gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Amepandishwa.Alikuwa Director of Studies DIT naenda kuwa mkuu wa chuo ATC ameshushwaje cheo hapo?
Amepandishwa.Alikuwa Director of Studies DIT naenda kuwa mkuu wa chuo ATC ameshushwaje cheo hapo?
Nmetembelea tovuti ya chuo hcho naona kuna tangazo kuhusu taarifa za mtandaoni...Bila shaka waleta Nyuzi hizi znaletwa na jopo lililopgwa chini..mmeamua kuwachafua pitia mtandaoni.Diamonds will shine forever
Akili za kimaskini hizi.fanya kazi kwa bidii jitihada zako zitaonekana.na sio kupika majungu.Nilikuwa ninashangaa sikufahamu rushwa ya ngono ni kitu gani. Lakini hatimaye nimefahamu hivi karibuni kwamba kumbe rushwa ya ngono ni pale ambapo mtu anatoa mwili wake ili kupata manufaa fulani (Kazi, Cheo, upendeleo wa kupelekwa masomoni nk.).
Yanayokuwepo mpaka yakatungiwa sheria kweli utafiti wa kina unakuwa umefanywa. Ni jambo ambalo ukilisikia juu-juu mtu hawezi kujua ni nini na linafanyika wapi. Kumbe ni tatizo ambalo lipo mahali kwingi tu.
Yako maeneo ambayo mtu wa jinsia ya kike hawezi kupata kazi mpaka Bosi apewe rushwa ya ngono. Yapo maeneo vyuoni ambayo mwanafunzi wa kike mwenye sura ya kuvutia hawezi kufaulu mtihani mpaka atoe rushwa ya ngono.
Mambo yanayohusishwa na rushwa ya ngono yameshamiri sana katika Chuo cha Ufundi Arusha imefahamika. Katika hali isiyoweza kufahamika na ambayo inahusishwa na rushwa ya ngono ni pale ambapo mfanyakazi mmoja wa jinsia ya kike (jina linahifadhiwa kwa sasa) alipoajiriwa kwa upendeleo maalumu. Baada tu ya kuajiriwa alipelekwa masomoni na kuchukua nafasi ya wafanyakazi aliowakuta. Zaidi ni pale ambapo mteule huyu anaposomea kitu tofauti na matakwa ya ajira yake. Inaelezwa kwamba mlengwa huyu aliweza kutimiza masharti ya wakubwa wa Chuo ndio maana yeye anapeta tu.
Kadhalika, katika Bodi ya utawala ya Chuo mambo ni vilevile. Katika Bodi hiyo yuko mjumbe mmoja wa jinsia ya kike (jina linahifadhiwa kwa sasa) ambaye amekuwa kama mjumbe wa kudumu katika Bodi ya Chuo. Katika kile kinachoitwa kutokuwa na idadi ya kutosha ya wajumbe wa jinsia ya kike, mjumbe mmoja (jina linahifadhiwa kwa sasa) ameongezwa kwa mamlaka ya Mkuu wa Chuo. Taarifa zinasema wawili hawa katika Bodi ya Chuo wamekuwepo kwa kukidhi mahitaji ya Mkuu wa Chuo.
Ikumbukwe kwamba Mkuu wa chuo kwa kile kinachoitwa kutotii Sheria na kuonesha mamlaka yake kwa wanajumuiya ya Chuo, alidiriki hata kufanya kazi ambayo ni ya mamlaka ya Mkuu wa Nchi na Serikali ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi hiyo ni kuteua Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo.
Mmoja wa wafanyakazi alimwambia mwandishi wa habari hii kwamba Mkuu wa Chuo ametembea koote, wanafunzi, wafanyakazi, baadhi ya wajumbe wa Bodi na sasa anataka kwenda mpaka kwa wake za wafanyakazi, atakuwa na pepo la ngono amezidi. Amesema ndio maana mke alimkimbia na akaondoka na watoto wasipate shida, maana huyu ni mhuni kabisa alisema.
Alidokeza kwamba kuna mfanyakazi wa kike (jina linahifadhiwa kwa sasa) ambaye amekataa kabisa kufanya upuuzi huo. Kilichotokea ni kwamba mfanyakazi huyo amechanganywa na hao wanaoitwa wakubwa wa chuo mpaka sasa ameamua kuacha kazi. Hata kuacha kazi kwake imekuwa ngumu, eti anatakiwa kuwalipa wakubwa wa chuo kwa usumbufu. Ni mambo ya ajabu sana na yanatendeka chini ya Serikali hihi ya Mh. Magufuli. Binadamu wawili wanaweza kutesa mamia ya wafanyakazi kiasi hiki aliuliza mfanyakazi huyo?
Wakubwa wa Chuo wamefanya ufisadi wa pesa mpaka wamechoka, kumbe hata ufisadi wa ngono wanafanya?!
Wewe mwenye hizo information ndio utuambie acha maneno mengiUliza, mama mfanyakazi wa pale anayeitwa Naisujaki aliajiriwa lini, akapelekwa masomoni lini na alichukua nafasi ya nani alipokwenda masomoni. Uliza alipelekwa masomoni wapi na Masudi A. Senzia ni nani katika chuo hicho na bosi huyo Masudi Senzia alikwenda Kenya tarehe 21 na 22 Oktoba 2014 kufanya nini. Pengine ukiuliza hayo utapata majibu sahihi.
Mkuu mbona umeongea kwa uchungu hivi.Mwaga ugali kwani nini.Jamani Chuo changu ATC kinaelekea wapi?Habari ndio hiyo, wapo walioacha kwa sababu za manyanayaso na kubugudhiwa kijinsia. Majina ya wanufaika yameshawekwa hadharani unataka proof gani zaidi ya hiyo? Unataka picha zao ziwekwe mtandaoni ndipo uamini? Hapo nitakuwa nimevuka mipaka. Kama mpaka hapo mtu hataelewa basi hata iwe nini mtu huyo hataelewa.
Lakini fahamu kwamba kumfanya mtu mzima mpaka aamue kuacha kazi ni bugudha kubwa sana. Hao wanaoshabikia tu pasipo kufikiri na kutafakari madhara ya mambo ya aina hii sijui wako wapi. Hivi fikiria kama dada yako akifanyiwa hivyo arudi nyumbani akuambie ameamua kuacha kazi kwa sababu bosi wake anamlazimisha kufanya ngono kama hataki kuondoka mwenyewe asubiri aone yatakayofuata.
Elewa bosi huyo ndiye mwenye Bodi ya maamuzi yote ya chuo! Akisema hakutaki kazini hakuna atakayeuliza kulikoni. Wako watu wanaitwa mabosi zaidi ya miungu watu. Anaumba uongo unaitwa ukweli, chochote anachoumba kinakuwa, hakuna wa kuuliza. Mtu ana girlfriend/womanfriend kwenye Bodi ya maamuzi ya chuo utamwambia nini?
Matukio ya zamani.Uliza, mama mfanyakazi wa pale anayeitwa Naisujaki aliajiriwa lini, akapelekwa masomoni lini na alichukua nafasi ya nani alipokwenda masomoni. Uliza alipelekwa masomoni wapi na Masudi A. Senzia ni nani katika chuo hicho na bosi huyo Masudi Senzia alikwenda Kenya tarehe 21 na 22 Oktoba 2014 kufanya nini. Pengine ukiuliza hayo utapata majibu sahihi.
sure sure...........Taarifa yeyote kubwa huzaliwa na umbea (umbea ni taarifa sahihi ila inatolewa muda na kwa mtu asiye sahihi huku mtoaji akiwa sio sahihi). Huyu mleta uzi amefanyakazi yake sasa ni wakati wa TISS, Police Criminal Intelligence na Takukuru kufanya yako kwa clue/tip hii!
Bazazi
Kama ulikuwa hujui, uliza. Suzan Mnafe aliwekwa na nani kwenye Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha, anafanya nini na amedumu kwenye Bodi hiyo kwa muda gani?
Kadhalika, Namnyaki Mattasia aliwekwa na nani na anafanya nini kwenye Bodi ya Chuo hicho?