Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

.si rahisi kuwalinganisha makongoro na riz 1, sababu ktk utawala wa baba riz 1 vyombo vya habari vipo huru, hata ukijikwaa kidogo ukasema naunga "mkonyo' badala ya "mkono" wanaandika. Lakini enzi ya utawala wa baba kongoro vyombo vya habari vilidhibitiwa. Kama alikwiba mpunga na kuchoma BOT, kama aliuza mgodi wa almasi-mwadui, almasi ilichimbwa tukabaki masikini, kama alitoa tenda ya kuagiza magari ya serikali kwa shemeji yake, kama alikuwa anamiliki pesa nyingi kwenye akaunti zake za ulaya, isingekuwa rahisi kuujua ukweli. Wapo mafissadi wanaojificha riz 1 anasiingiziwa..
 
Tatizo tokea fisadi amejiunga na chama chetu tumekua watu wakutetea ufisadi ,jamaa katufanyia mabadiriko ya ajabu, tulikua tunachukia ufisadi sasa tunatetea mafisadi!........
CHADEMA ianze kwanza mabadiliko ya ndani mwake ndiyo ipeleke nje! nataka kugombea uenyekiti CHADEMA!!!
 
Mkuu watanzania tunadanganywa sana Na CCM .Chama hiki kina orodha ndefu sana ya viongozi wake Wa kichama Na serikali kuhusika katika kashfa mbalimbali za ufisadi.Viongozi hao wengi wao bado wako katika nafasi zao hawajawajibishwa kutokana Na kulindana.Waliohusika Na wizi Wa EPA eti mkuu Wa nchi anawaomba warudishe Hela walizoiba.Escrow eti mkuu anasema Hela sio za umma lakini ukiwa ndani ya CCM wewe sio fisadi Mh.Lowassa alivyotoka CCM Ilani ya CCM agenda ya kwanza kuombea kura in kumtaja lowassa fisadi je wezi Wa EPA ESCROW sio mafisadi! CCM kuweni Na AIBU kwa Wapiga kura
 
Tuntemeke Sanga mbona unatokwa Na povu? CCM Chuo Kikuu cha mafisadi Wa nchi hii hili halina ubishi utake usitake .Mwizi Wa EPA anaombwa akipata Hela arudishe tena na mkuu Escrow eti Hela zake sio za umma Acha chuki binafsi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom