Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,676
- 6,502
Kuna watu kama wanne hivi ambao wako against na Huyu mkuu ambao kwa tafiti zangu ni kama wanajuana na pia ni wafanyakazi wa hapo chuoni,na pia hawana muda mrefu humu JF.naona namna wanavyomtetea mtoa mada.
my take: isijekuwa mna nia tu ya kumchafua huyo mkuu,ila kama mna nia nzuri ya kufikisha ujumbe unaotakikana hakika mtasikilizwa
my take: isijekuwa mna nia tu ya kumchafua huyo mkuu,ila kama mna nia nzuri ya kufikisha ujumbe unaotakikana hakika mtasikilizwa