Ufisadi haukuanzia awamu ya nne!

Ufisadi haukuanzia awamu ya nne!

Ufisadi unaendelea mpaka tuijuwe system ni nini!

Kama wewe mwenyewe umeshindwa kutafsiri system then unategemea sisi tuijue kweli? Mbona wewe usituambie hiyo system ni nini? na kisha uihusishe hiyo ccm na uuzwaji kwa bei ya karanga wa machimbo yote ya dhahabu na madini mengine ambayo Nyerere hakutaka kufanya alichofanya Mobutu wa Kongo kwa kuwaachia watanzania wa vizazi vijavyo watakapokuwa na elimu na utaalamu wa kutosha kuchimba?
 
kuna jambo kidogo linakua gumu kusemwa wazi hapa,tusiogope kusema yote at the end of the day yatabakia kuwa " mawazo tu ya mtu binafsi"

Nyerere alkikua kiongozi tu kama wengine Mwinyi,Mkapa na hat Kj,hakua mwenye hii Tanzania atazungumzwa kwa mazuri yake na mabaya yake tusifanye kua yeye alikua DIVINE .
Tuzungumze yote hata kama linakuudhi basi pinga kwa HOJA na sio mifano isiyo na mwendelezo.
Sawaulianza wakati wa ukoloni and then what???
Tanzania kama nchi ilianza baada ya UHURU na rais wa kwanza wa jamuhuri tuna mjuua yeye na marafiki zake wakajigawia majumba mtaa ule wa UHURU kama amafahamu embu ulizeni mtanzania gani mwenye nyumba nyingi mtaa ule mtaambiwa.
Muwafukuze watu wakimbie majumab yao alafu mjigawie nyinyi na baadhi yao mnawageuza marafiki na kuwapa ifadhi chini ya miamvuli yenu alafu leo wajuku zenu wana dai nyio sio mafisadi hii kweli.....?
 
Sijaona sehemu yoyote hapa mtu akisema kuwa Nyerere au awamu ya kwanza haikuwa na mafisadi? Kina Kambona na wenzake walikuwa mafisadi katika awamu ya kwanza.

Ufisadi umekuwepo miaka yote hii na kadri miaka inavyoendelea umeendelea kukua kwa kiwango kikubwa kiasi cha kufikia maraisi wanafanya biashara ikulu Mkapa na Kikwete.

Swali kubwa ni kuwa je yaliyotekea miaka zaidi ya 20 iliyopita yanahusiana vipi na richmonduli? yaliyotokea mwaka 68 yanahusiana vipi na uuzwaji wa mgodi wa buzwagi kwa bei ya karanga?
 
Apologists kama wewe ndio wanakwamisha maendeleo ya leo. Yaani kwa sababu wamarekani waliua president wao miaka 40 iliyopita basi ni sababu tosha ya kutoshangaa mtu mwingine akiua prez wa marekani leo.

Mambo ya kutumia historia ya nyuma kujustfy ya leo ni uzembe wa kufikiri na visingizio anavyotumia Lowasa every day! Ufisadi haukuanza leo, yeah kila mtu anajua hili. Ufisadi pia haukuanza awamu ya kwanza, kabla ya uhuru kulikuwa na wakoloni na wao ndio walifanya ufisadi wa hali ya juu. What say you about that!
Kweli kabisa, Jee ufisadi uendelee mpaka lini? EL sidhani kama anatumia history ya kuanika ufisadi, labda anatumia history ya kuuendeleza ufisadi kama tuonavyo janayojiri hivi sasa.

Kabla ya Uhuru, kulikuwa na mwingereza katutawala kwa kukabidhiwa Tanganyika na UN, mpaka tutakapo jiweza, Jee baada ya Nyerere kukabidhiwa nchi, kafanya nini? si ndio katuwekea wanaoimaliza nchi kwa ufisadi sasa hivi?

Wakoloni sasa hivi wanatutawala ki-uchumi na ki-system, na hiyo ndiyo mbaya zaidi. Jee huijuwi system ni nini?
 
Sijaona sehemu yoyote hapa mtu akisema kuwa Nyerere au awamu ya kwanza haikuwa na mafisadi? Kina Kambona na wenzake walikuwa mafisadi katika awamu ya kwanza.

Ufisadi umekuwepo miaka yote hii na kadri miaka inavyoendelea umeendelea kukua kwa kiwango kikubwa kiasi cha kufikia maraisi wanafanya biashara ikulu Mkapa na Kikwete.

Swali kubwa ni kuwa je yaliyotekea miaka zaidi ya 20 iliyopita yanahusiana vipi na richmonduli? yaliyotokea mwaka 68 yanahusiana vipi na uuzwaji wa mgodi wa buzwagi kwa bei ya karanga?

Hapo pazuri zaidi..
Hivi ushapata kusikia ile methatli ya wahindi wakisema...toka enzi zile za nyerere;

.....'ZARAMO NAKWIBA,DEGELEKO NA FICHA'.....

KAMA UMEKWISHA SIKIKIA JE UNAJUA MAANA YA WAHINDI KWENYE METHARI HII....??????????
 
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kutafsiri system then unategemea sisi tuijue kweli? Mbona wewe usituambie hiyo system ni nini? na kisha uihusishe hiyo ccm na uuzwaji kwa bei ya karanga wa machimbo yote ya dhahabu na madini mengine ambayo Nyerere hakutaka kufanya alichofanya Mobutu wa Kongo kwa kuwaachia watanzania wa vizazi vijavyo watakapokuwa na elimu na utaalamu wa kutosha kuchimba?
Looh, wala usiwe na shaka, kama bado hujaijuwa system ni nini, endelea na thread majibu utayapata, usiwe na haraka.

Nyerere, hateteeki, yeye ndiye aliyetunyima elimu, yeye ndiye aliyetuwekeya hawa mafisadi, yeye ndiye aliyeyataka haya, au hujuwi kwamba nyerere ndie mwanzilishi wa ccm inayotutawala? Jee, bado tuu, huijuwi system ni nini?
 
Zomba,

tafadhali ningeomba utueleze vizuri (kwa vigezo) unaposema UFISADI umeanza toka wakati wa Nyerere, kama vile ni akina nani waliiba mali za UUMA kwa faida yao wenyewe.
Maanake unaposema Kina Nyerere, Kingunge na wengineo ambao kuwepo kwao wakati ule ni ushahidi tosha wa Ufisadi huo basi hata sisi tulokuwa na umri zaidi ya miaka 45 tutakuwa ktk fungu la utumishi wa hao mafisadi na sikumbuki kuona ubadhilifu wa mali ama kukiuka mwongozo wa kitaifa kama leo. Katiba ya nchi hii haitumiki kabisa na sheria imebakia ktk maandishi kiasi kwamba viongozi wetu wapo above the law!...Huu ndio ufisadi, uharibifu ambao unapingana na dira, malengo na hata katiba yenyewe.

Umaskini na Ufisadi ni vitu viwili tofauti kabisa na pengine jaribu kutofautisha siasa za wakati ule na leo hii kwani dira na malengo ya Nyerere yalikuwa tofauti sana na leo hii. Nyerere alikuwa na dira ya kitaifa na Kimataifa ambao kwanza ilikuwa kuujenga Ujamaa na pili kuikomboa Afrika. Na tukitazama malengo yake ktk kuleta usawa kati yetu aliweza fanikiwa kwa kiasi kikubwa na hata utekeelezaji wake ulifuata ahadi hizo pamoja na kwamba ilikuwa nje ya mategemeo ya badhi yetu. Yawezekana kabisa kuwa malengo hayo yalikuwa mabaya na yasiyokuwa na faida kwa Mtanzania lakini sidhani kama tunaweza yaita ni malengo ya FISADI pamoja na kwamba yalikuwa yakiharibu ama kukwamisha maendeleo ya baadhi ya sekta binafsi.
Mwisho, pamoja na malengo hayo kutofautiana na mategemeo yako at least Nyerere aliweza timiza mengi yanayohusiana na malengo yale. Mikakati yake yote ilihusu malengo yake na sote tulifahamu Nyerere alitaka kujenga nguzo za Tanzania ya aina gani. Leo hii sidhani kama kuna mmoja wetu anafahamu dira ya taifa zaidi ya kuona mabillioni yakiibiwa.
Kifupi leo hii tunatazama mfumo mpya wa Utaifishaji - yaani mali ya UMMA inataifishwa na baadhi viongozi wachache ambao ndio tunawaita MAFISADI.
 
