila kwa lugha ya mafumbo sana. Usipokuwa makin unaweza kudhan amepost ujinga ujinga tu.

Duc in Altum
Nadhani kuna kitu[emoji90] tofauti na akili ubongo ambacho kimetumika kuleta mada hii
 
ninyi mnaodhani mtoa mada kaongea lugha ya mafumbo ni walewale mwezi mchanga....
 
Nadhani kuna kitu[emoji90] tofauti na akili ubongo ambacho kimetumika kuleta mada hii
Unadhan labda ametumia kilevi??? Hapana tafakar sana utamuelewa sana.

Duc in Altum
 
Unadhan labda ametumia kilevi??? Hapana tafakar sana utamuelewa sana.

Duc in Altum
Asavali angekuwa ametumia kanywaji angesomeka lkn[emoji90] ?!!!!
 
Unaonesha juha wa ukweli.

Kwetu Tanganyika.

Zanzibar nnawaonea huruma sana wanavyonyanyasika na dunia ipo kimya.
mpaka na wewe mara hii umekuwa na imani, kweli faizafoxy umebadilika siku hizi, manake ulikuwa ukiona kijani wakisulubu raia unafurahi na kuchochea, mara hii imani imekujaa, kweli watu tunabadilika
 
Unaonesha juha wa ukweli.

Kwetu Tanganyika.

Zanzibar nnawaonea huruma sana wanavyonyanyasika na dunia ipo kimya.

Nimefurahi kusikia kuwa baadhi ya wanaCCm hawapendezwi na kinachoendelea Zanzibar
 
mpaka na wewe mara hii umekuwa na imani, kweli faizafoxy umebadilika siku hizi, manake ulikuwa ukiona kijani wakisulubu raia unafurahi na kuchochea, mara hii imani imekujaa, kweli watu tunabadilika
Ana hasira kadokezwa kwenye U-DC hayumo,kamwe FAIZA sio wa kuonyesha sympathy na Zanzibar
 
Hivyo hapo Msasani lazima kuna Library aliyoiacha baba wa taifa- Andrew akipitia hayo ma volume naona yanamchanganya akili
 
VIP ul
Unaonesha juha wa ukweli.

Kwetu Tanganyika.

Zanzibar nnawaonea huruma sana wanavyonyanyasika na dunia ipo kimya.
ulishahama chama,mbona unawaonea huruma,au hauna maslahi unayopata katika awamu hii so umeamua kukaa pembeni.sijawah waza kama unaweza sema kimafumbo namna hii watawala wanaibaka demokrasia na umoja wa afrika uko kimya
 
Unaonesha juha wa ukweli.

Kwetu Tanganyika.

Zanzibar nnawaonea huruma sana wanavyonyanyasika na dunia ipo kimya.
Katika kukujua kwangu kwa bandiko chili umeniongezea matamanio Juu yako.
 
UFO imepita hapa Msasani sasa hivi,saa moja na dakika hamsini usiku,inaelekea baharini,labda inakwenda Zanzibar.

Siyo timu ya Yanga hiyo.....maana mpira wa Tanzania lazima kuwe na wataalam wa UFO na kama kuna gemu kubwa basi lazima wataalam na wachezaji wapae na wale viumbe warushao hiyo sahani kwenda na kurudi Zenji au kufanya shopping baharini tena hadharani kama hawana akili vile.
 
Back
Top Bottom