Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

lowassa ni msafi kwa 100%
NI WANAFIKI PEKEE WASILOLIONA HILO,WANA MACHO LAKINI HAWAONI,WANA MASIKIO LAKINI HAWASIKII,WAMEJIVISHA UPOFU
 
UFISADI ASILIMIA 90 HAKUA LOWASA...
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.

- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?

- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.

- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .

- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye.

- Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.

- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.

- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.

- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika.

- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.

- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.

- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika.

-Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.

- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.

- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.

- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.

- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.

- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.

- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika

- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika. Tanzania hii Tatizo ni CCM

Teh teh teh naona kila siku mnakuja na madodoki mapya! Hili la leo umelinunua duka gani au umelitengeneza mwenyewe?
 
Kujificha kwenye shamba la karanga ni vigumu,mnahitaji miaka kumi kumsafisha maana kachafuka mno,bali si kusema mbona fulan na fulan mchafu haisaidii maana mshikwa na ngozi ndo mwizi
 
Daaaaaaa amakweli hawa jamaa wamelitafuna hilitaifa vya kutosha watz wote tuseme inatosha sasa
 
You can't be clean just by showing how dirty someone else is!
 
CCM wamelala fisadi wote papa na vidagaa. Huyu mmoja tutamfundisha kuwa mwadilifu hata jaji mdahalo wa Butiku alisema: huwezi kuyamaliza mafisadi mengi ukiwa peke yako kama Magufuli
 
Wazee kigoda cha nyerere mnaona au mpaka mvae miwani ya mbao na Humphrei utoe tamko siyo ujidai unaipenda tz kumbe ni mnafiki wa habari tu. NGuVu ya Uma Yatosha.
 
Fisiem vichwa vote chini vuvuzera nape kapigwa ngwala kaangukia kisogo
 
Ni bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi,ni rahisi kwake kubadilika na kuambukizwa usafi kuliko kuendelea kuchagua genge la majambazi yaliyotufikisha hapa kwenye mfumuko wa bei na maisha ya gharama namna hiii. kwangu mie nachokiamini ni kwamba ukiona mtu anajikita kutetea genge hilo la maccm yaliyo majizi yasiyo na huruma nahisi labda ni matokeo ya utapiamlo tulionao watanzania yanayotufanya kuwa wasahaulifu,lakini pia kuwa na uwezo mdogo wa kuona na kuchambua mambo.Baada ya uchaguzi tutarudi kulalamika tena kwa yale yale ya jana yaliyofnywa na serikali ile ile yenye uhai wa miaka 54 ambayo bado ni changa kwa umri huo wa zaidi ya nusu karne. "tunahitaji mabadiliko ya kimfumo na si ya mtu,mfumo ule ule kwa sera zile zile hatuwezi".Tumwache Lowassa akafanye katika mfumo mwingine:A S confused:
 
Hakuna mwema hata mmoja.tunahitaji mtendaji makini bila kigugumizi,anayeweza kusimamia na kutoa maamuzi Magumu kama marehemu Sokoine. Siyo kidumu ccm zidumu fikra za mweyekiti.
 
Hivi ni Lowassa pekee ndiye fisadi ndani ya CCM?

- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa
Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.

- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya
Lowassa?

- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni
Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.

- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .

- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa?
Waziri mkuu alikuwa Sumaye.

-
Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.

- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.

- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.

- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa,chenge na Dr. Rashid walihusika.

- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.

- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.

- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta,Samia suluhu wanahusika.

Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.

- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.

- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.

- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.

- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.

- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.

- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete,Muhongo,Maswi,Albert Marwa wanahusika.

- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.

NIENDELEE AU?
Wala haonelewi lakini kama alikaua na nia njema na alikua anachukia umaskini angechukua hatua wakati huo huo au kabla ya kuweka jina lake ktika wanao gombea uraisi...
 
kuna majizi chungu nzima yamejifukia ndani ya CCM yanaitafuna nchi kila siku bila huruma lakini kila siku hawa mapuuzi wako busy kumpaka Lowassa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom