Ufisadi Wa Mwakyembe na Eng. Madeni Kipande !

Ufisadi Wa Mwakyembe na Eng. Madeni Kipande !

Ila hii ya kuwataja hao akina mama hapo umeuwa bendi;

Wengine waume zao wako huku huku jf jamani tuwe walau na
staha kidogo;

Mkuu hao wamama hawana hatia. Walionewa, na inabidi umma ujue uozo wa huyu Kipande. Wewe watu wenye watoto wadogo na waume zao kwa sbabu tu ya ajira wananyanyaswa makazini?
Kumbe pia ni mbaguzi hadi wa kidini na bado yuko ofisini?

Mwakyembe fanya la maana huyu mtu aondoke kwenye hiyo nafasi, unless kuna ajenda ya siri
 
Hao wanawake wote walikuja kukulalamikia wewe kuwa wametongozwa na Kipande au uliamua kufanya utafiti wako mwenyewe, kwa haraka naona hapa kuna wivu wa kike na kuzibwa kwa mirija ya ulaji TPA, ambapo kwa muda mrefu wachache walikuwa wakijinufaisha huku wengi tukiangamia. Nahisi umetumwa na mafisadi waliotimuliwa TPA, ambao walikuwa wakikusanya fedha cash na kuzisweka kwenye viroba badala ya wafanyabiashara kulipia benki kama ilivyo sasa. Watanzania hawana njema bt hii nchi ili iweze kwenda mbele UDIKTETA LAZIMA, vinginevyo tukiwasikiliza wazushi wachache tutaangamia eti.. kwa kutafuta kuungwa mkono umeihusisha CDM ili wadau wakasirike, acha hizo watanzania nowdays tuna akili timamu...shame one u.

Pitia waraka ambao umeambatanishwa. Hii ripoti siyo yangu. Nimaazimio ya bodi ya wakurugenzi yaliyoafikiwa ili kuboresha TPA. Mwehu kama wewe, ambaye pengine ni Kipande anajaribu kupindisha ukweli. Mimi ni mfanya kazi Serikalini, sina cha wivu, kwa wanawake wanaonyanyaswa na Kipande ! CHADEMA imeandikwa humo ndani, soma waraka vizuri. Hadi wachaga pia.

Kama hauwezi, kusikia, basi nina uhakika kusoma unaweza ndio maana umejibu
 
Chagua tuhuma nyingine ondoa hili la kutongoza futa kabisa maana mwamke yote dunian ufurahi sana akitongozwa ndio maana ujiremba sana. Akikoswa kutongozwa jua waganga wanapata dili la kuwasafsha. Acha ubwete Mwakyembe kawakomesha mchwa.
 
Lugha ya iliyotumika katika document inaonyesha ni lugha ya mtu mmoja, hvy haiwezekani ikawa maamuzi ya bodi. Nadhani mleta mada umesahau kuweka lugha ya collective responsibilities katika kuleta uongo wako. Aidha,si vema kutuhumu watu kuwa wametakwa kimapenzi katika kujustify uongo wako, haiingii akilini idadi hiyo ya waathirika ikaamua kutumia vikao visivyo na maamuzi ya msingi kudiscuss tatizo lao. Tatizo hilo ni zito na lina nyezo nyingi za kuthibitisha ikiwemo PCCB ambao wakilifanyia kazi ni issue ya masaa huyo bwana kutolewa hapo na ni nyezo rahisi kwa bodi kutekeleza malengo ya kumtoa kwa kigezo cha matumizi mabaya ya ofisi.
 
Sasa kama mtu hajamwambia mme wake kwamba Boss anamtongoza, halafu anaikuta habari JF si italeta matatizo?
 
Na bado mlizoe madili sasa milija imefungwa katafuteni kazi zingine mmeambiwa!! hivi ww jiweke wazi hapa tukujue ili tukulinganishe na mwakyembe nani msafi,
 
acha ujinga na propaganda za kihuni,wewe tu kwa maelezo yako unaonekana mhuni na mzushi mkubwa kama shetani.Mbona unakuwa mwepesi wa kutaja makabila? Wewe ni mchaga bila shaka,watu ambao mnaongoza kwa uzushi na kuundia mazengwe watu wengine.Ingekuwa huyu bwana Kipande ni mchaga ungetoa huu ushuzi wako? Badilika na jifunze
 
Mleta mada

ungetaka hii inoge ungeleta ya KISWAHILI

kama kweli unataka iwe na impact kisha unaimwaga kila sehem
 
Mleta mada

ungetaka hii inoge ungeleta ya KISWAHILI

kama kweli unataka iwe na impact kisha unaimwaga kila sehem

Long live Dr. Mwakyembe. You are shaking off mediocrity and "business as usual" syndrome. Washindwe na walegee wanaotumwa na shetani kukusumbua. Tumpate wapi tena mtu Kama wewe? Unayefufua reli na kungoa mizizi ya kifisadi badala ya kukata matawi? Nimeshakuombea dua kabla ya ku click "send". Na watashindwa. Tuhuma za huyo kipande ni disciplinary, mtoa mada kashindwa kuonyesha uhusiano wa moja kwa moja kwa mañana kwamba siyo hulka za kibinadamu na hao wanawake Kama ni kweli wange channel complaints zao hata mahakamani.
 
