Umejitahidi sana kujitetea au kumtetea Lowasa, lakini utetezi wako unakosa misingi ya utetezi. Unaposema kile ua hiki kilitendeka wakati wa Waziri Malcela au Sumaye au whoever, husemi ni namna gani Waziri husika alihusika na ufisadi huo. Lowasa anatuhumiwa siyo kwa sababu alikuwa Waziri Mkuu hapana! Anatuhumiwa kwa sababu tume ya Bunge ya Dr Harrison Mwakyembe iliyopewa jukumu la kuchunguza tuhuma za Richmoond ilibaini namana Lowasa alivyohusika na ufisadi ule. Hivyo kuna document (waraka) maalum unaotoa maelezo ya kiina juu ya tuhuma hizi. Si rahisi kufuta taarifa tume ya Bunge. Hao mawziri wako unaotaka kufanananisha na tuhuma za Lowasa hakuna taarifa rasmi zinazowahusisha wao moja kwa moja.
Jambo la pili ni kuwa hata kama wao nao walituhumiwa haiwezi kuwa kibali cha kumruhusu Lowasa kufanya ufisadi kwa kisingizio ati Waziri Mkuu Sumaye au Malecela alifanya ufisadi uleule au unaofanana nao. Kosa halihalalishi kosa lingine lisiwe kosa. Huwezi kuiba ati kwa sababu fulani aliiba akaachiwa. What nu sense argument?
Lakini kwa nini tunapigana kufa na kupona kutetea uovu na kumsafisha muovu? Ni kwa sababu hakuna watanzania wengine wasafi au ni kwa sababu na sisi ni waovu hivyo tunataka kuunda umoja wa watu waovu? Tanzania lieweke kama taifa la waovu? Ufisadi umeota mizizi kiasi kwamba umeunda umoja wa kujitetea na kupambana na watu waadilifu ili waadilifu waonekane kama ndiyo wenye makosa dhidi ya mafisadi. Mafisadi sasa wameanza mashambulizi dhidi ya waadilifu? Jambo hili si la ajabu katika jamii kwa sababu jambazi ukilikurupushwa ama zako ama zake. Majambazi, daima katika kutekeleza azima zao huua watu wenye mali zao ili kupora wakitakacho. Si ajabu fisadi Lowasa kuwaona watu wote wanaofichua uovu wake kuonekana kama wanamuonea na akiweza anaweza kuwashambulia ili awatokomeze kabisa, lakini kwa bahati mbaya uovu haujawahi kuushinda uzuri. Lazima JOKA LISHINDWE.
Wanaozungumzwa kuhusu ufisadi ni wengi lakini mbishi ni Lowasa, Waliokatwa kwenye nafasi ya Urais ni wengi lakini mbishi ni Lowasa, waliojiuzuru nafasi mbalimbali za uongozi ni wengi lakini aliyeonewa ni Lowasa peke yake ni Lowasa. Hivi ni kwa nini

Hivi ni Lowassa pekee ndiye fisadi ndani ya CCM?
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.
- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?
- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.
- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .
- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye.
- Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.
- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.
- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.
- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.
- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.
- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa,chenge na Dr. Rashid walihusika.
- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.
- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.
- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta,Samia suluhu wanahusika.
Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.
- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.
- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.
- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.
- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.
- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.
- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete,Muhongo,Maswi,Albert Marwa wanahusika.
- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.
NIENDELEE AU?