Yaani afadhali wangekuwa wanavitunza vizuri vile vyooHepu fikiria, sehem ya Passport Check kwa wanaowasili, Mnapanga mstari na Vyoo viko pembeni yenu kushoto na unasikia harufu....
Shame on them,
tobaaa ilala,,,,mi nafikir kuna umuhimu mkubwa wa kuwachunguza sana hawa mabwana ambao wako TAA miaka na miaka...BWA MSANGI NA BWANA TESHA....HAPO HIYO COMBINATION YA MCHAGA NA MPARE...INATUREJESHA KWENYE UTUMWA KABISA...WANA DHARAU SANA ...HATA IKITOKEA UKIPINGANA NA HUYO MUHINDI AKIKUFIKISHA KWAO UMEKWISHA BILA HATA YA KUJIELEZA....
UFISADI UTAISHA LINI JAMANI???????????????
Hiyo combination ni hatari, kama ya D. Yona na Mramba, eh!!
Ile AIRPORT kwa kweli hadi inatia Kinyaa. Sehemu zote za ndani wamekaa Wahindi. Maduka yote yamejaa Wahindi na ndani hata bidhaa za Tanzania ni za kuhesabu. Hii hali kweli ilinitibua sana. Nilikuwa na hamu niiandike ila nikawa nagwaya.
Nafikiri inabidi hili lipigiwe kelele na hawa watu waulizwe, imekaaje Wahindi ndiyo washike yale maduka yote? Yaani hakuna Mpingo hata mmoja anaweza kuendesha ile biashara ya maduka pale DIA?
Mhindi hawezi kuwa mtanzania?
Amandla........
Habari za wajinga wa kihindi nimesha isema sana sana .Mie ni mtumiaji mzuri wa uwanja huu lakini hata Duty Free shop eti ni wahindi hata wageni hutushangaa .Wahindi wenyewe hakuna hata mmoja anaongea kiswahili , kama mnabisha siku ukiwa kule jaribu utaona mambo ya ajabu .Pare zauzwa bidhaa za nje kwa wingi na sisi bidhaa zetu sijui tuna uzia wapi .Hivi JK huwa hapiti uko akaona ?
Sema FM,
Watanzania ni wabaguzi sana. Mie kwa mfano niliona maji yametengenezwa nje ya Tanzania na nilipodadisi wakajibu kuwa bidhaa zote zile hata kama zimeandikwa made in India, ukweli ni kuwa wanafanya hivyo ili kuongeza UJIKO ila ukweli ni kwamba zote ni MADE IN TANZANIA na wanafanya kubadilisha label tu.
Nilipotaka kujua kwa nini wote wanaonekana ni Wahindi, akasema ni macho yangu tu na hiyo inaongeza sana ujiko kwa watu kama Wahaya ambao huwa wanajiona kama Wazungu vile. AKasema wengi wao ni MIPINGO kabisaa ila wanavaa tu ngozi za kihindi na kujifanya hawajui Kiswahili ili kupandisha hadhi ya DUKA.
Hivyo Wana JF, zile bidhaa zote mle ni za KITANZANIA, na wale wahindi wote ni Watanzania. Msilalamike kabisaa.
Hiyo India ilikuwa mfano tu na siwezi kuandika nchi hasa.Ujiko kwa nani? Tangu lini kitu Made in India kimekuwa na ujiko? Hata kwenye pharmacy zetu wanajua hilo! Mpelekee mkeo kanga ya India wakati amekuagiza ya Urafiki uone kama atafurahia.
Kutokujua kiswahili sasa kumekuwa ishara ya kutokuwa mtanzania?
Mnapunguza nguvu za hoja yenu kwa kuingiza ubaguzi. Kama tatizo ni mtu kunyang'anywa haki yake, tuko pamoja. Hata kama aliyemnyang'anya ni mdogo wake wa kuzaliwa baba na mama. Kama tatizo ni huyo unayemuita mhindi kufanya biashara kwenye uwanja huo wa ndege, basi huko siko. Naona wengine wameishawaingiza wapare na wachaga katika rada yao! Mtakuja kumalizana mkiendekeza upuuzi huu!
Amandla......
...Mtakuja kumalizana mkiendekeza upuuzi huu!