Nilikuwa sifahamu rushwa ya ngono ni kitu gani. Lakini hatimaye nimefahamu kwamba, kumbe rushwa ya ngono ni pale ambapo mwanamke anatoa mwili wake ili kupata manufaa fulani (kupata kazi, kupandishwa cheo, upendeleo wa kupelekwa masomoni nk.).
Yanayofanyika mpaka jamii inaona kuna haja ya kuyatungia sheria hakika utafiti wa kina unakuwa umefanywa. Ni jambo ambalo kwa juu-juu mtu hawezi kujua ni nini na linafanyika wapi. Lakini ni tatizo kubwa na lipo kwenye jamii na hivyo linatakiwa liongozwe kwa sheria vinginevyo jamii inaweza kujikuta katika wakati mgumu sana kama lingeachwa hivihivi tu bila sheria.
Yako maeneo ambayo mtu wa jinsia ya kike hawezi kupata kazi mpaka Bosi apewe rushwa ya ngono. Yapo maeneo vyuoni ambayo mwanafunzi wa kike mwenye sura ya kuvutiavutia hawezi kufaulu mtihani mpaka atoe rushwa ya ngono nk, nk.
Mambo yanayohusishwa na rushwa ya ngono yapo katika Chuo cha Ufundi Arusha imefahamika. Katika hali isiyoweza kufahamika na ambayo inahusishwa na rushwa ya ngono ni pale ambapo mfanyakazi mmoja Naisujaki Lyimo alipoajiriwa kwa upendeleo maalumu. Baada tu ya kuajiriwa alipelekwa masomoni na kuchukua nafasi ya wafanyakazi aliowakuta. Zaidi ni pale ambapo mteule huyu alipoenda kusomea kitu tofauti na matakwa ya ajira yake. Inaelezwa kwamba mlengwa huyu aliweza kutimiza masharti ya wakubwa wa Chuo ndio maana yeye mambo yake yanakwenda vizuri.
Kadhalika, katika Bodi ya utawala ya Chuo mambo ni vilevile. Katika Bodi hiyo yuko mjumbe mmoja Suzan Manafe Mosha ambaye amekuwa kama mjumbe wa kudumu katika Bodi ya Chuo. Imefahamika upendeleo huo maalumu kwa mjumbe huyu una maana kubwa sana kwa Mkuu wa chuo. Kama vile huyo hatoshi, katika kile kinachoitwa kutokuwa na idadi ya kutosha ya wajumbe wa jinsia ya kike kwenye Bodi, mjumbe mwingine Namnyaki Mattasia ameongezwa kwa mamlaka ya Mkuu wa Chuo. Taarifa zinasema wawili hawa wamekuwepo katika Bodi ya Chuo kwa kukidhi mahitaji na matakwa ya Mkuu wa Chuo.
Mkuu wa chuo, kwa kile kinachoitwa kutotii na kutojali Sheria na pia kutaka kuonesha mamlaka aliyonayo kwa wanajumuiya ya Chuo, alidiriki hata kufanya kazi ya mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkuu wa chuo aliteua Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo na hivyo kukiuka kifungu cha 7(a) cha sheria iliyoanzisha Chuo cha ufundi Arusha GN 78/2007.
Mmoja wa wafanyakazi alimwambia mwandishi wa habari hii kwamba Mkuu wa Chuo hana mke na hivyo ameamua kutembea hovyo. Ametembea koote, wanafunzi, wafanyakazi, baadhi ya wajumbe wa Bodi na sasa anataka kwenda mpaka kwa wake za wafanyakazi, huyu si bure, atakuwa na pepo la ngono. Amesema ndio maana mke wake alimkimbia na akaondoka hata na watoto ili wasipate shida, maana huyu ni mhuni kabisa alisema.
Alidokeza kwamba kuna mfanyakazi mmoja ameonesha ushujaa na ukomavu wa hali ya juu. Huyu amekataa kabisa kufanya upuuzi huo. Kilichotokea ni kwamba mfanyakazi huyo amechanganywa na hao wanaoitwa wakubwa wa chuo mpaka sasa ameamua kuacha kazi. Hata kuacha kazi kwake imekuwa ngumu, eti anatakiwa kuwalipa wakubwa wa chuo kwa usumbufu. Haijulikani ni usumbufu gani huo ila pengine ni huo wa kufuatilia wakakataliwa.
Ni mambo ya ajabu sana haya na yanatendeka chini ya Serikali hihi ya Mh. Magufuli. Binadamu wawili tu chuoni kwa maana ya mkuu wa chuo Dkt Richard Masika Mushi na msaidizi wake Dkt Masudi Abdi Senzia wanaweza kutesa mamia ya wafanyakazi kiasi hiki? aliuliza mfanyakazi huyo kwa huzuni kubwa!
Mkuu wa Chuo na msaidizi wake huyo wamefanya ufisadi wa mali ya umma mpaka wamechoka, inasadikika kwamba wamefanya ufisadi wa zaidi Tsh 3.5 Bilioni na walijichukulia zaidi ya matofali 20,000 kutoka chuoni na kwenda kufanyia shughuli zao binafsi huko Njiro na USA Arusha na hawajafanywa chochote. Imeshangaza kumbe na ufisadi wa ngono wamekuwa wakifanya pia! alisema kwa mshangao mfanyakazi huyo!
Sasa chuo kimefikia pabaya na hali ni mbaya maana mambo ya aina hii ni aibu kwa chuo na taifa kwa ujumla. Serikali inatakiwa kufuatilia na kuchukua hatua mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi alisisitiza mfanyakazi huyo.