Ufisadi wa Nape huu hapa

Ufisadi wa Nape huu hapa

Maelezo haya Nape hayatoshi. Ukuu wa wilaya hauachwi kienyeji, kuna process za kuuacha, na unatakiwa utuambie uliandika lini barua ya kuresign na ulikabidhi kwa nani hiyo ofisi ya ukuu wa wilaya. Kwa taratibu za utumishi, wa umma, utumishi huwa hauishi hadi pale utakaposimamishwa rasimi kwa barua. Je Bwana Nape una barua yoyote inayoelekeza kwamba wewe si mkuu wa Wilaya tena? Je una barua yoyote inayoeleza kwamba mshahara wako unasimamishwa kutokana na utumishi wako kubadilishwa au kukoma?Hatudanganyiki kirahisi hivyo mkuu. Wewe unakula mishahara miwili kwa kazi usiyofanya. Halafu ni aibu kwa mtu mkubwa kama wewe, katibu mwenezi wa chama kuandika habari za Padri na usiseme Slaa. Mbona umekosa uungwana kiasi hicho. Wewe ni fisadi tu, until you submit vivid evidences that show that you resigned from all posts you were granted by your fellow fisadi Kikwete.
Yaani hili jamaa (nape) limeharibia usingizi,nimekasirika kuona watu ambao hawana uwezo wa kuongoza ndio wanaongoza watanzania kwa kivuli cha baba zao.Nape it is ilogical kusema umeacha ukuu wa wilaya leo baada ya kuwa proveked.Wewe bado unatuibia hela zetu.Tuambie lini utangaza kuacha ukuu wa wilaya?.WanaJF nawaomba tuwe watu wa kuact.Huyu jamaa afuatiliwe athibitishe kwa kuonyesha evidence sio kwa maneno na kuanza kuhamisha tatizo kwingine.Hawez akatudanya huyu kereng'ende!
 
Mtoa mada amekaa kiushabiki sana na anatuletea mada ambazo hazina utafiti wowote ule.Msituletee majungu hapa jamvini.Nape ni kijana shupavu ambaye anastahili kupongezwa na wasio wanafiki.
Nape anastahili kuigwa na vijana wengine wa kitanzania kwa kuamini katika ukweli na anausimamia kwa vitendo.Ametuonyesha hapo juu alivyokwisha achana na u-DC zamani sana soon alipochaguliwa kuwa Katibu itikadi na uenezi.Mnyone mnyongeni lakini haki yake mpeni Nape hana kosa lolote kiasi cha kumshambulia namna hii.Hebu tuwe wakweli wana jamvi Nape amejitokeza jamvini na kutueleza ya kuwa pesa zake za kuacha kazi mpaka leo hajalipwa na hapa anaonesha serikali yake isivyokuwa baguzi kwa kuharakisha kumlipa wakati kuna watu wengine waliokuwa watumishi wa serikali nao hawajalipwa.Nape naona anaamini kuwa serikali na chama si vitu ambavyo viko compatible, hivyo katoka serikalini na kwenda ktk chama ambapo anaamini ni sehemu muafaka sasa ya kuwatumikia watanzania.

Nape tumshauri kwa wema na tukidhani tunamkatisha tamaa tutakuwa tunajidanganya.Vijana wengi naona wana imani na kijana mwenzao Nape, na wanamuamini kikwelikweli na siku za usoni vijana wengi watarudi kukiunga mkono C.C.M.Sasa ushauri wangu kwako Nape endelea kuwa mkweli na usimamie ukweli mungu atakutangulia.Watu wenye chuki na CCM wataendelea kuwepo hivyo usishangae wao kukupinga, yawezekana wanatumiwa na wale unaowapinga kwa kuwaibia watanzania.
 
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
NAPE UNAZIDI Kujidhirishia kwamba wewe hufai kuwa kiongozi.Hivi huwa unafikiria kabla ya kuandika? Nadhani nyumba ya vioo JK inakupa kiburi mpaka unarusha mawe kwa kila mtu anayepita njiani.Unajijengea maadui ukiwa umesahau kuwa ccm inakoelekea yaweza kung'olewa na unasahau kuwa kuna maisha beyond politics.Wewe unaweza kushindana dr slaa? ninazidi kukupata zaidi na kuyakumbuka maneno niliyoyapata toka kwa shemeji yako kuwa UNAJIONA UKO JUU SANA KIASI KWAMBA UNAMSAHAU HATA MJOMBA WAKO AMBAYE NDIYE KILA KITU KWAKO.Kwa sababu hauna akili ndo unaona hicho cheo ndo umefka.NAKUHURUMIA kwa sababu upo kwenye black list ya bilionea RA na wewe pengine kwa sababu ya kuwa na akil finyu unajiona uko salama.We huwezi kujibu hoja kwa utulivu kama dr slaa anavyojibu?.Kumbuka kwenye siasa mpinzani wako anaweza akaprovoke wakati mwingine kwa kukutengenezea scandal ambayo lengo lake ni kukutegeshea ili ufunguke. Nenda udsm ukafundishwe siasa ukashagraduate uje jf
 
Hongera Nape kwa kuacha u-Dc mara baada ya kuwa Katibu wa itikadi wa CCM.Umetoa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi hapa nchini.Mungu akubariki sana.
 
Msema hovyo,muda ulioutumia kuandika utumbo bila research ugetumia kuoshavyomba kwenu ugekuwa mtu wa maana sana.wana jf hawako hivyo.Hayamaneno unayatowa mtaani nakutuadikia sisi.kabla hujasema jambo fanya research na utupe details siyo kulopoka tu.naukipewa pesa kula,siyolazima uandike kama huna habari ya uhakika.Haiingii hakirini hata kidogo kumlinganisha Nape na Rostam kisa mshahara tena wa u Dc abao hata nape hapokei,poleka majungu kwingine siyo jf.
 
Tatizo tukigeuza humu uwanja Wa majungu na fitna tutakosa mwelekeo Hizi habari za Nape Mbona Kama uzushi vile?
 
Hongera Nape kwa kuacha u-Dc mara baada ya kuwa Katibu wa itikadi wa CCM.Umetoa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi hapa nchini.Mungu akubariki sana.
hakuna kijana mwenye akili anamuunga mkono napeegwa, ukidhani tunatania subiri uyaone ya firauni, tunauchungu na uchumi wetu kuharibiwa vibaya na ccm ya napeegwa, jiandaeni kukumbana na hasira za vijana wa tanzania mnaojidanganya watawaunga mkono, mnatia aibuuuuu!!!!!! kinyaaaaaaaaa!!!!!!
 
Mtoa mada amekaa kiushabiki sana na anatuletea mada ambazo hazina utafiti wowote ule.Msituletee majungu hapa jamvini.Nape ni kijana shupavu ambaye anastahili kupongezwa na wasio wanafiki.
Nape anastahili kuigwa na vijana wengine wa kitanzania kwa kuamini katika ukweli na anausimamia kwa vitendo.Ametuonyesha hapo juu alivyokwisha achana na u-DC zamani sana soon alipochaguliwa kuwa Katibu itikadi na uenezi.Mnyone mnyongeni lakini haki yake mpeni Nape hana kosa lolote kiasi cha kumshambulia namna hii.Hebu tuwe wakweli wana jamvi Nape amejitokeza jamvini na kutueleza ya kuwa pesa zake za kuacha kazi mpaka leo hajalipwa na hapa anaonesha serikali yake isivyokuwa baguzi kwa kuharakisha kumlipa wakati kuna watu wengine waliokuwa watumishi wa serikali nao hawajalipwa.Nape naona anaamini kuwa serikali na chama si vitu ambavyo viko compatible, hivyo katoka serikalini na kwenda ktk chama ambapo anaamini ni sehemu muafaka sasa ya kuwatumikia watanzania.

Nape tumshauri kwa wema na tukidhani tunamkatisha tamaa tutakuwa tunajidanganya.Vijana wengi naona wana imani na kijana mwenzao Nape, na wanamuamini kikwelikweli na siku za usoni vijana wengi watarudi kukiunga mkono C.C.M.Sasa ushauri wangu kwako Nape endelea kuwa mkweli na usimamie ukweli mungu atakutangulia.Watu wenye chuki na CCM wataendelea kuwepo hivyo usishangae wao kukupinga, yawezekana wanatumiwa na wale unaowapinga kwa kuwaibia watanzania.
Kwa taarifa yako mimi si shabiki wa chama chochote, na sipo hapa kwa maslahi ya chama chochote ila nchi yangu. Nataka uniambie ni lini na wapi ilitangazwa kwamba Nape ameachia ukuu wa wilaya. Sera za CCM daima ni kujaziana vyeo tu na kula pesa za umma bila utaratibu wowote. Iweje leo mtuambie Nape ameachia madaraka yote ilihali Makamba (seniour) alipewa ukatibu wa chama akaongezewa na ubunge wa kuteuliwa. Hata huko bungeni akawa haendi lakini analipwa mishara miwili. Mbona Chiligati, Mkuchika etc walikuwa viongozi wa CCM na pia mawaziri wakiilipwa mishahara miwili ya utumishi wa umma na utumishi wa chama? Hiyo sera ya maulaji ya CCM ilibadilika lini hata kuweza kumnyima leo ulaji huyu mtoto wa mwasisi wa TANU? Kama Nape ameamua kuresign ukuu wa wilaya kwa hiari yake mwenyewe na kwa maslahi ya umma, basi alitendee haki jukwaa hili kwa kuweka barua yake ya resignation hapa. Otherwise, we will say it out. Asifanye kazi ya kutulaghai eti anapambana na mafisadi wakati na yeye ni mmoja wa mafisadi. Leteni hoja msilete blabla na ushabiki hapa.
 
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.
we napeegwa, mdomo uliponza kichwa! shauri yako, tambua kuwa ufalme umekwisha fitinika, kilichobakia.........., change your mindset now!!! usishikiwe akili na mtu, padre ni jiwe walilolikataa waashi, kumbuka mlimkataa karatu-akawashinda, anavuka bahari ya sham mnamfuata kichwa kichwa, hamtauwawa kwa upanga bali kwa upole kabisa maji msiyoyatarajia yatawatowesha. tahadhari..napeegwa usimtokose mwanambuzi pamoja na maziwa ya mama yake!!!!!!
 
Msema hovyo,muda ulioutumia kuandika utumbo bila research ugetumia kuoshavyomba kwenu ugekuwa mtu wa maana sana.wana jf hawako hivyo.Hayamaneno unayatowa mtaani nakutuadikia sisi.kabla hujasema jambo fanya research na utupe details siyo kulopoka tu.naukipewa pesa kula,siyolazima uandike kama huna habari ya uhakika.Haiingii hakirini hata kidogo kumlinganisha Nape na Rostam kisa mshahara tena wa u Dc abao hata nape hapokei,poleka majungu kwingine siyo jf.
haha haaaaaaaaa, naona umejipa umoderator wa JF. pole wee!! Niambie uteuzi wa Nape katika nafasi ya ukuu wa wilaya ulitenguliwa lini? Na kama haujatenguliwa, mshahara wake umesimamishwaje? Leteni hoja si story za sungura na fisi hapa!
 
Tatizo tukigeuza humu uwanja Wa majungu na fitna tutakosa mwelekeo Hizi habari za Nape Mbona Kama uzushi vile?
Kwa hiyo uzushi ni upi? Kuita kwamba hii hoja imeanzishwa na padri au kwamba Nape ni mkuu wa wilaya na ni katibu mwenezi wa CCM? Wewe ulishasikia popote uteuzi wa Nape kama mkuu wa wilaya umetenguliwa? Kama haukutenguliwa sasa mzushi ni nani? Wewe au mimi?
 
Hongera Nape kwa kuacha u-Dc mara baada ya kuwa Katibu wa itikadi wa CCM.Umetoa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi hapa nchini.Mungu akubariki sana.
Wewe ndo mtoto wa Kikwete eeh, umeamua kuja kutetea uozo wa chama cha babako eehee? Maana Kikwete alisema CCM ni chama cha familia ndiyo maana hata kwenye kampeni aliweka wanae na mke wake akawaacha viongozi wa chama. Najua Nape amepewa hiyo nafasi kwakuwa ni mropokaji mzuri angalau atasaidie kulinda mpunga wa mzee. Muongezee mshahara mkuu, jamaa (Nape) anajitahidi sana kupayuka. Kelele kidogo tu, Rostam chali. Kazi nzuri lakini.
 
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.

Hata wewe hujalipwa mtu mkubwa namna hiyo CCM? Kumbe sasa unadhihirisha wazi kwamba CCM inamatatizo. Ikiwa wewe wanakufanyia hivyo je sisi walala hoi ambao hata baba zetu hawakuwahi kusikika kama baba yako watatufanyiaje? Pia unasema ulishaacha UDC, huo UDC voltage uliuachaje mbona sisi hatukufahamishwa? au kuna maandishi uliweka mahala? na mbona mpaka leo hajateuliwa tena DC Voltage wilaya ile? kwa nini? inamaana hakuna watz wengine wakuweza kuongoza? Unasema gari ya sirikali ulisharudisha, tuambie gari unalotembelea saizi nila nani kama si la sirikali? kwani CCM wana uwezo gani wa kununua gari ya kifahari alihali watz wanalala njaa tena hata wafanyakazi wa CCM hata mishahara hawalipwi vizuri? huyo unayemsema padri wala hata umkaribii hata kwa asilimia moja! Kwanza anajua kujenga hoja wewe unaropoka tu, pili yeye ni dr na wewe sijui ni darasa la ngapi? tatu wewe unapita kueneza ujinga na kuwapofusha macho watz, yahani unadiriki kuwaambia uongo alihali ukijua wazi wewe mwenyewe kuwa unawadanganya? Jifunze kwa vijana wenzio kina zitto, mnyika wanavyojua kujenga hoja na wanazungumza kwa facts, wewe ni kama messenger aliyepewa barua apeleke sehemu alihali hajui content zilizoandikwa ndani kwa mtaji huo wanakuua kisiasa wewe mwenyewe bila kujitambua.
 
