Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

Dr. Richard Masika namfahamu tangu yuko DIT Hana hizo tabia bwana
Lakini jamaa kila siku yuko humu JF anajadiliwa. Mbona wengine au vyuo vingine hatuvisikii, kila siku ni yeye, je kunani hapo Ufundi Arusha?
 
Taarifa yeyote kubwa huzaliwa na umbea (umbea ni taarifa sahihi ila inatolewa muda na kwa mtu asiye sahihi huku mtoaji akiwa sio sahihi). Huyu mleta uzi amefanyakazi yake sasa ni wakati wa TISS, Police Criminal Intelligence na Takukuru kufanya yako kwa clue/tip hii!

Bazazi
Hao wanaokashifu hawajui intelligence kazi yake nini...wanadhani wakosaji wanajianika hadharani siyo? Lazima wafuatiliwe kisayansi, lakini ili kufanya hivyo, wafuatiliaji lazima 'watonywe' na mtu fulani..probably a begrudged party...
 
Kutolewa DIT na kupelekwa Arusha Tech ni sawa na kushushwa cheo...mtu hawezi shushwa/pandishwa cheo bila sababu maalumu
Kuna ukweli umejificha na utapatikana kupitia huu uzi
DIT alikua principal????msiongee utoko humu jamaa kapandishwa cheo kaenda arusha na kapewa Ukuu .
 
Kuna harufu ya majungu apa fitna na chuki binafsi
Kama ulikuwa hujui, uliza. Suzan Mnafe aliwekwa na nani kwenye Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha, anafanya nini na amedumu kwenye Bodi hiyo kwa muda gani?

Kadhalika, Namnyaki Mattasia aliwekwa na nani na anafanya nini kwenye Bodi ya Chuo hicho?
 
Nmetembelea tovuti ya chuo hcho naona kuna tangazo kuhusu taarifa za mtandaoni...Bila shaka waleta Nyuzi hizi znaletwa na jopo lililopgwa chini..mmeamua kuwachafua pitia mtandaoni.Diamonds will shine forever
 
Ndio maana tunakua maskini sana, watu wanataka kuwashusha waliojuu, badala ya wao kupanda juu.serikali Iwe makini na watu wanaotaka kuharibu maisha ya wengine kama uyu.
Unajua na JPM anasema walioishi kama malaika wataishi kama mashetani. Na huo ni wivu wa kike?
 
Lakini jamaa kila siku yuko humu JF anajadiliwa. Mbona wengine au vyuo vingine hatuvisikii, kila siku ni yeye, je kunani hapo Ufundi Arusha?
Probably kuna watu wanataka hiyo nafasi atoke wakae wao hivyo wanafanya hivyo au kuna ukweli Fulani sijui.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Kutolewa DIT na kupelekwa Arusha Tech ni sawa na kushushwa cheo...mtu hawezi shushwa/pandishwa cheo bila sababu maalumu
Kuna ukweli umejificha na utapatikana kupitia huu uzi
Alikuwa Director of Studies DIT naenda kuwa mkuu wa chuo ATC ameshushwaje cheo hapo?
 
Sasa unaficha majina kwa nini?,Kwani ID yako hapa jf wanaijua?,mwaga mtama
 
Tusimshambulie mleta mada.ni wakati wa vyombo vya usalama kulifatilia hili.tatizo la wana CCM ni kupuuzia mambo na kuyachUKkulia juu kws juu ndiko kulikoifikisha nchi hapa tulipo.
 
Ahh! namfahamu mkuu wa chuo hicho, ni Richard Masika mkuu alikuwa DIT ilikuwa ni shida. Ni kweli, Mke wake alilala mbele, pengine ni kwa tabia kama hizo
Asante mkuu.si waona sasa ukweli unazidi kuonekana.
 
Kutolewa DIT na kupelekwa Arusha Tech ni sawa na kushushwa cheo...mtu hawezi shushwa/pandishwa cheo bila sababu maalumu
Kuna ukweli umejificha na utapatikana kupitia huu uzi
Hakika mkuu.ukipandishwa cheo maana yake umefanya kwa bidii na matunda yakaonekana vivyo hivyo ukishushwa cheo kuna jambo baya limetendeka.
 
Uliza, mama anayeitwa Naisujaki aliajiriwa lini, akapelekwa masomoni lini na alichukua nafasi ya nani na alipelekwa masomoni wapi na Masudi A. Senzia alikwenda Kenya tarehe 21 na 22 Oktoba 2014 kwenda kufanya nini, utapata majibu sahihi.
Asante kwa taarifa zinazokazia ushahidi.huyu mkuu wa chuo afatilie na wanafunzi wahojiwe ili kujiridhisha.
 
Lakini jamaa kila siku yuko humu JF anajadiliwa. Mbona wengine au vyuo vingine hatuvisikii, kila siku ni yeye, je kunani hapo Ufundi Arusha?
Ndo ujiulize.Kuna tatizo kwa huyo bwana maana unaambiwa amefikia hatua ya kuteua mwenyekiti wa bodi wakati hilo ni jukumu la mkuu wa nchi.
 
Walalahoi walalamike na nyie tunaosema walau mmeelimika mlalamike? Nini sababu ya kusoma kwenu? Bora wangebaki vijijini wawe wazalishaji nyanja ya kilimo ingesaidia Taifa.
 
Nmetembelea tovuti ya chuo hcho naona kuna tangazo kuhusu taarifa za mtandaoni...Bila shaka waleta Nyuzi hizi znaletwa na jopo lililopgwa chini..mmeamua kuwachafua pitia mtandaoni.Diamonds will shine forever
Ukisikiliza pande mbili utajiridhisha zaidi ila ukiamua kuamini za tovuti ya chuo ni chaguo lako.
 
Umenena Bazazi, watu wanakimbilia kuponda na kukanusha wakati hawana ukweli wowote zaidi ya kupata habari kwa aliyeandika. Ni juu ya vyombo vya dola vilivyopo kufanyia kazi habari husika. Hii ni kazi ya siku 2 ukweli wote utakuwa unajulikana. Si kutoa mishipa kupinga usichojua, haipendezi!
Ofisi za takukuru arusha zipo barabara ya moshi arusha adjacent na ithna asheri tenki la maji karibu na ppf nadhani kama kilometa tatu au nne kutoka tca .Vinginevyo yatakuwa ni majungu tu!.
 
Back
Top Bottom