Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Nimefanya tafakuri isiyo na kiburi kwa muda sasa. Tangu mwaka 2008,nafuatilia nyendo za chama kumlinda,kumsemea na hata kumuumbua Edward Lowassa ambaye alihusishwa na kashfa ya Richmond. Edward Lowassa aliachia ngazi/alijiuzulu uwaziri mkuu wa Tanzania kwa shinikizo la Bunge akihusishwa na kashfa hiyo ya Richmond. Akajiweka pembeni hadi alipoibuka kwenye mbio za Urais mwaka huu.

Ilisemwa kuwa alipokuwa ndani ya CCM yetu,CCM alikuwa ikimlinda na hata isimpeleke Mahakamani kuyakabili makosa ya kifisadi kama akina Daniel Yona, Basil Mramba na Grey Mgonja.

Ukatajwa urafiki wake na Rais Kikwete na ngazi ya kiuongozi aliyoifikia-ya Waziri Mkuu kuwa ni kikwazo. Lowassa akasemwa kuwa analindwa na chama na serikali. Kila akichokozwa na kusemwa,Lowassa alibaki kimya.

Mwaka huu,baada ya kukatwa jina lake CCM, Lowassa alihamia CHADEMA. Huko amesimamishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho.

Sasa Lowassa ni mpinzani na hana tena ule ulinzi wa CCM na serikali yake. Yaani,angeweza sasa kuumbuliwa kwa nyaraka na hata santuri juu ya Richmond kwakuwa amechagua upande mwingine. Au hata kuburuzwa Mahakamani.

Yote hayo tisa,kumi ni pale Jangwani katika ufunguzi wa kampeni za CCM. Ilitegemewa kuwa Lowassa angelipuliwa kwa nyaraka na ushahidi mwingine kwa ufisadi wake wa Richmond na mwingine wowote uwao.

Mwenyekiti Kikwete aliishia kusema kuwa Lowassa ana mali zenye mashaka. Alisema kuwa Lowassa ana makandokando. Lakini,hakuyataja wala kupambanua. Jangwani ulikuwa uwanja wa wazi na wa kujidai kumlipua Lowassa. Haikuwa hivyo.

Sasa naamini kuwa Lowassa hakuhusika, kwa namna na ya kufaidika, na kashfa ya Richmond na hata nyingine yoyote.

Ingawa, bado simuoni kama Rais bora kwa Tanzania ijayo. Simuungi mkono. CCM inahofu nini kumlipua Lowassa ili wananchi wauone ufisadi wa Lowassa sasa?? Hakuna atakayeamini tena,baada ya kunyamaza Jangwani,kuwa Lowassa ni fisadi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Haki haishindwi na uovu!
 
Kwani mikataba ya nchi yyt inapofanyika je wazir mkuu anakua hausiki.....!!? Je wakat hyo mikataba ikifanyika yy alikua wapi......!!?
 
Nimefanya tafakuri isiyo na kiburi kwa muda sasa. Tangu mwaka 2008,nafuatilia nyendo za chama kumlinda,kumsemea na hata kumuumbua Edward Lowassa ambaye alihusishwa na kashfa ya Richmond. Edward Lowassa aliachia ngazi/alijiuzulu uwaziri mkuu wa Tanzania kwa shinikizo la Bunge akihusishwa na kashfa hiyo ya Richmond. Akajiweka pembeni hadi alipoibuka kwenye mbio za Urais mwaka huu.

Ilisemwa kuwa alipokuwa ndani ya CCM yetu,CCM alikuwa ikimlinda na hata isimpeleke Mahakamani kuyakabili makosa ya kifisadi kama akina Daniel Yona, Basil Mramba na Grey Mgonja. Ukatajwa urafiki wake na Rais Kikwete na ngazi ya kiuongozi aliyoifikia-ya Waziri Mkuu kuwa ni kikwazo. Lowassa akasemwa kuwa analindwa na chama na serikali. Kila akichokozwa na kusemwa,Lowassa alibaki kimya.