Huyu mwanasiasa wa CCM mjinga, mpumbavu na ni juha hasa, arudi shule asome vinginevyo...
Mkuu, tumia lugha ya heshima inayoonyeha kuuthamini ubinadamu wa mtu. Hata kama hukubaliani naye iwe kiitikadi au kimtazamo, bado unaweza kutumia lugha ya heshima ktk huko kutofautiana. Matusi hayana nafasi kwenye jamii staarabu.
 
Wanaoendelea kudai MIE bado DC pengine Wanasababu zao tusizozijua. NARUDIA NILISHA KABIDHI U DC NINAPOTAKIWA KUKABIDHI NA KWASASA ANAYEKAIMU PALE ANAITWA FATMA ALLY MKUU WA WILAYA YA NANYUMBU. Kuhusu MISHAHARA miwili NADHANI kuna WATU hawajui taratibu ZA utumishi nchini ambazo MIE NI muumini sana. HATA hao wengine wanaotajwa ETI WALIKUA WAKIPATA MISHAHARA MIWILI NI UONGO NA UZUSHI, KATI YA HAO WALIOTAJWA e.i kina MKUCHIKA, HAKUNA ALIYKUWA AKICHUKUA MISHAHARA MIWILI,UKWELI NI KWAMBA UKISHATEULIWA UNATAKIWA KUCHAGUA MSHAHARA MMOJA KAMA UNA KAZI MBILI,SHERIA HAIRUHUSU KULIPWA MISHAHARA MIWILI. KWA MFANO UNAKUWA MBUNGE PENGINE NA RC, UNATAKIWA KUCHAGUA MSHAHARA MMOJA WA U RC AU UBUNGE NA SI YOTE MIWILI.
KUNA MANENO HAPA KAMA VILE NIMETUKANA AU NIMETUMIA MANENO MABAYA KWA MTU BINAFSI, NAULIZAX WAPI? HIVI WAPI AMBAPO NIMEMSHAMBULIA MTU BINAFSI? HIVI KUSEMA MTU HALIPI KODI NI DHAMBI KAMA HALIPI?HAPA JF AKISEMA NAPE FLANI ANAKWEPA KODI NI KUONYESHA. KUWA NAPE HANA AKILI KAMA MNAVYONISEMA? TUNAJADILI NCHI YETU, TUKIGUSA MAHALI MSIPOTAKA BAADHI BASI NITAPOROMOSHEWA MATUSI MENGINE AMBAYO MASIKINI WA MUNGU SIDHANI KAMA NINASTAHILI.

MIMI KWANGU SIO TATIZO KEJELI ZA BAADHI YA WATU JAMVINI, LAKINI HEBU FIKIRIA ANAYEJIUNGA LEO JAMVINI ASIYEJUA HESHIMA YA HAPA ENZI ZA JAMBO FORUM, ANAJIFUNZA NINI.? Inawezekana NI jitihada ZA makusudu kuvunja moyo WATU wengine tusije HAPA LAKINI NAWAHAKIKISHIA SITAACHA KUJA HAPA KWANI JF LICHA YA KUWA NI SEHEMU NZURI YA KUZUNGUMZA JUU YA NCHI YETU NI MAHALI AMBAPO KWANGU NI SHULE NA KIOO TOSHA,UKIACHILIA MBALI WACHACHE WANAOKIPAKA MATOPE KIOO ILI MTU ASIJIONE VIZURI.

MTAKUMBUKA NILITUKANWA SANA HAPA NIKAPEWA KILA JINA NILIPOKUWA NIKISIMAMIA KWA NGUVU WATU KUWAJIBIKA KWA MUJIBU WA MAAMUZI YA NEC, NI HAPA WATU WAKADAI NIMEKURUPUKA, SIO MAAMUZI YA KIKAO, NAKURUPUKA KWASABABU MIE MPUMBAVU, MJINGA, ZEZETA, NEPI nk.LEO TUPO HAPA, NAOMBA MRUDI TENA KUSEMA NILIKUWA NIKISIMAMIA YA KWANGU NA HUKU WATU WANAWAJIBIKA....
 