Wana JF vipenzi wa mwakyembe hawatakuelewa hata uwape documents za aina gani isipokuwa hadi pale watakapolazimishwa kunywa maji ya ku-neutralize yale maji ya ziwa kyela waliyokunywa awali. Mwakyembe ni Mungu wao hata akitembea uchi barabarani watamsujudia tu. Utaniambia!

Wameelewa wale wa Magufuli kuwa sheria anazotumia ni feki itakuwa hawa wa Mwakyembe?

Tatizo hapa sio mwakyembe ni mfumo. UUkiisoma hiyo document utaweza kuona clearly vision ya Minister ilikuwa ni nzuri lakini kuna mabo yetu ya kitanzania yameingia hapo kiasi anshindwa kutekeleza majukumu yake. In short Eng Kipnde ana nguvu kuliko hata Waziri sio Bodi pekee.

Huu mfumo bila kuujua hatuweza kuurekebisha. Nampongeza sana John Ulanga kwa kutayarisha such a document inayotufungua macho
 
Lisemwalo lipo...

Uonevu wa kijinsia,ubaguzi wa kikanda na vitisho ni dalili za utendaji mbove usiohitaji kukosolewa. Mwakyembe (Dr) sio malaika anaweza fanya makosa, na muungwana siku zote hutamthimini makosa yake na kuyasahihisha...!

Lakini kwa kuwa watanzania tumekuwa watu wa kuongea bila vitendo, tuliowapa madaraka watatutendea ndivyo sivyo mpaka tutakapo amka toka dimbwi la ujinga na uoga usio na maana na kuchuka hatua stahiki dhidi ya hizi dhuluma.
tabiri
anapendelea kanda ipi?kabila lip ?
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe mbona haziendani?sijaona mahala popote palipoelezewa ufisadi wa Mwakyembe.
 
Madeni Kipande nilikuwa najiuliza kwanini hata ktk upuuzi wake anajiamini hivyo! Kumbe nimepata jibu ana undugu na Mkuu wa Nchi! hii ndio Tz. na siku zote watu wa Pwani ni hatari sana kuwa ktk madaraka wana mambo ya ajabu sana sana.:frusty:
 
Waswahili wanasema ukila na kipofu usimguse mkono! Ni wazi kipofu ameguswa mkono na sasa ana wasiwasi kuwa ugali aliokuwa anakula umeshapunguzwa, kwahiyo anahaha kuhakikisha ugali unabaki kuwa wake tu!
 
Ukabila ni tatizo la msingi ambalo lisipochukuliwa hatua stahiki nchi haitapiga hatua.
Alichokifanya dk.Mwakyembe kwa TPA kinatakiwa kifanyike na kwa sehemu nyingine zenye dalili za ukabila.
Tuhuma hizi zina kila dalili ya kuandaliwa na watu waliokua wakinufaika kupitia board iliyovunjwa kama sio board yenyewe.
NINAUNGA MKONO JUHUDI ZA DK.MWAKYEMBE KUTEKELEZA B.R.N TPA.
Aendelee hivyo hivyo na ikiwezekana akaze zaidi ili bandari yetu iwe SAFI.
 
Mkuu hao wamama hawana hatia. Walionewa, na inabidi umma ujue uozo wa huyu Kipande. Wewe watu wenye watoto wadogo na waume zao kwa sbabu tu ya ajira wananyanyaswa makazini?
Kumbe pia ni mbaguzi hadi wa kidini na bado yuko ofisini?

Mwakyembe fanya la maana huyu mtu aondoke kwenye hiyo nafasi, unless kuna ajenda ya siri

Rais JK kasema ukitaka kula kubali kuliwa
 
ndiyo Rwanda,Uganda na wenginr wanaikimbia bandari Dar na kwenda Mombasa!!? Hawa mafisadi wamejaa pale bandari na wezi watupu .hata ningekuwa mimi ningeikimbia bandari ya Dar.wizi wa makontena.Rushwa iliyokithiri,hakuna ufanisi wa kazi.uchakuaji wa mafuta ,kuchelewa kwa mizigo,kodi kumbwa ya makontena ,hakuna njia ya uhakika ya kuingia na kutoka bandari,miundo mbinu mibovu ya barabara .ya kila aina upumbavu umejaa hii bandari Dar .sasa chuki ngapi kwa Rwanda na Uganda kuikimbia bandari hii mbovu??hawa wote ni mafisadi wa ccm na washirika wake!! ndiyo wanaotuangusha
 
Wajumbe wa bodi wamekosa ulaji wamebaki kulialia na vishutuma visivyo na mashiki.
 
Back
Top Bottom