Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

TANleaks

Member
Dec 22, 2010
24
0
TANleaks imepata taarifa za wazi zenye uthibitisho kuwa mradi wa uwekezaji uliopo Nairobi uliopaswa kufadhiliwa na NSSF umesimama. Kusimama kwa mradi huo kunatokana na NSSF kukataa kutoa fedha sambamba na kile unachoweza kukiita cha juu (rushwa) kwa mmoja wa vigogo waliopo Wizara ya Mambo ya Nje. Kugoma huko kwa NSSF kumesababisha sasa mazungumzo mapya yaanze safari hii yakifanyika kupitia mfuko mwingine wa hifadhi PPF ambao huo unaelezwa kuwa na viongozi ambao wako karibu na wahusika wa kuchonga deal ambayo ni makampuni ya ujenzi sambamba na lile la consultancy. Kufuatia kushindikana nchini Kenya, mazungumzo ya sasa yanalenga mradi huo kuhamishiwa nchini Msumbiji. Kuhamishiwa ujenzi huo Msumbiji kunatokana na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji kuwa na ushirikiano na makampuni hayo ambayo yanatajwa kuwa ndiyo hutumika kupiga deal za wizara ya Mambo ya Nje, na pia Balozi huyo wa Tanzania nchini Msumbiji ameonyesha ushirikiano wa kutoa pacenti inayotakiwa kama mradi huo utapitishiwa mkononi mwake. Balozi huyo swahiba wa Waziri wa Mambo ya nje, pia ana uhusiano wa karibu wa mabosi wa PPF, hali inayoashiria kuwa deal hili litapita kirahisi.

Taarifa zetu zinaeleza makampuni yanayofahamika kwa upigaji deal MOFA ya Tanzania ni QD Consults na Undi Engineering. Makampuni haya sasa yanasubiri kwa hamuBalozi wa Tanzania Msumbiji kukamilisha hatua za kazi ya ujenzi kuhamia Maputo, baada ya Balzoi wa Tanzania nchini Kenya kuwawekea ngumu. Taarifa zetu pia zinaeleza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya hadi kuweka ngumu kunatokana na kunuswa sikio na kigogo mmoja wa NSSF ambaye alimtahadharishwa juu ya ushirika wa makampuni hayo mawili QD na UNDI na mpango wao wa kuchota fedha kwa ajili ya KIGOGO wa wizara ya Mambo ya Nje. Mtoa taarifa huyo kwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya alimhakikishia Balozi wetu huyu Mzalendo kuwa, kama atakubaliana na deal hili wao NSSF wameshalistukia na hawako tayari kutoa fedha na kama wataleta fedha kutoka eneo jingine akumbuke yaliyomkuta Balozi Mahalu. Balozi wetu Mzalendo baada ya kuona deal hili ni chungu huku akihakikishiwa kuwa makampuni hayo yamekuwa yakitumika kukusanya fedha zinazowekwa sehemu fulani aliamua kukataa mradi huo, hali iliyoufanya kusimama hadi sasa mjini Nairobi. Mkakati uliobakia inaelezwa kuwa ni huu wa kuuhamishia mradi nchini Msumbiji na kazi inafanyika kwa uharaka sana.
 
. Kusimama kwa mradi huo kunatokana na NSSF kukataa kutoa cha juu, na sasa mradi huo unapigiwa upatu ufanyike nchini Msumbiji ambako huko Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji ana ushirikiano na PPF sambamba na kuwa shahiba wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.

Hapo ndipo mzee TANLeaks unatakiwa kutufahamisha zaidi? Kwamba mradi huu ulikuwa unajengwa na Wizara? Sijui uhusika wa NSSF na PPF? Pia hoja ya mabalozi wetu wa nchi hizo na pia mradi wenyewe ulilenga kuwekeza katika nini? Nitapita kukupa senksi kwa kuw anajua kazi hii unayofanya ni ngumu na kubwa.
 
TANleaks imepata taarifa za wazi zenye uthibitisho kuwa mradi wa uwekezaji uliopo Nairobi uliopaswa kufanywa na NSSF umesimama. Kusimama kwa mradi huo kunatokana na NSSF kukataa kutoa cha juu, na sasa mradi huo unapigiwa upatu ufanyike nchini Msumbiji ambako huko Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji ana ushirikiano na PPF sambamba na kuwa shahiba wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.

Taarifa zetu zinaeleza walioko chini ya deal hili ni makampuni ya QD Consults na Undi Engineering. Makampuni haya ndiyo vinara wa deal zinazopitia Mambo ya Nje na sasa yako beneti na Balozi wa Tanzania Msumbiji baada ya yule wa Kenya kukataa katakata kujiingia katika uwekezaji wa ujenzi wa jingo mjini Nairobi. Taarifa zetu pia zinaeleza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya alistuliwa na kigogo mmoja wa NSSF akatahadharishwa juu ya ushirika wa makampuni hayo mawili QD na UNDI na kisha akaambiwa yatamkuta ya Balozi Mahalu kama atajiingiza kichwa kichwa katika mradi huo. Baada ya kusimama kidete, mradi wa ujenzi umesimama nchini Kenya na mkakati uliopo ni huo wa kuuhamishia nchini Kenya.

Hapo kwenye RED vipi?
Hebu rudia kuipitia post yako ili ueleweke vizuri. inawezekana na taarifa nzuri but ulivyoiweka watu itakuwa ngumu kuipata.
 
Hilo jengo liko sehemu gani hapa Nairobi, nilisikia litakuwa na ghorofa zisizopungua kati ya 25-40 sikumbuki vizuri. Nikifuatilia naweza kupata picha ya hapo iwapo utaweza kuainisha vizuri location.
Spencer;
RiverRoad-Nairobi
 
watavuana nguo zote wabaki watupu na kuanza kuziba nyonyo na privates
 
Membe anatafuta hela za 2015! Vipi hamulioni hilo jamani?

Ahahahahahahahahahaha ghrtrrrrrrrr kumbeeeeeee 20000001555555. Mwaka huu tutayaona mengi, mzee anasaka mshiko wa kampeni oooooooh Membe foooor 20000001111155555 kaaaazi kweli kweli
 
Taarifa hizi hazina hata chembe moja ya ukweli. Infact zina distortation ya ukweli halisi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania Nairobi
Ukweli halisi wa mradi huo ni huu:

Mwaka 2006 Wizara ya MAmbo ya Nje ilisaini mkataba na NSSF kwa ajili ya kujenga majengo ya ubalozi nje ili kuisaidia wizara hiyo kuepuka fedha nyingi inazolipa kama pango la ofisi katika nchi mbalimbali. Mradi wa kwanza wa ujenzi ulikuwa ufanyike Nairobi, ambapo NSSF ilikuwa wajenge katika PRIME PLOT ya Wizara hapo Nairobi jengo la Ghorofa 20, ambapo wizara ingepewa floor 2 katika jengo hilo kwa ajili ya ofisi, na the rest zingepangishwa na pesa kulipwa NSSF.

Membe alivyoingia Wizarani 2007 alikuta deal hiyo imeshakuwa concluded....akaaamua kuisimamisha kwasababu Wizara ilikuwa imelaliwa sana....haiwezekani wizara ndio itoe PRIME PLOT Nairobi ambayo market value yake ilikuwa ni karibia 20 percent ya mradi then wizara ipatiwe floor mbili....NSSF wachukue floor 18 forever.....kwa mtazamo wake deal ile ingefanyika chini ya utaratibu wa Build Operate Transfer (BOT) au NSSF kuikopesha Wizara kujenga jengo hilo likawa lao 100 percent....then wao wailipe NSSF kutokana na development budget ya wizara kwa kipindi cha miaka 10.
Kwa bahati mbaya mpaka sasa, NSSF hawajakubalina na idea hiyo na kuna baadhi ya watu ndani ya NSSF ambao walishakuwa Commission kutoka kwa consultants wa mradi huo......wanakuwa pressurized mradi uendeleee lakini kwa bahati mbaya, they are not in control any more baada ya MEmbe ku intervene. Matokeo yake, sasa wameamua kuitumia hii GREAT THINKERS FORUM kuanza ku distort facts kuhusu MRADI huo.

Mpaka sasa, Foreign haijafanya mazungumzo na mtu mwingine yoyote kuhusu ujenzi wa NAirobi.....bado wanasubiria barua waliyowaandikia NSSF kuwataka kubadili terms za original agreement,ambapo NSSF itaikopoesha Wizara ya Mambo ya NJE kwa miaka 10 au waendelee na maelewano ya mwanzo ya NSSF kuchukua ghorofa 18, wizara ichukue ghorofa mbili,lakini iwe katika specified period itakayowawezesha NSSF ku recoup investment yao na kupata faida na baadaye NSSF na Wizara wagawane Floor nusu kwa nusu....... strategy ya Membe ni kwamba Wizara iki gain 8 more floor na wao watakodisha na kupata pesa za kuendeshea balozi zao sehemu nyinginezo duniani.....kama wanavyotaka kufanya huko NEw York na Maputo.

Hakuna mazungumzo yoyote na PPF....kama yapo ni kuhusu ujenzi mahala pengine kama walivyozungumza na NSSF......cha msingi wizara inatafuta deal yenye WIN-WIN situation.

Hii tanzleak isipotoshe suala hili....kwanza ajabu kwenye thread wanamake reference to mabalozi NAirobi na Mozambique wakati Balozi hizo hazina Mabalozi kufuatia kustaaafu kwa mabalozi wa TZ katika nchi hizo....hivi sasa hakuna mabalozi huko....

Habari ya wizara kuhusika na
QD Consults na Undi Engineering ni uzushi mtupu...kwani, katika option zote zinazoweza kuchukuliwa katika ujenzi wa miradi hiyo, jukumu la kutafuta consultant na kuingia mkataba nao ni la PENSION fund husika....wizara haina role yoyote.....sasa madai ya hao Consultant ku influence mambo yanatokana na wale CONSULTANT waliokwishakata mshiko NSSF na deal yao kuwa delayed kutapatapa na kuanza kujenga hisia kwamba Consultant wenzao wengine wanaweza kuwazidi kete....
 
Hawa wana lengo la kumchafua Membe tu na watashindwa na nguvu zao za kifisadi. Nashukuru sana bwana Mwambene kwa taarifa hii ya haraka.
 
Yaani mzee mzima Kubenea ndani ya hii thread, naanza kuwaza kitu hapa, ndugu salaama wewe ni Hassy Mwambene spin wa Membe? Msiseme mkuu oyoyoo sikusema, wala msiseme oyoyoo anachonga sana but naanza kuhisi kitu kufuatia hii thread ya TANleaks. Kuna jambo maana salaama umejitahidi kumtetea Membe tu bila kufafanua kama kuna ufisadi ama la na kama huo mradi upo au la na nini nafasi ya NSSF na PPF! Nasema tena kama mnataka mambo wewe jibu tu oyoyooooo
 
Taarifa hizi hazina hata chembe moja ya ukweli. Infact zina distortation ya ukweli halisi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania Nairobi
Ukweli halisi wa mradi huo ni huu:

Mwaka 2006 Wizara ya MAmbo ya Nje ilisaini mkataba na NSSF kwa ajili ya kujenga majengo ya ubalozi nje ili kuisaidia wizara hiyo kuepuka fedha nyingi inazolipa kama pango la ofisi katika nchi mbalimbali. Mradi wa kwanza wa ujenzi ulikuwa ufanyike Nairobi, ambapo NSSF ilikuwa wajenge katika PRIME PLOT ya Wizara hapo Nairobi jengo la Ghorofa 20, ambapo wizara ingepewa floor 2 katika jengo hilo kwa ajili ya ofisi, na the rest zingepangishwa na pesa kulipwa NSSF.

Membe alivyoingia Wizarani 2007 alikuta deal hiyo imeshakuwa concluded....akaaamua kuisimamisha kwasababu Wizara ilikuwa imelaliwa sana....haiwezekani wizara ndio itoe PRIME PLOT Nairobi ambayo market value yake ilikuwa ni karibia 20 percent ya mradi then wizara ipatiwe floor mbili....NSSF wachukue floor 18 forever.....kwa mtazamo wake deal ile ingefanyika chini ya utaratibu wa Build Operate Transfer (BOT) au NSSF kuikopesha Wizara kujenga jengo hilo likawa lao 100 percent....then wao wailipe NSSF kutokana na development budget ya wizara kwa kipindi cha miaka 10.
Kwa bahati mbaya mpaka sasa, NSSF hawajakubalina na idea hiyo na kuna baadhi ya watu ndani ya NSSF ambao walishakuwa Commission kutoka kwa consultants wa mradi huo......wanakuwa pressurized mradi uendeleee lakini kwa bahati mbaya, they are not in control any more baada ya MEmbe ku intervene. Matokeo yake, sasa wameamua kuitumia hii GREAT THINKERS FORUM kuanza ku distort facts kuhusu MRADI huo.

Mpaka sasa, Foreign haijafanya mazungumzo na mtu mwingine yoyote kuhusu ujenzi wa NAirobi.....bado wanasubiria barua waliyowaandikia NSSF kuwataka kubadili terms za original agreement,ambapo NSSF itaikopoesha Wizara ya Mambo ya NJE kwa miaka 10 au waendelee na maelewano ya mwanzo ya NSSF kuchukua ghorofa 18, wizara ichukue ghorofa mbili,lakini iwe katika specified period itakayowawezesha NSSF ku recoup investment yao na kupata faida na baadaye NSSF na Wizara wagawane Floor nusu kwa nusu....... strategy ya Membe ni kwamba Wizara iki gain 8 more floor na wao watakodisha na kupata pesa za kuendeshea balozi zao sehemu nyinginezo duniani.....kama wanavyotaka kufanya huko NEw York na Maputo.

Hakuna mazungumzo yoyote na PPF....kama yapo ni kuhusu ujenzi mahala pengine kama walivyozungumza na NSSF......cha msingi wizara inatafuta deal yenye WIN-WIN situation.

Hii tanzleak isipotoshe suala hili....kwanza ajabu kwenye thread wanamake reference to mabalozi NAirobi na Mozambique wakati Balozi hizo hazina Mabalozi kufuatia kustaaafu kwa mabalozi wa TZ katika nchi hizo....hivi sasa hakuna mabalozi huko....

Habari ya wizara kuhusika na
QD Consults na Undi Engineering ni uzushi mtupu...kwani, katika option zote zinazoweza kuchukuliwa katika ujenzi wa miradi hiyo, jukumu la kutafuta consultant na kuingia mkataba nao ni la PENSION fund husika....wizara haina role yoyote.....sasa madai ya hao Consultant ku influence mambo yanatokana na wale CONSULTANT waliokwishakata mshiko NSSF na deal yao kuwa delayed kutapatapa na kuanza kujenga hisia kwamba Consultant wenzao wengine wanaweza kuwazidi kete....

nashukuru kwa maelezo haya mkuu.nadhani kuna watu wanajaribu kuupindisha ukweli ili kufanikisha ajenda zao za siri.
 
Maneno na ufafanuzi wako umejitosheleza sana na umejaa facts tupu pasi na shaka.

Thanks for clarification.
 
lowassa at work,..sitta na membe watamkoma EL,..lakini sishangai kama membe atahusishwa na ufisadi huo maana ccm hakuna msafi...wanachotofautiana tu ni wingi wa uchafu,..
 
Duuh! kwa jinsi ulivyoandika wewe kama sio msaidizi wa Waziri basi ni bahati kubwa..maana kuna kila dalili. Basi foreign naona mme improve siku hizi kuna watu wanapita pita mpaka JF kunusa uzushi. Honbe BM.
Kingwele
 
Hawa wana lengo la kumchafua Membe tu na watashindwa na nguvu zao za kifisadi. Nashukuru sana bwana Mwambene

Umenena kweli tupu. Kama agenda yao ni ya kisiasa watafute jungu lingine. Kuanzia sasa hadi 2015 tutawaona manabii wengi wa uongo. Hawa sio ndio waliokuwa wakibashiri na kuombea Membe asirudi Foreign ili wapate Waziri wa kusimamia maslahi yao ikiwemo hili la mradi wa ujenzi wa Majengo ya Nairobi na London?

Hapa tatizo ni kuwa kwa Waziri Membe kusimamisha mchakato wa Nairobi na ule wa London kuna ufisadi wa watu umekwamishwa. kiwewe chao na ukimya wa Waziri Membe kutoonyesha kutetereka sasa unawafanya wapate wasiwasi pengine PPF watakuwa approached kutekeleza mradi huo katika terms ambazo ni fair kwa serikali na mwekezaji. Jambo ambalo pia si kweli.

Aidha, kama NSSF wangekuwa na nia nzuri, kwanini wasikopeshe Wizara kama walivyofanya kwa UDOM kisha walipwe kwa mkataba badala ya kutaka wao ndio wawekeze katika mradi huo wa kupata ghorofa 18 kisha Wizara ipate mbili? Hivi inaingia akilini mtu anayejidai mzalendo kutetea deal la aina hii?
 
Back
Top Bottom