Mwaka huu,baada ya kukatwa jina lake CCM, Lowassa alihamia CHADEMA. Huko amesimamishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Sasa Lowassa ni mpinzani na hana tena ule ulinzi wa CCM na serikali yake. Yaani,angeweza sasa kuumbuliwa kwa nyaraka na hata santuri juu ya Richmond kwakuwa amechagua upande mwingine. Au hata kuburuzwa Mahakamani.

Yote hayo tisa,kumi ni pale Jangwani katika ufunguzi wa kampeni za CCM. Ilitegemewa kuwa Lowassa angelipuliwa kwa nyaraka na ushahidi mwingine kwa ufisadi wake wa Richmond na mwingine wowote uwao. Mwenyekiti Kikwete aliishia kusema kuwa Lowassa ana mali zenye mashaka. Alisema kuwa Lowassa ana makandokando. Lakini,hakuyataja wala kupambanua. Jangwani ulikuwa uwanja wa wazi na wa kujidai kumlipua Lowassa. Haikuwa hivyo.

Sasa naamini kuwa Lowassa hakuhusika, kwa namna na ya kufaidika, na kashfa ya Richmond na hata nyingine yoyote. Ingawa, bado simuoni kama Rais bora kwa Tanzania ijayo. Simuungi mkono. CCM inahofu nini kumlipua Lowassa ili wananchi wauone ufisadi wa Lowassa sasa?? Hakuna atakayeamini tena,baada ya kunyamaza Jangwani,kuwa Lowassa ni fisadi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mkuu umeandika vyema lakini hapo chini umeteleza kidogo, lakini hata hivyo Mungu akubariki kwa kusimamia ukweli!
 
Wengi wetu tunapaswa kumuomba radhi Edward LOWASSA kwa kumtukana,kumkashifu n.k kwa hisia zenye chuki zilizoasisiwa na vita ya uongozi kwenye CCM bila kujua.Kamanda Lowassa hana budi kutusamehe,tulidanganywa na wahusika wakuu wa Richmond bila kujua.
 
Kama vile hujaelewa topic hivi...?
Nimeelewa sanaaa.....!! Nifahamuvyo mm n kwmb wazir mkuu ndo msimamiz wa biashara za serikal......!! Sasa je yy hakucmamia hilo...!! A kama hakuhusika kwann asikemee na kama aliona ngum kwann acjiuzulu.....!!?
 
Nafikir kuna ukweli fulan hapo! Kwa maana kama mtu anatuhumiwa na nyaraka za uthibitisho zipo! nafikiri hakuna tena kutuhumu bali ni hukumu ndio inayofuata! Kuhusu kutoridhishwa na EL kuwa raisi sio issue kwan kila mtu ana mtazamo wake na mambo anayoamin! Ila kutuhumu au kuhukumu muhimu uthibitisho uwepo!
 
ccm hawajapata kusema lowasa ni fisadi.

chadema ndo wamedai wana ushahidi kuwa lowasa fisadi.

ccm wamemkataa lowasa kwani amechafuka sana na alikua na mwelekeo wa kugawa pesa katika kampeni zake na ana utajiri usio maelezo...

lini ccm ilitamka lowasa fisadi?
 
Lowassa angekuwa anahusika na Richmond sasa hivi angekuwa Segerea.
Huo ni mzigo wa JK.
 
Nimefanya tafakuri isiyo na kiburi kwa muda sasa. Tangu mwaka 2008,nafuatilia nyendo za chama kumlinda,kumsemea na hata kumuumbua Edward Lowassa ambaye alihusishwa na kashfa ya Richmond. Edward Lowassa aliachia ngazi/alijiuzulu uwaziri mkuu wa Tanzania kwa shinikizo la Bunge akihusishwa na kashfa hiyo ya Richmond. Akajiweka pembeni hadi alipoibuka kwenye mbio za Urais mwaka huu.

