Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

Kwani wajumbe wa bodi ya chuo huteuliwa na mkuu wa chuo? Tunaweza kuanzia hapo!
Kwa kawaida wajumbe wa Bodi wanatakiwa kuteuliwa na waziri mwenye dhamana ya Elimu. Lakini kutokana na sababu fulanifulani baadhi ya mawaziri wanapokea mapendekezo kutoka kwa wakuu wa Taasisi husika na kuwapitisha kuwa wajumbe wa Bodi. Hebu angalia mpangilio wa wajumbe wa Bodi ya Chuo inayolalamikiwa:

Mkuu wa Chuo (Mchaga); Wajumbe wa Bodi ni Abrahamu Nyanda (Family friend); Christian Nyahumwa (School mate); Suzan Mnafe (Mchaga & girlfriend); Lyne Ukio (Mchaga); Hyacintha Makileo (Mchaga); Karoli Njau (Mchaga); Benedict Lema (Mchaga); Namnyaki Mattasia (Girlfried).

Hiyo ndio Bodi ambayo huenda ilipitishwa na Mh. Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kuwa hao wanatambulika kama wajumbe wa Bodi ya Uongozi ya Chuo.

Unapata picha gani hapo?
 
Hii habari imekaa kimajungu sana. Namfaham Dr Masika. Ni mtu aliyebadilisha ATC kielim kwa kiwango kikubwa sana. Hata kiwango cha elim ATC ya leo ni kikubwa kuliko ya vyuo karibu vyote vya ufundi. ATC ya Masika leo hii sio ile ya kina Mbosoli.
Sisemi kuwa habar ni ya uongo, lakin asilimia kubwa imejaa majungu na uchonganishi..!
 
umeiandika kimbea mbea sana hii thread '' majina hutaji huo ni ushakunaku ''
 
Kamanda,
Heshima yako.
Ili ujiweke kando na kuitwa mmbea/muongo/mzandiki/mfitini nk, weka hoja bila uwoga wala kificho.
Andika kwa majina, muda na mkasa unaofanya iqualify kuwa rushwa ya ngono.

Lakini hii ya kusema soma kwa makini....mara mambo yaanza kujitokeza.....inaonyesha uoga na uongo ulioratibiwa kwa kiwango cha chini mno.

Kama una uchungu kweli na nchi hii....na una nia ya kufichua maovu....funguka to the details.....ELSE...shut up
 
Umbea tu...to a vielelezo na mashahi.lazima ufanye analysis sio unaandika andika tu.
 
Watu wakifanya kazi kwa namna hii tutakwisha. Wachumia tumbo wote wametoka, kazi ipo! Mitandao ya jamii ni kusema na kukemea tabia mbaya mahali popote.

Kama tunataka Taifa liondokane na aina zote za ubaguzi, uonevu wa kijinsia na ukandamizaji huna budi kama Mtanzania mzalendo kupiga vita na kulaani vitendo vyote vinavyodhalilisha binadamu mwingine.

Hatujui ukweli ni upi, lakini pemgine siku moja utajulikana. Taasisi za kiserikali (PCCB, TISS, Polisi nk) zinatakiwa kusaidia kufuatilia hatua kwa hatua ili kujua kama tatizo linalo lalamikiwa lipo au halipo.

Kwa Taifa lililo makini hakuna taarifa ndogo wala kubwa na hakuna taarifa inayotakiwa kupuuzwa. Chuo cha Ufundi Arusha kipo mjini kabisa, panafikika hata kwa kutembea kwa miguu kutoka taasisi zilizojwa.

Kizuri ni kufanya uchunguzi.
 
Kama ulikuwa hujui, uliza. Suzan Mnafe aliwekwa na nani kwenye Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha, anafanya nini na amedumu kwenye Bodi hiyo kwa muda gani?

Kadhalika, Namnyaki Mattasia aliwekwa na nani na anafanya nini kwenye Bodi ya Chuo hicho?
HAPO SASA unaongea. Hiz ndio nondo za kaz. Vijana wa
mjomba MAGU kazi kwenu. mkifanikisha hili mtatupiwa jingine na jingine. HILA MTUPE MLEJESHO WA HILI. Mtamsaidia mjomba kusafisha nchi. Mkikaa kimya na sie hatutoi nondo za kazi siku ingine. HAPA KAZI TWENDE.....
 
