Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

Duuh! kwa jinsi ulivyoandika wewe kama sio msaidizi wa Waziri basi ni bahati kubwa..maana kuna kila dalili. Basi foreign naona mme improve siku hizi kuna watu wanapita pita mpaka JF kunusa uzushi. Honbe BM.
Kingwele

Mkuu kweli kabisa huyu ni Hassy Mwambene mtu wa Membe yupo kazini kutetea bosi wake apate urais 2015. Na kujitokeza kwake haraka kunaonyesha hoja hii inafukuta jambo.
 
... patamau hapa. Nakumbuka dili iliposainiwa na Kapteni (Balozi) Ibrahim. Ukifwatilia utakuta huyu jamaa (pale MFAIC ajulikana kama Contractor) yumo katika madili jengo la ubalozi India n.k.. Nlitarajia sana kwamba CS angeepusha haya mambo kujirudia rudia. Afterall, CS si alitokea pale MFAIC?
 
Eeeeeeeh hapa ndio nilikuwa nataka. Mwambene rudi tena ufafanue hapa mkuu Double0 7 kaweka nondo mpya! Mkuu Double nimekupa senksi hapo
 
Taarifa hizi hazina hata chembe moja ya ukweli. Infact zina distortation ya ukweli halisi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania Nairobi
Ukweli halisi wa mradi huo ni huu:

Mwaka 2006 Wizara ya MAmbo ya Nje ilisaini mkataba na NSSF kwa ajili ya kujenga majengo ya ubalozi nje ili kuisaidia wizara hiyo kuepuka fedha nyingi inazolipa kama pango la ofisi katika nchi mbalimbali. Mradi wa kwanza wa ujenzi ulikuwa ufanyike Nairobi, ambapo NSSF ilikuwa wajenge katika PRIME PLOT ya Wizara hapo Nairobi jengo la Ghorofa 20, ambapo wizara ingepewa floor 2 katika jengo hilo kwa ajili ya ofisi, na the rest zingepangishwa na pesa kulipwa NSSF.

Membe alivyoingia Wizarani 2007 alikuta deal hiyo imeshakuwa concluded....akaaamua kuisimamisha kwasababu Wizara ilikuwa imelaliwa sana....haiwezekani wizara ndio itoe PRIME PLOT Nairobi ambayo market value yake ilikuwa ni karibia 20 percent ya mradi then wizara ipatiwe floor mbili....NSSF wachukue floor 18 forever.....kwa mtazamo wake deal ile ingefanyika chini ya utaratibu wa Build Operate Transfer (BOT) au NSSF kuikopesha Wizara kujenga jengo hilo likawa lao 100 percent....then wao wailipe NSSF kutokana na development budget ya wizara kwa kipindi cha miaka 10.
Kwa bahati mbaya mpaka sasa, NSSF hawajakubalina na idea hiyo na kuna baadhi ya watu ndani ya NSSF ambao walishakuwa Commission kutoka kwa consultants wa mradi huo......wanakuwa pressurized mradi uendeleee lakini kwa bahati mbaya, they are not in control any more baada ya MEmbe ku intervene. Matokeo yake, sasa wameamua kuitumia hii GREAT THINKERS FORUM kuanza ku distort facts kuhusu MRADI huo.

Mpaka sasa, Foreign haijafanya mazungumzo na mtu mwingine yoyote kuhusu ujenzi wa NAirobi.....bado wanasubiria barua waliyowaandikia NSSF kuwataka kubadili terms za original agreement,ambapo NSSF itaikopoesha Wizara ya Mambo ya NJE kwa miaka 10 au waendelee na maelewano ya mwanzo ya NSSF kuchukua ghorofa 18, wizara ichukue ghorofa mbili,lakini iwe katika specified period itakayowawezesha NSSF ku recoup investment yao na kupata faida na baadaye NSSF na Wizara wagawane Floor nusu kwa nusu....... strategy ya Membe ni kwamba Wizara iki gain 8 more floor na wao watakodisha na kupata pesa za kuendeshea balozi zao sehemu nyinginezo duniani.....kama wanavyotaka kufanya huko NEw York na Maputo.

Hakuna mazungumzo yoyote na PPF....kama yapo ni kuhusu ujenzi mahala pengine kama walivyozungumza na NSSF......cha msingi wizara inatafuta deal yenye WIN-WIN situation.

Hii tanzleak isipotoshe suala hili....kwanza ajabu kwenye thread wanamake reference to mabalozi NAirobi na Mozambique wakati Balozi hizo hazina Mabalozi kufuatia kustaaafu kwa mabalozi wa TZ katika nchi hizo....hivi sasa hakuna mabalozi huko....

Habari ya wizara kuhusika na
QD Consults na Undi Engineering ni uzushi mtupu...kwani, katika option zote zinazoweza kuchukuliwa katika ujenzi wa miradi hiyo, jukumu la kutafuta consultant na kuingia mkataba nao ni la PENSION fund husika....wizara haina role yoyote.....sasa madai ya hao Consultant ku influence mambo yanatokana na wale CONSULTANT waliokwishakata mshiko NSSF na deal yao kuwa delayed kutapatapa na kuanza kujenga hisia kwamba Consultant wenzao wengine wanaweza kuwazidi kete....

Wakuu humo nilimoweka Red. Nilijua kuwa mtu wa foreign ataibuka tu kujibu kwa kuwa sikutaja kwamba fedha hizo zinatafutwa kwa harakati za kisiasa niwaachie wanasiasa wachambue maana kazi yetu sie ni whistleblwoing tu! Hata hivyo katika taarifa yangu na nashukuru kuwa umekiri kuwa ujenzi umesimama hapo Kenya na umekubali kuwa hoja ya Maputo ni sahihi. Nikuongezee tu kuwa mazungumzo ya Waziri na PPF yanaendelea ambapo yanamhusisha Director of Planning wa PPF Steven Alfred ambaye ni mdogo wake Phillip Alfred wa CRDB. Wote hawa ni ndugu za watoto wa mzee Magani wa Lindi hivyo waweza kuunganisha dot mwenyewe ukipenda. Kazi yao kama ni kukusanya fedha kwa ajili ya siasa hilo si kazi yangu kufikiria. Kinyume na taarifa hiyo ya mtu wa Foreign ambayo naona na Kubenea naye kaingia kuijibu, nadhani niishie kuwaambia tu kuwa mazungumzo hayo na hasa Maputo yameanza na kasi yake inatia wasiwasi. Taarifa zingine nitawajuza kila nikiona kuna umuhimu kufanya hivyo.
 
... patamau hapa. Nakumbuka dili iliposainiwa na Kapteni (Balozi) Ibrahim. Ukifwatilia utakuta huyu jamaa (pale MFAIC ajulikana kama Contractor) yumo katika madili jengo la ubalozi India n.k.. Nlitarajia sana kwamba CS angeepusha haya mambo kujirudia rudia. Afterall, CS si alitokea pale MFAIC?

Ni kweli Balozi Ibrahim alikuwa anashughulika na Programu ya ununuzi wa majengo ya Balozi za Tanzania nje ya nchi. Majengo mengi aliyosimamia ununuzi wake hayakuwa na matatizo yoyote kwakuwa ni mali ya wizara 100%...katika kipindi hicho Serikali imenunua majengo Stockholm, London, Addis Ababa, Washington DC na New Delhi.

Mazungumzo ya kutafuta altenative source of financing ununuzi wa majengo ya wizara ulianza mwaka 2005 Kati ya Wizara na Pension Funds kadhaa ikiwemo NSSF, PPF, LAPF.....

Pension Fund nyingine zilishindwa kufikia makubaliano na Foreign sababu sheria za uanzishwaji wa fund hizo haziwaruhusu ku invest nje ya nchi. KWa upande wa NSSF sheria yao inawazuia pia, lakini wakakubali kuproceed na mradi under the pretext kwamba miliki ya jengo ni ya Serikali ya Tanzania,na ardhi ya ubalozi nje ya nchi inachukuliwa kuwa ni ardhi ya Tanzania.......

Kwakweli mkataba ule uliposainiwa, wizara ilikuwa desparate kujenga ofisi za ubalozi haraka iwezekanavyo ili kuepuka kulipia rent kubwa walizokuwa wanatozwa, hasa katika kipindi hicho ambacho serikalini kulikuwa na upungufu wa fedha na hivyo rent zilikuwa zinacheleweshwa hadi kufikia baadhi ya balozi kutishiwa kufukuzwa kwenye majengo ya kupanga.

Alipoingia Membe 2007 ndio aka revise mkataba huo.....uliokuwa one-sided.....na wenye manufaa kwa NSSF zaidi kuliko Wizara.
 
Msije kusema oyoyooo sijarudi hapa, naona kabisa mkuu Salaam unatoa nondo za ofisini humu kujibu hoja? Lakini ninavyoshangaa umejikita kumtetea Membe wakati hoja iliyopo ni ya wizara, ama Salaama ni Membe maana sitaki kuamini kama ni Mwambene mnayemtaja yule ambaye ameshindwa ku upload hata website ya wizara sasa aweze kuingia humu na kujibu hoja. Oyoyooo ndio natoka hivyo zaaangu jukwaa la wakubwa
 
Hizi ni kampeni za 2015, hii marathon imeanz mapema hivi tena kwa gia kubwa, sijui wangpi watamiliza mbio zenyewe!
 
Nashindwa kujua QD na Undi wanahusikaje na mradi wa nairobi?? kama ni wa Maputo ambao uko kwenye drawing board sawa, na wao kama consultants ni wafanya biashara kufanya deal ni sehemu ya kazi. Huu wa nairobi lead consultant ni K&M ... wakishirikana na makampuni mengine kama 6 ya TZ na kenya.

Miradi yote ya umma lazima cha juu kiliwe hata kama huo mradi utauona hauna kasoro na una manufaa but ni formation ilitumika tu.
 
Ni kweli Balozi Ibrahim alikuwa anashughulika na Programu ya ununuzi wa majengo ya Balozi za Tanzania nje ya nchi. Majengo mengi aliyosimamia ununuzi wake hayakuwa na matatizo yoyote kwakuwa ni mali ya wizara 100%...katika kipindi hicho Serikali imenunua majengo Stockholm, London, Addis Ababa, Washington DC na New Delhi.
.
.
Alipoingia Membe 2007 ndio aka revise mkataba huo.....uliokuwa one-sided.....na wenye manufaa kwa NSSF zaidi kuliko Wizara.

... ile account yake ya offshore imejaa dollars na sasa hivi over one million. tuite vijisenti tu halafu wewe endelea kufikiri manunuzi na ujenzi huo hauna cha juu. By the way, nilisahau Chancery kule Brazil. mmh!!
 
Wakuu humo nilimoweka Red. Nilijua kuwa mtu wa foreign ataibuka tu kujibu kwa kuwa sikutaja kwamba fedha hizo zinatafutwa kwa harakati za kisiasa niwaachie wanasiasa wachambue maana kazi yetu sie ni whistleblwoing tu! Hata hivyo katika taarifa yangu na nashukuru kuwa umekiri kuwa ujenzi umesimama hapo Kenya na umekubali kuwa hoja ya Maputo ni sahihi. Nikuongezee tu kuwa mazungumzo ya Waziri na PPF yanaendelea ambapo yanamhusisha Director of Planning wa PPF Steven Alfred ambaye ni mdogo wake Phillip Alfred wa CRDB. Wote hawa ni ndugu za watoto wa mzee Magani wa Lindi hivyo waweza kuunganisha dot mwenyewe ukipenda. Kazi yao kama ni kukusanya fedha kwa ajili ya siasa hilo si kazi yangu kufikiria. Kinyume na taarifa hiyo ya mtu wa Foreign ambayo naona na Kubenea naye kaingia kuijibu, nadhani niishie kuwaambia tu kuwa mazungumzo hayo na hasa Maputo yameanza na kasi yake inatia wasiwasi. Taarifa zingine nitawajuza kila nikiona kuna umuhimu kufanya hivyo.

Huu ni upotoshaji wa dhahiri.Kwanza, Maputo hakuna shughuli yoyote ya ujenzi inayoendelea na wala Mzabuni hajatafutwa hivyo maelezo yako si kweli; Pili, taarifa za ndani nilizododosewa baada ya kutaka kupata ufafanuzi ni kuwaJengo la Maputo litajengwa kwa fedha za ndani ambazo zinaidhinishwa katika Bajeti ya Maendeleo ya Wizara na Bunge. Ni fedha nyeupe hazina chembe ya najisi. Endelea kujiridhisha na vyanzo vyako.
 
Huwezi kutenganisha ufisadi wa wa wizara na waziri,huyu jamaa amekua akitumia fedha za serekali kusafirisha dem wake mmoja muhabeshi na hata hapa Tanzania amekua akimleta safari nyingi za marekani na ulaya nyoka wa mdimu huwa anamsafirisha huyu mchuchu na gharama hulipwa na wizara.
Travelling Agency inayofanya hiyo kazi ipo hapa nawasubiri mnaomtetea mje hapa au yeye kwa kua ni member abishe tumuanike am waiting for the right time nitawapatia ama nitampa dots TANLEAK inaonyesha mwenzangu ana mkono mrefu.
 
M-bongo,

Naona tunachepuka kutoka kwenye mada. Naomba tuwekane sawa. Je, tuhuma hapa ni Membe kuhusika na kinachodaiwa ufisadi wa mradi wa majengo ya London, Nairobi na Maputo kama ilivyoainishwa,au ni hii mada mpya unayoianzisha? Naomba tukubaliane kwanza katika hili. Hilo lako ulilozua lianzishie thread nyingine. Hapa tunajadili mada (issues) na sio watu. Kuna forum ya kujadili celebrities naamini huko mada yako ingefaa zaidi.
 
Usishangae M-bongo maana sasa tuanaanza kuiona picha kamili na dhamira ya hao walioianzisha hii thread. Ni bunduki za kukodiwa na wao walidhani kwamba hiyo thread ingekuwa na mashiko kwa sababu tu ya urefu wake. Sasa baada ya kuona kwamba takwimu zimewalaza chini sasa wanaanza kuja na kisa cha chui na mwanakondoo kama tulivyoisoma katika kitabu cha hadithi za Essopo. Maana chui yule alipokuwa anataka kumla mwanakondoo alitafuta visa vya uongo. Akaanza ooh! mbona wewe unachafua maji ninayotaka kunywa mimi. Alipojibiwa kwamba mimi sina shida ya maji maana nanyonya maziwa ya mama yangu, akageuza kibao akidai kwamba alimtukana mwaka mmoja uliopita, akamwambia yeye ndiyo kwanza ana wiki moja toka azaliwe. Chui akadai basi kama siyo wewe uliyenitukana basi ni mama yako na hatimaye yule mwanakondoo akaliwa na chui yule.

Hoja hapa ni kwamba imetengenezwa kashfa hewa ambayo nia ilikuwa ni kummwagia maji taka waziri na sababu ni hiyo hiyo ya 2015. Sasa baada ya takwimu hizi kumuumbua mtoaji thread na kujikuta yuko uchi sasa anjaribu tawi lingine. Ndiyo maana hupati shida kujua kwamba hapa tatizo siyo wizara bali tatizo ni waziri husika. Wanatakiwa wajue kwamba hapa HOME OF GREAT THINKERS huleti hoja legelege na kufanya character assassination then watu wakauangalia tu. Ni vizuri huyu bwana akajua kwamba kazi aliyotumwa imedunda na huo mshahara wake autafutie namna nyingine ya kulipa.

Hii deviation kutoka katika mada siyo bahati mbaya. Ni kutapatapa na kujaribu kukamilisha kazi aliyotumwa ya kummaliza MEMBE kwa malengo ya 2015. Jamaa mmoja alisema huko nyuma kwamba hii miaka mitano TUTASIKIA NA KUONA MENGI lakini watanzania wana akili timamu kuliko wao wanavyofikiri. HATUDANGANYIKI!
 
Wakuu humo nilimoweka Red. Nilijua kuwa mtu wa foreign ataibuka tu kujibu kwa kuwa sikutaja kwamba fedha hizo zinatafutwa kwa harakati za kisiasa niwaachie wanasiasa wachambue maana kazi yetu sie ni whistleblwoing tu! Hata hivyo katika taarifa yangu na nashukuru kuwa umekiri kuwa ujenzi umesimama hapo Kenya na umekubali kuwa hoja ya Maputo ni sahihi. Nikuongezee tu kuwa mazungumzo ya Waziri na PPF yanaendelea ambapo yanamhusisha Director of Planning wa PPF Steven Alfred ambaye ni mdogo wake Phillip Alfred wa CRDB. Wote hawa ni ndugu za watoto wa mzee Magani wa Lindi hivyo waweza kuunganisha dot mwenyewe ukipenda. Kazi yao kama ni kukusanya fedha kwa ajili ya siasa hilo si kazi yangu kufikiria. Kinyume na taarifa hiyo ya mtu wa Foreign ambayo naona na Kubenea naye kaingia kuijibu, nadhani niishie kuwaambia tu kuwa mazungumzo hayo na hasa Maputo yameanza na kasi yake inatia wasiwasi. Taarifa zingine nitawajuza kila nikiona kuna umuhimu kufanya hivyo.

Mbona hakuna connection hapa. Kwa hiyo Mzee magani ana jukumu gani hapa? Hivi wewe unahisi kabisa kwamba Director General wa PPF hafahamiani na Membe mpaka apitie kwa watoto wa mzee Magani. Hivi hujui kwamba huyo DG wa PPF ni chinga mwenzie? Kuna haja gani ya kuongea na proxy wakati principal mwenyewe ni accessible? Lililo wazi hapa ni kwamba mtandao huu wa mafisadi ni mpana na una nguvu kubwa na unahusisha hata watumishi wa hayo mataasisi kama NSSF. Sasa huyu bwana amepigwa disinformation akaingia mkenge akijua kwamba kwa hili amemkwamisha Membe lakini kwa sisi wasomaji hatuna muda wa kuunganisha dots za kutunga na mabzo ni far fetched. Sisi tunataka utuletee vitu concrete na siyo kutuuzia bidhaa za kichina hapa JF!
 
Usishangae M-bongo maana sasa tuanaanza kuiona picha kamili na dhamira ya hao walioianzisha hii thread. Ni bunduki za kukodiwa na wao walidhani kwamba hiyo thread ingekuwa na mashiko kwa sababu tu ya urefu wake. Sasa baada ya kuona kwamba takwimu zimewalaza chini sasa wanaanza kuja na kisa cha chui na mwanakondoo kama tulivyoisoma katika kitabu cha hadithi za Essopo. Maana chui yule alipokuwa anataka kumla mwanakondoo alitafuta visa vya uongo. Akaanza ooh! mbona wewe unachafua maji ninayotaka kunywa mimi. Alipojibiwa kwamba mimi sina shida ya maji maana nanyonya maziwa ya mama yangu, akageuza kibao akidai kwamba alimtukana mwaka mmoja uliopita, akamwambia yeye ndiyo kwanza ana wiki moja toka azaliwe. Chui akadai basi kama siyo wewe uliyenitukana basi ni mama yako na hatimaye yule mwanakondoo akaliwa na chui yule.

Hoja hapa ni kwamba imetengenezwa kashfa hewa ambayo nia ilikuwa ni kummwagia maji taka waziri na sababu ni hiyo hiyo ya 2015. Sasa baada ya takwimu hizi kumuumbua mtoaji thread na kujikuta yuko uchi sasa anjaribu tawi lingine. Ndiyo maana hupati shida kujua kwamba hapa tatizo siyo wizara bali tatizo ni waziri husika. Wanatakiwa wajue kwamba hapa HOME OF GREAT THINKERS huleti hoja legelege na kufanya character assassination then watu wakauangalia tu. Ni vizuri huyu bwana akajua kwamba kazi aliyotumwa imedunda na huo mshahara wake autafutie namna nyingine ya kulipa.

Hii deviation kutoka katika mada siyo bahati mbaya. Ni kutapatapa na kujaribu kukamilisha kazi aliyotumwa ya kummaliza MEMBE kwa malengo ya 2015. Jamaa mmoja alisema huko nyuma kwamba hii miaka mitano TUTASIKIA NA KUONA MENGI lakini watanzania wana akili timamu kuliko wao wanavyofikiri. HATUDANGANYIKI!

Msitake kuharibu thread hii, niko na file toka NSSF na nimepewa tayari taarifa. Mkuu unayesemea Wizara katika thread hii kwa majina ya Salaama na Sheha, nimewaomba NSSF waingie wennyewe wajizungumzie nadhani watafika hapa leo. Lakini nikukumbushe tuko wengi tunaofanya kazi hii kwa hiyo propaganda kuhusu 2015 ni zako na mgombea wako. TANleaks inafanya kazi ya whistleblowing tu na kama wewe unazo data za wengine tuletee hata kwa PM tu nitakueleza wapi pa kuweka cables zako.
 
watu wa foreign wamekuja mbio kujisafisha, lakini hawaonekani kwenye zile thread nyingine (hali/usalama wa watanzania Libya au kuhusu kijiwebsite chao kisichofanyiwa updates).
 
Mkuu hii ni kwa kuwa inakamata maslahi ya kampeni ya Waziri, wanakuja hapa kumtetea yeye in person na sio taasisi. Wanatoa sasa info za wizara kumsafisha wakati anatumia miradi hii kukusanya fedha kwa ajili ya kampeni zake badala ya kusaidia nchi. Period huo ndio ukweli mkuu oyoyoo nimesema
 
Back
Top Bottom