Inaonekana huyu bwana mdogo hajui vizuri definition kamili ya ufisadi. Amewakomalia akina Rostam, Lowassa na Chenge kwamba ndo mafisadi wakubwa ndani ya CCM huku akisahau ufisadi mkubwa ambao yeye analifanyia taifa. Nape hivi sasa anaendelea kupokea na kutafuna mshahara kutoka kwa walipa kodi kama mkuu wa wilaya, ili hali kazi ya ukuu wa wilaya haifanyi tena. Muda wote Nape yupo kwenye mikutano ya CCM, ni saa ngapi na kwa muda gani anawatumikia wananchi wale ambao amepewa jukumu la kuwatumikia? Na je ule mshahara wa ukuu wa wilaya anaoendelea kulipwa anaupokeaje ilihali hafanyi kazi ya ukuu wa wilaya? Anaweza kuuelezeaje huu wizi anaoifanyia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupokea mshahara wetu ilihali hafanyi kazi?Tayari Rostam keshajivua gamba, the next awe ni Nape na Kikwete. Hawa ndo mafisadi wakubwa na ndo magamba ya ukweli ndani ya CCM. Wale akina Rostamu walikuwa wanapitishiwa tu hela zinazoibwa na hawa hawa akina Nape na Kikwete. Ni lazima kieleweke. Sisi kama wanaCCM hatutakubali gamba hili (Nape) liendelee kuwemo ndani ya chama chetu.
Juu ya huo mshahara wa Nape muulize Jk ambae amechelea kuchagua wakuu wa mikoa na wila nawe it seems una chuki binafsi na Nape kisa alivyokamalia mafisadi wenu,tunajua ww ni mtetezi EL hapa Jamvin
 
MIMI KWANGU SIO TATIZO KEJELI ZA BAADHI YA WATU JAMVINI, LAKINI HEBU FIKIRIA ANAYEJIUNGA LEO JAMVINI ASIYEJUA HESHIMA YA HAPA ENZI ZA JAMBO FORUM, ANAJIFUNZA NINI.? Inawezekana NI jitihada ZA makusudu kuvunja moyo WATU wengine tusije HAPA LAKINI NAWAHAKIKISHIA SITAACHA KUJA HAPA KWANI JF LICHA YA KUWA NI SEHEMU NZURI YA KUZUNGUMZA JUU YA NCHI YETU NI MAHALI AMBAPO KWANGU NI SHULE NA KIOO TOSHA,UKIACHILIA MBALI WACHACHE WANAOKIPAKA MATOPE KIOO ILI MTU ASIJIONE VIZURI.

MTAKUMBUKA NILITUKANWA SANA HAPA NIKAPEWA KILA JINA NILIPOKUWA NIKISIMAMIA KWA NGUVU WATU KUWAJIBIKA KWA MUJIBU WA MAAMUZI YA NEC, NI HAPA WATU WAKADAI NIMEKURUPUKA, SIO MAAMUZI YA KIKAO, NAKURUPUKA KWASABABU MIE MPUMBAVU, MJINGA, ZEZETA, NEPI nk.LEO TUPO HAPA, NAOMBA MRUDI TENA KUSEMA NILIKUWA NIKISIMAMIA YA KWANGU NA HUKU WATU WANAWAJIBIKA....

mkuu wangu unapotukanwa na kukejeliwa wewe shukuru maana unapata mengi, hapo kwenye red umeeleza vizuri sana kuwa JF ni km shule, sasa mbona hubadiliki? mkuu majibu yako hayafananii na kiongozi kabisa, kitendo cha wewe kujibu ati kuwa kuna padri mmoja ndo anakuzushia hayo ni mambo ya mipasho, kwanini usingemtaja huyo padri na kanisa analosimamia? km JF ni shule kwako jifunze kutokana na ushauri unaopewa na watu.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Msemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.

Kuwa mwangalifu,maneno hayo,mdomo utakuponza,tafakari,fikiri na fanya utafiti kabla ujasema kitu chochote sio kwamba wewe ni mwenezi basi mdomo kila saa unakuwa wazi,ukiona mwanga wa radi ujue ngurumo inakuja tena hutotambua ngurumo yenye kishindo kikubwa au kidogo,RA amejivua gamba,makamba alisema haondoki pekee wameanza.
 
Back
Top Bottom