Ilisemwa kuwa alipokuwa ndani ya CCM yetu,CCM alikuwa ikimlinda na hata isimpeleke Mahakamani kuyakabili makosa ya kifisadi kama akina Daniel Yona, Basil Mramba na Grey Mgonja. Ukatajwa urafiki wake na Rais Kikwete na ngazi ya kiuongozi aliyoifikia-ya Waziri Mkuu kuwa ni kikwazo. Lowassa akasemwa kuwa analindwa na chama na serikali. Kila akichokozwa na kusemwa,Lowassa alibaki kimya.

Mwaka huu,baada ya kukatwa jina lake CCM, Lowassa alihamia CHADEMA. Huko amesimamishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Sasa Lowassa ni mpinzani na hana tena ule ulinzi wa CCM na serikali yake. Yaani,angeweza sasa kuumbuliwa kwa nyaraka na hata santuri juu ya Richmond kwakuwa amechagua upande mwingine. Au hata kuburuzwa Mahakamani.

Yote hayo tisa,kumi ni pale Jangwani katika ufunguzi wa kampeni za CCM. Ilitegemewa kuwa Lowassa angelipuliwa kwa nyaraka na ushahidi mwingine kwa ufisadi wake wa Richmond na mwingine wowote uwao. Mwenyekiti Kikwete aliishia kusema kuwa Lowassa ana mali zenye mashaka. Alisema kuwa Lowassa ana makandokando. Lakini,hakuyataja wala kupambanua. Jangwani ulikuwa uwanja wa wazi na wa kujidai kumlipua Lowassa. Haikuwa hivyo.

Sasa naamini kuwa Lowassa hakuhusika, kwa namna na ya kufaidika, na kashfa ya Richmond na hata nyingine yoyote. Ingawa, bado simuoni kama Rais bora kwa Tanzania ijayo. Simuungi mkono. CCM inahofu nini kumlipua Lowassa ili wananchi wauone ufisadi wa Lowassa sasa?? Hakuna atakayeamini tena,baada ya kunyamaza Jangwani,kuwa Lowassa ni fisadi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hiki unachokifanya ndiyo kushiriki kwake ktk UFISADI laiti Lowasa sngeteuliwa kua Mgombea CCM ungepumua na kurusha mabomu lakini sasa hata wewe badala ya kusimamia Ukweli unaingia kwenye kazi ya Kumsafisha miaka 8 watanzania wanajua Lowasa ni FISADI wameaminishwa na KALAMU zenu kumsafisha kwa miezi 2 haiwezekani.
Mmewapa CCM wakati BORA kuwahi kutokea ktk Chaguzi za Tanzania, yale Magamba mmesaidia kuyavua toka kwao na kuvaa nyie. Hawana haja tena ya kutaja UFISADl hiyo nyie mlikwisha maliza sasa mmeanza kufuta Maandishi yenu swali ni Je? Muda utawatoaha?
 
Kama vile hujaelewa topic hivi...?
Nimeelewa sanaaa.....!! Nifahamuvyo mm n kwmb wazir mkuu ndo msimamiz wa biashara za serikal......!! Sasa je yy hakucmamia hilo...!! A kama hakuhusika kwann asikemee na kama aliona ngum kwann acjiuzulu.....!!?

lowasa mwenyewe akihojiwa na mwanahalisi mara tu alipojiuzulu kwa kashifa ya richmond...
alitetea uamzi wake kuhusu richmond na kuwa ikitokea tena ishu kama ya richmond uamzi wake utakua huohuo.
sasa mtu mwingine ama yeye anapotaka kuruka kuwa hahusiki na richmond ni kichekesho....
 
Nafikir kuna ukweli fulan hapo! Kwa maana kama mtu anatuhumiwa na nyaraka za uthibitisho zipo! nafikiri hakuna tena kutuhumu bali ni hukumu ndio inayofuata! Kuhusu kutoridhishwa na EL kuwa raisi sio issue kwan kila mtu ana mtazamo wake na mambo anayoamin! Ila kutuhumu au kuhukumu muhimu uthibitisho uwepo!

nyaraka zote anazo dr slaa,ndo tunasubilia aende mahakamani akimaliza honeymoon yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom