Bakeza
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 352
- 201
Heri yangu nimeuona huu kabla haujaondolewa.
Afadhali hata mimi nimedaunlod kabisa picha kwa kumbukumbu
Heri yangu nimeuona huu kabla haujaondolewa.
Yaani kampuni ni ya Shemeji,lakini anayetuhumiwa ni Membe?
Siasa zetu zitakua za kijinga sana kwa staili hii.
Nadhani hapa ni gutter politics ndani ya chama chao tu.Mafisadi wanataka kila mtu aonekane kuwa anafanana nao.
Wanajamvi kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye siasa za Tanzania kumuhusu ndg Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na ambaye anatajwa kwenye mbio za kusaka ukuu wa nchi kuwa ni msafi na asiye na doa.
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na wenzake huko kwenye chama chao,huyu bwana ameitia nchi hii kwenye hasara kubwa kwa makusudi ama kwa malengo anayoyajua yeye.
Akiitumia kampuni ya ujenzi ya shemeji yake Emmanuel Masanche iitwayo MODSPAN bwana huyu alichukua kandarasi ya ujenzi wa gati katika bandari ya Mbamba Bay huko Ruvuma na Kigoma lakini kilichofanyika ni usanii wa hali ya juu kwani gati la Mbamba Bay halikidhi viwango na liliamriwa kubomolewa na kujengwa upya.
Ajabu ni kwamba hasara hii ni ya serikali kwa sababu MODSPAN imelipwa fedha zote na kandarasi imepewa tena kampuni ya kichina kubomoa gati hilo na kulijenga upya huku MODSPAN ikiachwa kwa amani kabisa na haijachukuliwa hatua zozote kisheria kisa kazi ilikuwa ya bwana mkubwa MEMBE.
Hivi huyu anaitakia mema hii nchi kweli ndg zangu.....shime wananchi CCM ni kama ukoo wa panya hakuna aliye msafi huko tuwaondoe
View attachment 149045View attachment 149045
Pichani ni sehemu ya gati hilo la mbamba bay ambalo linavunjwa ili kujengwa upya.

kwa hyo nani msafi?ondoa upuuzi hapaWanajamvi kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwenye siasa za Tanzania kumuhusu ndg Benard Membe, waziri wa mambo ya nje na ambaye anatajwa kwenye mbio za kusaka ukuu wa nchi kuwa ni msafi na asiye na doa.
Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na wenzake huko kwenye chama chao,huyu bwana ameitia nchi hii kwenye hasara kubwa kwa makusudi ama kwa malengo anayoyajua yeye.
Akiitumia kampuni ya ujenzi ya shemeji yake Emmanuel Masanche iitwayo MODSPAN bwana huyu alichukua kandarasi ya ujenzi wa gati katika bandari ya Mbamba Bay huko Ruvuma na Kigoma lakini kilichofanyika ni usanii wa hali ya juu kwani gati la Mbamba Bay halikidhi viwango na liliamriwa kubomolewa na kujengwa upya.
Ajabu ni kwamba hasara hii ni ya serikali kwa sababu MODSPAN imelipwa fedha zote na kandarasi imepewa tena kampuni ya kichina kubomoa gati hilo na kulijenga upya huku MODSPAN ikiachwa kwa amani kabisa na haijachukuliwa hatua zozote kisheria kisa kazi ilikuwa ya bwana mkubwa MEMBE.
Hivi huyu anaitakia mema hii nchi kweli ndg zangu.....shime wananchi CCM ni kama ukoo wa panya hakuna aliye msafi huko tuwaondoe
View attachment 149045View attachment 149045
Pichani ni sehemu ya gati hilo la mbamba bay ambalo linavunjwa ili kujengwa upya.
though u're too old but u've already proved to be too weak in expressing your points... here's the anticipation... u'd nothing tangible that would add value in this discussion.you are too young to understand how the matrix works baby!
You're very right... we're excellent in complaining but worst in the delivery... go on Muhongo.hapa cha msingi ni kulaumu kandarasi za kizalendo,maana wakipewa kazi wanaharibu na wasipopewa kazi wanalalamika,hapa anayeumia si serikali ni mtanzania,maana kodi yake ndio itakayotumika kujenga upya.
kwaupande wangu huwa namuunga sana mkono Prof Muhongo,kwani kampuni za kizalendo ni janja janja sana,wazawa ndio tunaoiumiza serikali
Mleta mada naona umetumwa na unataka kuchafua siku yangu ya kuzaliwa,Sina mapenzi na CCM,lakini Membe ni kati ya wadilifu wachachae ndani ya ccm,Nalifahamu hilo,ndio maana watu wajinga kama wewe mnajaribu kumpaka matope kuchafua image yake.
Mleta uzi umeshindwa kuonesh Mh Membe anahusika vipi na gati ya Mbamba Bay? Labda huyo mkandarasi ni shemeji ya magufuli,au tenda hiyo ingekuwa imetolewa na Wizara ya Mambo ya Nje?
Jaribu kuhusisha ubongo wako unapoleta uzi!
UKANA SHILUNGO!
[/COLOR][/SIZE]
mmmmh! not "this discussion" but your thinking capacity in the world of matrix!think the big picture!!!though u're too old but u've already proved to be too weak in expressing your points... here's the anticipation... u'd nothing tangible that would add value in this discussion.
Nenda Mtwara utaona Hoteli za Naf blue ambazo Ni Five Stars zinamilikiwa na Membe , Sasa ndo ujiulize je Ni kweli uwaziri unalipa kiasi hicho[/QUOTE
Natoka Mtwara,tatizo lako unatoka nje ya Mada,na wivu unakusumbua,sidhani kama unajua unalolisema,tafakari!