Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,421
Nikisema wewe sio riziki nitakuwa nakosea?Mmmh pigeni mayowe tu ila dawa yenu ipo,na kuna sk mtajua maana yake
Nikisema wewe sio riziki nitakuwa nakosea?Mmmh pigeni mayowe tu ila dawa yenu ipo,na kuna sk mtajua maana yake
Kwa utetezi huu wa Bashite about nape sikutegemea leo hii angemuita Nape ni wakala wa wauza madawa..... Siasa bhana 😀Msema hovyo,muda ulioutumia kuandika utumbo bila research ugetumia kuoshavyomba kwenu ugekuwa mtu wa maana sana.wana jf hawako hivyo.Hayamaneno unayatowa mtaani nakutuadikia sisi.kabla hujasema jambo fanya research na utupe details siyo kulopoka tu.naukipewa pesa kula,siyolazima uandike kama huna habari ya uhakika.Haiingii hakirini hata kidogo kumlinganisha Nape na Rostam kisa mshahara tena wa u Dc abao hata nape hapokei,poleka majungu kwingine siyo jf.