Uliza, mama mfanyakazi wa pale anayeitwa Naisujaki aliajiriwa lini, akapelekwa masomoni lini na alichukua nafasi ya nani alipokwenda masomoni. Uliza alipelekwa masomoni wapi na Masudi A. Senzia ni nani katika chuo hicho na bosi huyo Masudi Senzia alikwenda Kenya tarehe 21 na 22 Oktoba 2014 kufanya nini. Pengine ukiuliza hayo utapata majibu sahihi.
 
Nmetembelea tovuti ya chuo hcho naona kuna tangazo kuhusu taarifa za mtandaoni...Bila shaka waleta Nyuzi hizi znaletwa na jopo lililopgwa chini..mmeamua kuwachafua pitia mtandaoni.Diamonds will shine forever
Wewe acha kupotosha, tovuti ya mwaka 2011 ina nini zaidi ya vitu vilevile vya 2011? Unataka kufanya watu ni wajinga? Hakuna chochote pale kwenye hicho unachoita tovuti. Tovuti ya chuo imechoka kama bibi kizee?. Pengine Ufisadi umesababisha ikashindikana hata kuiboresha. Yale matofali yote uliyoiba utarudisha lini?
 
Kwa kawaida wajumbe wa Bodi wanatakiwa kuteuliwa na waziri mwenye dhamana ya Elimu. Lakini kutokana na sababu fulanifulani baadhi ya mawaziri wanapokea mapendekezo kutoka kwa wakuu wa Taasisi husika na kuwapitisha kuwa wajumbe wa Bodi. Hebu angalia mpangilio wa wajumbe wa Bodi ya Chuo inayolalamikiwa:

Mkuu wa Chuo (Mchaga); Wajumbe wa Bodi ni Abrahamu Nyanda (Family friend); Christian Nyahumwa (School mate); Suzan Mnafe (Mchaga & girlfriend); Lyne Ukio (Mchaga); Hyacintha Makileo (Mchaga); Karoli Njau (Mchaga); Benedict Lema (Mchaga); Namnyaki Mattasia (Girlfried).

Hiyo ndio Bodi ambayo huenda ilipitishwa na Mh. Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kuwa hao wanatambulika kama wajumbe wa Bodi ya Uongozi ya Chuo.

Unapata picha gani hapo?
Nashukuru kwa maelezo Tunde. Binafsi huwa sina tatizo sana na suala la taasisi fulani kuwa na idadi kubwa ya watu wa kabilla moja kama inavyojionyesha kwa wajumbe wa bodi ulioonyesha, mradi tu kuwa kwao kabila moja hakuathiri utendaji. Ila kwa kuwa kuna hizo tuhuma nafikiri ni jambo jema mamlaka zikachunguza ili taasisi hiyo muhimu sana kwa nchi yetu iendelee kuwa na heshima yake.
 
Kwa kawaida wajumbe wa Bodi wanatakiwa kuteuliwa na waziri mwenye dhamana ya Elimu. Lakini kutokana na sababu fulanifulani baadhi ya mawaziri wanapokea mapendekezo kutoka kwa wakuu wa Taasisi husika na kuwapitisha kuwa wajumbe wa Bodi. Hebu angalia mpangilio wa wajumbe wa Bodi ya Chuo inayolalamikiwa:

Mkuu wa Chuo (Mchaga); Wajumbe wa Bodi ni Abrahamu Nyanda (Family friend); Christian Nyahumwa (School mate); Suzan Mnafe (Mchaga & girlfriend); Lyne Ukio (Mchaga); Hyacintha Makileo (Mchaga); Karoli Njau (Mchaga); Benedict Lema (Mchaga); Namnyaki Mattasia (Girlfried).

Hiyo ndio Bodi ambayo huenda ilipitishwa na Mh. Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kuwa hao wanatambulika kama wajumbe wa Bodi ya Uongozi ya Chuo.

Unapata picha gani hapo?
huyo mkuu wa chuo ana magirlfriend wangapi?
 
Sasa inakuhusu nini.huo tuitaga mtaji wa silk.UA kura ya turufu
 
Huyo mkuu wa chuo ana magirlfriend wangapi?
Mtu mzima akiamua kufanya mambo ya kihuni huwa inatisha. Kwakuwa mkuu wa chuo hakai na mke wala watoto, anaweza kuwa na magirlfriend wengi kadri atakavyoweza.

Sasa hivi kuna binti mwenye asili ya Asia ameamua kuacha kazi kwa sababu za ubaguzi huohuo . Binti huyu alikuwa kwenye mpango wa kwenda masomoni mwaka jana, lakini muda ulipofika alinyimwa kwenda na hakukuwa na sababu zinazoeleweka.

Wafanyakazi wote waliokuwa kwenye mpango wa kwenda masomoni mwaka jana walikwenda lakini yeye alinyimwa wakati wengine walipelekwa masomoni kabla ya wakati wao kufika kwa kuchukua nafasi za wengine.
 
Kwa kawaida wajumbe wa Bodi wanatakiwa kuteuliwa na waziri mwenye dhamana ya Elimu. Lakini kutokana na sababu fulanifulani baadhi ya mawaziri wanapokea mapendekezo kutoka kwa wakuu wa Taasisi husika na kuwapitisha kuwa wajumbe wa Bodi. Hebu angalia mpangilio wa wajumbe wa Bodi ya Chuo inayolalamikiwa:

Mkuu wa Chuo (Mchaga); Wajumbe wa Bodi ni Abrahamu Nyanda (Family friend); Christian Nyahumwa (School mate); Suzan Mnafe (Mchaga & girlfriend); Lyne Ukio (Mchaga); Hyacintha Makileo (Mchaga); Karoli Njau (Mchaga); Benedict Lema (Mchaga); Namnyaki Mattasia (Girlfried).

Hiyo ndio Bodi ambayo huenda ilipitishwa na Mh. Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa wakati akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwa kuwa hao wanatambulika kama wajumbe wa Bodi ya Uongozi ya Chuo.

Unapata picha gani hapo?

Umbea Mtupu. Hao waliopigwa chini, na Wachagga wamo. Haiingii akilini bodi iliyojaa Wachagga ikashindwa kuwanusuru "Wachagga wenzao" kama kweli kuna ukabila. Nawapongeza Wachagga waliomo kwenye Bodi ya ATC kwa kutoangalia makunyanzi na kuwapiga chini wale wote wanaoleta mtafaruku pale chuoni.

Kwanza huyo Mzee Nyanda unamsingizia kuwa ni family friend. Mzee Nyanda aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo mara tu chuo kilipoanza kujiendesha, na wakati huo Mkuu wa Chuo naye alikuwa ndo kwanza kateuliwa. Kama mamlaka ya uteuzi inaweza kuteua marafiki wakaongoze taasisi moja, basi kuna mashaka makubwa.

Mtoa mada unashauriwa kutokimbilia JF kuleta grievances zako, malizaneni hukohuko. Humu kuna watu wanajua mkasa wa ATC kuliko unavyodhani.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Wewe acha kupotosha, tovuti ya mwaka 2011 ina nini zaidi ya vitu vilevile vya 2011? Unataka kufanya watu ni wajinga? Hakuna chochote pale kwenye hicho unachoita tovuti. Tovuti ya chuo imechoka kama bibi kizee?. Pengine Ufisadi umesababisha ikashindikana hata kuiboresha. Yale matofali yote uliyoiba utarudisha lini?
We bwege hujielew kaa kushoto boya ww
 
Ushauri wa bure kwa mtoa post. Nenda na vielelezo mfano alitoa ngono 1. wapi 2. kwa nani na nani 3. malipo kama yalikuwepo na 4. vithibitsho vya daktari kuwa fulani na fulani (nk. zinaonekana)
 
Back
Top Bottom