Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
huyo ni faizafoxy kweli kaandika hiyo post? Au watu wamehijack account yake? au siku hizi imani kwanza joka la kijani baadaye? Au ameshasoma namba enhee mollah msaidie faizafoxy...aminmpaka na wewe mara hii umekuwa na imani, kweli faizafoxy umebadilika siku hizi, manake ulikuwa ukiona kijani wakisulubu raia unafurahi na kuchochea, mara hii imani imekujaa, kweli watu tunabadilika