Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Kusema ni bora kuliko wengine bado unasema (indirectly kuwa yeye si safi), ingaea ana unafuu kuliko orodha yako. Lakini wengine kuwa "wachafu zaidi" hakumfanyi yeye kuwa msafi! Awe dealt kulingana na huko unakokuita "bora kuliko"/uchafu wake alionao/aliokuwa nao.
 
aseeeeee!! kwakeli mambo ni motoooooooooo!!!
 
Daima uongo hutangulia kwa lift na ukweli huja kwa kupanda ngazi..
Nasubir kampeni zianze nijue mengi yanayomuhusu FISADI
 
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.

- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?

- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.

- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .

- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye.

- Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.

- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.

- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.

- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika.

- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.

- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.

- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika.

-Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.

- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.

- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.

- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.

- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.

- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.

- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika.

- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.
NIENDELEE AU?
C&P
 
Aisee. Naona Lowassa atatoka mweupe kama nywele zake bila doa hata kidogo. Nafikiri hata haja kubwa hatoi.
 
kiongozi usiwashtue namna hiyo! Wameshapoteana hawa wakijigundua kuwa wanakabiliwa na adui mmoja wataungana na kufanya utetezi wa kufa na kupona.
 
Inatosha mkuu, ukawa hata akisimama jk kugombea kwa niaba ya ukawa atapita nia ni kuondoa mfumo wa ccm
 
Ukienda hospital kupata huduma bila rushwa upati huduma stahiki.

Ukienda kwenye office za serikali kupata huduma lazima kitu kidogo.

Ukataka cheo chochote ndani ya serikali hata kama unasifa bila rushwa upandi.

Je wewe unaemtuhumu lowasa upo sahihi kweli na hili hali Huna huakika na tuhuma za huo ufisadi
 
Kiongozi ni dira na image ya taifa,

Akiwa fisadi lazima umma umlaani kwa ufisadi huo na akiwa mnyoofu basi tutamtuza kwa unyoofu wake. Hata hivyo ENL siamini juu ya kashifa zake kwa kuwa tayari angekuwa ameshitakiwa mahakamani kama akina MRAMBA, YONA n.k
 
Usishangae wanaojifanya wasafi huku wakishindwa kuwafikisha mafisadi mahakamani, mwisho wa siku wakashitakiwa na kuthibitishwa bila shaka yoyote kuwa ni waovu!
Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!
Tunatakiwa tumchague kiongozi atakayetuhakikishia kuwa atawashitaki mafisadi na wezi wote wa mali za uma!
Kama wanasema Lowasa fisadi, basi watuambie lini atashitakiwa na vivyo hivyo naye Lowasa atuhakikishie kuwashitaki majizi ya upande wa pili yanayomtuhumu!
Serikali ambayo haiwezi kutetea na kulinda mali za uma haifai!
 
UFISADI ASILIMIA 90 HAKUA LOWASA...
- Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!.

- Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa?

- Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela.

- Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye .

- Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye.

- Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika.

- Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda.

- EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua.

- NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika.

- Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika.

- Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika.

- Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua.

- Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika.

-Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika.

- TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu.

- Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika.

- Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika.

- Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe.

- Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika.

- Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika

- Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika. Tanzania hii Tatizo ni CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom