Ufisadi wa Kinana na Trans African Logistics Limited (TALL)

Ufisadi wa Kinana na Trans African Logistics Limited (TALL)

Status
Not open for further replies.
Mkuu bila shaja uliandika huku umekunywa virobo au banana.

Hivi ninavyo andika nimekaa na mzee wa kisomali mwenye umri wa miaka 87, na ananihakikishia ya kuwa hayo ni makabil ya kule somalia, ukoo ni kama Saad Muse au marehan.

Amenipa mfano ya kuwa yeye ni Ishakia na mwenye tansoma ni hawiya, makabila mawili tofauti.
 
Daaaah! hata kama ni chuki kwa 'Kinyanya' a.k.a Kinana a.k.a Kinyaa basi chuki ni buree.. weka hoja mdau sio porojo!!!!

ndio maana tanzania hatuendelei, Wacheni wivu na husdah. tafutene vya kwenu. mbona amuwasemi akina, Mtei, Mbowe na ndesamburu wametoa wapi hizo mali na walikuaga masikini. Mbona hamzungumzii ujangili wa mbowe kuwauzia cdm magari mabovu kwa bei sawasawa na gari mpya
 
Ukienda pale TALL hakuna gari hata Moja Chezea Magufuli ulikuwa ufisadi uliokubuhu kati ya wafanyakazi mafisadi wa bandari,TRA,na mafisadi wenye bandari kavu binafsi.Sasa hivi hizo bandari kavu fisadi zinalia kilio cha mbwa kweupe hakuna biashara Magufuli kawashughulikia barabara
 
Ni zaidi ya wiki sasa toka meli iiitwayo HOJIN V08 ifike na kushusha magari kwenye bandari kkavu inayomilikiwa na Katibu mkuu Kinana.

Meli hii ilifika tarehe 24/12/2012. Kinachangaza wengi ni kuwa mpaka sasa hakuna release order zinazotoka ukiulizwa unaambiwa custom officer anayetoa release ni mmoja tu. Bandari hii imekuwa na tabia ya kuchelewesha magari ya watu ili wanufaike na gharama za storage ambazo kwa gari za local hulipwa baada ya siku 7 na transit siku 14.

Tunaomba wahusika wa bandari walifuatilie suala hili kwa haraka iwezekananvyo. Pia custom officer aitwaye ANNA kwenye bandari hii ni kikwazo hii ni kutokana na jeuri aliyo nayo kwa vile Mme wake ni bosi TRA.

Naomba kuwasilisha.
Nilikuwa nashangaa kwa nini CCM tunamng'ania Kinana.Alishindwa kabisa kuwawajibisha wezi,mafisadi na wahuni ndani ya chama kwa sababu ya conflict of interest,yeye mwenyewe sio mwaminifu,
angewezaje kuwawajibisha watu
wasio waaminifu?

Mimi ni mtu ambaye naamini kwamba mtu yeyote akishakuwa na tuhuma zozote, asipewe uongozi serikalini au kwenye chama.Kiongozi anapaswa awe mtu asiyenyooshewa vidole,otherwise anakosa authority.Kinana alikuwa ananyooshewa vidole,ndio maana alikosa authority ya kuondoa uovu ndani ya chama.Kwa nini aliendelea kuwa kiongozi wa ngazi ya juu is hard to tell.
 
Ama kweli ukitaka kumuua mbwa basi utamwita majina yote mabaya! Kinana amekukosea nini?

Kukitokea mapungufu katika biashara zake kama haya hapa yeye hanufaiki?

Ni kwamba ananufaika na hilo ndo kosa lake
 
......Nimecheka sana..kichwa cha habari....habari yenyewe....Nawaza siku Kibaka akikamatwa akiwa anaiba huku kavaa fulana ya bluu au ya kijani....sijui vichwa vya habari vitakuwaje....
Anaitwa kwayu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom