Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Kichwa cha habari na habari yenyewe mbona haziendani?sijaona mahala popote palipoelezewa ufisadi wa Mwakyembe.
Ndo nashangaa!!
Kichwa cha habari na habari yenyewe mbona haziendani?sijaona mahala popote palipoelezewa ufisadi wa Mwakyembe.
Well said Mkuu, hata maelezo yake yako incoherent kabisa - tuhuma zimekuwa nyingi mno, kwa mawazo yangu anafikiri akiweka utitiri wa tuhuma at least mojawapo ya tuhuma ita-stick na kumunasa/maliza mbaya WAKE!! Aingii akili kwamba mtu mmoja anawezaje kuwa that MONSTER wa kutaka kula kila mfanyakazi na some Board Members wa TPA save his friends!!Hao wanawake wote walikuja kukulalamikia wewe kuwa wametongozwa na Kipande au uliamua kufanya utafiti wako mwenyewe, kwa haraka naona hapa kuna wivu wa kike na kuzibwa kwa mirija ya ulaji TPA, ambapo kwa muda mrefu wachache walikuwa wakijinufaisha huku wengi tukiangamia. Nahisi umetumwa na mafisadi waliotimuliwa TPA, ambao walikuwa wakikusanya fedha cash na kuzisweka kwenye viroba badala ya wafanyabiashara kulipia benki kama ilivyo sasa. Watanzania hawana njema bt hii nchi ili iweze kwenda mbele UDIKTETA LAZIMA, vinginevyo tukiwasikiliza wazushi wachache tutaangamia eti.. kwa kutafuta kuungwa mkono umeihusisha CDM ili wadau wakasirike, acha hizo watanzania nowdays tuna akili timamu...shame one u.
tabiri
anapendelea kanda ipi?kabila lip ?
tafadhali futa kauli yako mwakyembe ni prof. kuanzia lini,acha kucheza na taaluma za watu futa kwanza hiyo ndo turudi hapa jukwaani kujadili juu ya hii inshu nyingine
Laiti angekuwa prof labda angevua miwani ya mbao aliyovaa na kutafakari hoja angesoma ripoti ya j ulanga. aliyemtimua kwenye bodi. Hivi hizo ndizo findings na mapendekezo ya ripoti ya mbakileki iliyotumia mamillioni ya pesa? Kweli hili linawezekana tz tu? Nakupongeza kwa kuitimua hii bodi uelewa wake mdogo na wengiwao wanachimbuko la div zero. Ni dhahiri kuwa watz tumebobea kwenye fani ya majungu!Sorry, huyu bwana keshakuwa Prof mara hii?
Laiti angekuwa prof labda angevua miwani ya mbao aliyovaa na kutafakari hoja angesoma ripoti ya j ulanga. aliyemtimua kwenye bodi. Hivi hizo ndizo findings na mapendekezo ya ripoti ya mbakileki iliyotumia mamillioni ya pesa? Kweli hili linawezekana tz tu? Nakupongeza kwa kuitimua hii bodi uelewa wake mdogo na wengiwao wanachimbuko la div zero. Ni dhahiri kuwa watz tumebobea kwenye fani ya majungu!
Mkuu horseshoe, hii nchi ni ina mahoka. Ukisoma ripoti kuhusu kipande na ukifuatilia hatua iliyochukuliwa ya kufukuza bodi vs findins za ripoti ya mbakileki ambayo ilifukuza kila mwenye sura mbaya ambaye waziri alikuwa hamtaki utashangaa sana. Ni vema serikali ikaweka bayana wamiliki wa hii nchi kama ambavyo Pro k ame declare!Ndugu umesema mengi bila kituo, hebu punguza ghadhabu yumkini una point ndani ya maelezo haya!
Mkuu horseshoe, hii nchi ni ina mahoka. Ukisoma ripoti kuhusu kipande na ukifuatilia hatua iliyochukuliwa ya kufukuza bodi vs findins za ripoti ya mbakileki ambayo ilifukuza kila mwenye sura mbaya ambaye waziri alikuwa hamtaki utashangaa sana. Ni vema serikali ikaweka bayana wamiliki wa hii nchi kama ambavyo Pro k ame declare!
Mzee Ogah upo? nilisema hapa nikapewa maneno ya ajabu sana. Hii ripoti ni tone la maji ya chupa katika bahari ya Hindi.... Najua yapo mengi na aliyeandika haya ameaona aweke tu. Imefikia mahali hata zile tuhuma nilizosema TPA wamezihalalisha kwa kusema, "watasema watachoka na sasa wamenyamaza"... mfano wa kuhamisha chelezo kutoka Bandari ya Mwanza kwenda Kyela, hadi wametangaza katika magazeti tenda ya kuhamisha hicho chelezo kwa gharama sawa na kununua kipya?!!! na bado kuna watu haopa wanatetea, badala ya kujibu hoja, wanasema "ripoti haina mashiko"... duh! ama kweli ukipenda chongo huita kengeza na kama alivyosema mtoa hoja "wamekunywa maji ya Kyela".... Cha ajabu wandishi wa habari wamejificha wapi? Wapi Mzee Mwanakijiji? Wapi Mpita Njia? Wapi Manyerere Jackton? Wapi Halisi wapi Absalom Kibanda au Deodatus Balile? au wote ndio wanamuogopa "mpambanaji" mwenzao?
Mkuu Tina .....heshima mbele.....nimeisoma taarifa ya John Ulanga.....kwa kweli kuna hoja nyingi za msingi......kama alichoandika John ni sahihi.....sijui kwanini Eng. Kipande yuko ofisini muda huu......
....ninaendelea kujiuliza....ni kwa misingi ipi Dr Mwakyembe aliivunja Bodi ya akina John, Bakari, Mamilo et al .......
...hivi kweli Acting DG anakuwa na Kiburi namna hii!!??......whaat?.....Acting!...hii si bure aisee...