Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,578
- 1,817
Mleta mada naona umetumwa na unataka kuchafua siku yangu ya kuzaliwa,Sina mapenzi na CCM,lakini Membe ni kati ya wadilifu wachachae ndani ya ccm,Nalifahamu hilo,ndio maana watu wajinga kama wewe mnajaribu kumpaka matope kuchafua image yake.
Mleta uzi umeshindwa kuonesh Mh Membe anahusika vipi na gati ya Mbamba Bay? Labda huyo mkandarasi ni shemeji ya magufuli,au tenda hiyo ingekuwa imetolewa na Wizara ya Mambo ya Nje?
Jaribu kuhusisha ubongo wako unapoleta uzi!
UKANA SHILUNGO!
[/COLOR][/SIZE]
hivi unafahamu hata Richmond ilipingwa vibaya saana mwanzoni..wakamuita Slaa muongo na mnafiki...wewe ropoka tuu utaja baki peke yako hapa !!