Chini ya serikali ya Nyerere Ufisadi ulipigwa chini baada ya Azimio la Arusha mwaka 1967.
Baadhi ya Madhumuni hayo ni
Kiongozi wa TANU au wa Serikali sharti awe mkulima au
mfanyakazi na asishiriki katika jambo lo lote la kibepari au
kikabaila.
2. Asiwe na hisa katika makampuni yo yote.
3. Asiwe mkurugenzi katika kampuni ya kikabaila au kibepari.
4. Asiwe na mishahara miwili au zaidi
5. Asiwe na nyumba ya kupangisha.

Aidha Ufisadi ulibarikiwa na azimio la Zanzibar kwa kuvunja misingi ya Azimio la Arusha
 
Looh, wala usiwe na shaka, kama bado hujaijuwa system ni nini, endelea na thread majibu utayapata, usiwe na haraka.

Nyerere, hateteeki, yeye ndiye aliyetunyima elimu, yeye ndiye aliyetuwekeya hawa mafisadi, yeye ndiye aliyeyataka haya, au hujuwi kwamba nyerere ndie mwanzilishi wa ccm inayotutawala? Jee, bado tuu, huijuwi system ni nini?

Unajua kama mtu hujamsoma Nyerere vizuri ni kuomba tu msaada na kuna watu hapa watakumegea machache kati ya mengi ya huyu mzee. Lakini tunachoomba kwa sasa tafadhali usimweke huyu mzee kundi moja na hao watu maana unalinganisha vitu ambavyo havilinganishiki, please!
 
Looh, wala usiwe na shaka, kama bado hujaijuwa system ni nini, endelea na thread majibu utayapata, usiwe na haraka.

Nyerere, hateteeki, yeye ndiye aliyetunyima elimu, yeye ndiye aliyetuwekeya hawa mafisadi, yeye ndiye aliyeyataka haya, au hujuwi kwamba nyerere ndie mwanzilishi wa ccm inayotutawala? Jee, bado tuu, huijuwi system ni nini?

Ohooo,

Kumbe ugomvi hapa ni Nyerere na sio ufisadi?

Ndio maana kulianzishwa thread hapa ya kuelezea madhambi ya Nyerere:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=7857

Nani mwenye uwezo wa kumtetea Nyerere? Nani anataka kutetea mtu aliyeacha uraisi miaka 23 iliyopita? Nani anataka kutetea mtu aliiyekufa miaka 8 iliyopita?

Kama umeanzisha hii thread ili iwe anti-Nyerere basi unakazi kweli? Au ndio yale mambo ya kuzaliwa kwenye familia ya baba mlevi basi mitoto yote inakuwa milevi kwa visingizio kuwa baba yao alikuwa mlevi?
 
Kweli kabisa, Jee ufisadi uendelee mpaka lini? EL sidhani kama anatumia history ya kuanika ufisadi, labda anatumia history ya kuuendeleza ufisadi kama tuonavyo janayojiri hivi sasa.

Kabla ya Uhuru, kulikuwa na mwingereza katutawala kwa kukabidhiwa Tanganyika na UN, mpaka tutakapo jiweza, Jee baada ya Nyerere kukabidhiwa nchi, kafanya nini? si ndio katuwekea wanaoimaliza nchi kwa ufisadi sasa hivi?

Wakoloni sasa hivi wanatutawala ki-uchumi na ki-system, na hiyo ndiyo mbaya zaidi. Jee huijuwi system ni nini?

Na hili linausiana vipi na ufisadi wa leo?
 
Kibunango mkuu chukua tano kisha chagua mkoa kabisaaaa!...
Azimio la Zanzibar ndilo chimbuko la UFISADI pamoja na kwamba ni viongozi hao hao waliokuwepo wakati wa Nyerere.
Dhahiri nakubaliana na Zomba pale aliposema kuhusu SYSTEM. Ni kweli kabisa baada ama kabla ya Azimio la Zanzibar kuna kundi la watu walibadilisha mwongozo huo ili kukidhi mahitaji yao. Ebu tusome kwa makini orodha na mabadiliko hayo hapo juu utakuta hakuna hata kipengele kimoja kinachomhusu Mtanzania bali mabadiliko yote ya Azimio la Zanzibar yalihusu vipengele hivi vinavyowafunga VIONGOZI.

Sikuwahi kuona wala kusikia Azimio lolote la kitaifa likihusu kundi moja la watu na sio Taifa zima. Nimerudi nyuma kusoma Azimio hilo sikuona mahala popote ktk Azimio zima panapohusu Wananchi wote ( na sio viongozi tu)zaidi ya kuupokea Utandawazi na soko huria.
 
Zomba,

tafadhali ningeomba utueleze vizuri (kwa vigezo) unaposema UFISADI umeanza toka wakati wa Nyerere, kama vile ni akina nani waliiba mali za UUMA kwa faida yao wenyewe.
Maanake unaposema Kina Nyerere, Kingunge na wengineo ambao kuwepo kwao wakati ule ni ushahidi tosha wa Ufisadi huo basi hata sisi tulokuwa na umri zaidi ya miaka 45 tutakuwa ktk fungu la utumishi wa hao mafisadi na sikumbuki kuona ubadhilifu wa mali ama kukiuka mwongozo wa kitaifa kama leo. Katiba ya nchi hii haitumiki kabisa na sheria imebakia ktk maandishi kiasi kwamba viongozi wetu wapo above the law!...Huu ndio ufisadi, uharibifu ambao unapingana na dira, malengo na hata katiba yenyewe.

Umaskini na Ufisadi ni vitu viwili tofauti kabisa na pengine jaribu kutofautisha siasa za wakati ule na leo hii kwani dira na malengo ya Nyerere yalikuwa tofauti sana na leo hii. Nyerere alikuwa na dira ya kitaifa na Kimataifa ambao kwanza ilikuwa kuujenga Ujamaa na pili kuikomboa Afrika. Na tukitazama malengo yake ktk kuleta usawa kati yetu aliweza fanikiwa kwa kiasi kikubwa na hata utekeelezaji wake ulifuata ahadi hizo pamoja na kwamba ilikuwa nje ya mategemeo ya badhi yetu. Yawezekana kabisa kuwa malengo hayo yalikuwa mabaya na yasiyokuwa na faida kwa Mtanzania lakini sidhani kama tunaweza yaita ni malengo ya FISADI pamoja na kwamba yalikuwa yakiharibu ama kukwamisha maendeleo ya baadhi ya sekta binafsi.
Mwisho, pamoja na malengo hayo kutofautiana na mategemeo yako at least Nyerere aliweza timiza mengi yanayohusiana na malengo yale. Mikakati yake yote ilihusu malengo yake na sote tulifahamu Nyerere alitaka kujenga nguzo za Tanzania ya aina gani. Leo hii sidhani kama kuna mmoja wetu anafahamu dira ya taifa zaidi ya kuona mabillioni yakiibiwa.
Kifupi leo hii tunatazama mfumo mpya wa Utaifishaji - yaani mali ya UMMA inataifishwa na baadhi viongozi wachache ambao ndio tunawaita MAFISADI.
Aliyoyajenga ndio hayo tunayaona, nani katika waliotuongoza na wanaotuongoza hakuwepo wakati wa nyerere? Ufisadi alioufanya nyerere ndio huu tulionao mpska leo! au hauoni kuwa haya ni mambo aliyoyaacha nyerere kwa kukosa kwake dira?
 
So what? Nchi nyingi zimetawaliwa na mafisadi lakini wakiondoka au kufa, watoto wao au waliobaki wanafanya the right thing. Kuna watu wanadai kuwa Reagan aliharibu kabisa uchumi wa Marekani, hili hukuweza kabisa kulisikia kwa Bill Clinton kuwa watu wa Reagan bado wako kwenye serikali kwa hiyo sina cha kufanya.

Stop whining damn it? the guy is dead, ni kazi yako sasa kupambana na yaliyopo right now. Kuendelea kulia lia wakati Barick itasaini mkataba mwingine wa madini karibuni ni uzembe mkubwa kabisa wa kufikiria.
 
au hauoni kuwa haya ni mambo aliyoyaacha nyerere kwa kukosa kwake dira?
Hapana mkuulabda unifahamishe vizuri unaposema Nyerere hakuwa na dira..
Nafikiri nimesha sema huko nyuma kuwa ktk kutekeleza ujenzi wa Taifa letu dira ya Nyerere ilikuwa kujenga UJAMAA na mikakati yake ni pamoja na maazimio kibao moja wapo likiwa Azimio la Arusha. Yawezekana kabisa kuwa hukubaliani na dira hiyo lakini sidhani kama kutokubaliana kwako kutaondoa ukweli kuwa ilikuwa ni dira na Nyerere aliweza kuifuata na kuitekeleza even though against your wish!
Kisha, ebu turudi nyuma unaposema kuwa viopngozi ni hao hao, sasa kweli tulitegemea kuwepo na viongozi tofauti ikiwa chama kinachoongoza ni kile kile?..I mean ebu nambie upande mwingine wa shilingi hii, ulitaka mabadiliko ya viongozi yapatikane vipi ikiwa chama kinachotuongoza ni kile kile toka tupate Uhuru. Hata Botswana, China na Maleysia wanaoendelea leo hii viongozi wao ni wale wale.
 
It has been said that those that do not want to learn from History are bound to repeat it. To fully understand the present phenomenon of massive embezzlement of public funds, we must be willing to confront all of the contemporary history of our nation.

We love Mwalimu, but we must love Tanzania even more. There were serious and persistent cases of embezzlement of public monies during Mwalimu's watch. It was looting that killed off many of the public corporations that Mwalimu erected. As those of us who have been around for a while know, the hotels, regional trading companies, factories and even mining companies that Mwalimu established or seized became nothing more than "eating" places of Mwalimu's elect.

It is a well known secret that when Mwinyi assumed the Presidency he found nothing at all in the treasury. This is a true story. In fact, I personally heard Mwinyi narrate it in Harare, sometime in the early nineties. Now, what do you think, happened to all the money in the treassuty right before Mwalimu exited? Don't tell me that there was no money there because that would be a lie. I was living in Ottawa when Mwalimu visited Canada and the USA to bid farewell to those folks. We reliably learnt then that people in Mwalimu's entourage converted more than ninety thousand dollars worth of traveler's checks into cash, in one bank alone! I still wonder about how they managed to carry all that stuff home, as it was at that time a felony to be found in the possession of foreign funds.

Stealth of public funds is akin to prostitution; it was there before, it is there now, and it will always be there. What is breaking our hearts is its current extent. We have to arrest the trend, otherwise we will perish in poverty. How could we possibly develop if almost all the wealth we produce is immediately stolen?

Zomba has put out points that seem to affect the loyal feelings of many towards Mwalimu. The truth, I dare say, needs to be told even when it is not so palatable. Let us try to use our minds, and not only our hearts, in understanding all the epochs of our national history.
 
It has been said that those that do not want to learn from History are bund to repeat it. To fully understand the present phenomenon of massive embezzlement of public funds, we must be willing to confront all of the contemporary history of our nation.

We love Mwalimu, but we must love Tanzania even more. There were serious and persistent cases of embezzlement of public monies during Mwalimu’s watch. It was looting that killed off many of the public corporations that Mwalimu erected. As those of us who have been around for a while know, the hotels, regional trading companies, factories and even mining companies that Mwalimu established or seized became nothing more than “eating” places of Mwalimu’s elect.

It is a well known secret that when Mwinyi assumed the Presidency he found nothing at all in the treasury. This is a true story. In fact, I personally heard Mwinyi narrate it in Harare, sometime in the early nineties. Now, what do you think, happened to all the money in the treassuty right before Mwalimu exited? Don’t tell me that there was no money there because that would be a lie. I was living in Ottawa when Mwalimu visited Canada and the USA to bid farewell to those folks. We reliably learnt then that people in Mwalimu’s entourage converted more than ninety thousand dollars worth of traveler’s checks into cash, in one bank alone! I still wonder about how they managed to carry all that stuff home, as it was at that time a felony to be found in the possession of foreign funds.

Stealth of public funds is akin to prostitution; it was there before, it is there now, and it will always be there. What is breaking our hearts is its current extent. We have to arrest the trend, otherwise we will perish in poverty. How could we possibly develop if almost all the wealth we produce is immediately stolen?

Zomba has put out points that seem to affect the loyal feelings of many towards Mwalimu. The truth, I dare say, needs to be told even when it is not so palatable. Let us try to use our minds, and not only our hearts, in understanding all the epochs of our national history.

AM,

SO far, no body has said here that Nyerere was Jesus or GOD as far as I can see. The case here is the whining about what Nyerere did or didnt do with reference to the current corruption and incompetence of our leaders.

How long should we keep whining about our alcoholic late father to justfy our drinking and immature habits?
 
Augustine Moshi,
Mwalimu failure to build strong ecomony as anticipated by many does not justify any of the claim made by Zomba _ UFISADI.
Issa Shivji in his essay - The Silent Class Struggle in Tanzania, observe that 'Ujamaa would suffer at the hands of state bureaucrats. Capitalising on the need to Africanize the economy, the bureaucrats would seek to use state power for self- enrichment.'
The fact is - It never found its way during Mwalimu era til...I can list the all cabinet where they used to live (government housing) and what assets they own... Prof. Shivji knows this for a fact.
But after Azimio la Zanzibar as Prof. Shevji observed, MAFISADI found their way in. Systematically bend the rules to suit and support their hunger for wealth, serving their exploitative interests while giving us lip services.....
Brother Augustine, huu ndio Ufisadi na sio Nyerere aliyekosa kitu cha kuuza kutokana na kutokuwa na uwezo.. Kidogo tulichopata tulikiona kikifanya kazi hata kama hazina ilifilisika.
It is a well known secret that when Mwinyi assumed the Presidency he found nothing at all in the treasury. This is a true. In fact, I personally heard Mwinyi narrate it in Harare, sometime in the early nineties. Now, what do you think, happened to all the money in the treassuty right before Mwalimu exited? Don't tell me that there was no money there because that would be a lie. I was living in Ottawa when Mwalimu visited Canada and the USA to bid farewell to those folks. We reliably learnt then that people in Mwalimu's entourage converted more than ninety thousand dollars worth of traveler's checks into cash, in one bank alone! I still wonder about how they managed to carry all that stuff home, as it was at that time a felony to be found in the possession of foreign funds.

Two request brother Moshi...
1. Would love to hear names of those involved...besides is that the only case you kinda pick on to judge the all system?
2. Finding treasury empty!...A well manufactured theory! mkuu abu nambie kama haya maneno kweli then how did they manage the budget when Mwinyi came to power!.. maanake NOTHING means hakuna kitu.
 
Guys why are we living in yesterday? That is gone we have no control over..but we do have a control of whats going on today. Enzi za Nyerere, and Mwinyi na first term ya Mkapa, mambo yalikuwa yanafanyika kwa siri sana, don't get me wrong bado kuna usiri mkubwa sana katika sehemu nyeti lakini mambo yamebadilika. Magazeti yana uhuru kidogo wa kukemea maovu na hata kuandika maovu ya serikali, na mtandao ndio kabisaa umetake mawasiliano to the next level. Hebu fikiria enzi za Mwinyi ama Mkapa first term..ungepata wapi hizi pdf za mikataba mibovu ya Richmond, IPTL, BOT na kadhalika?
Tusitetee ufisadi kwa kusema ulianza siku nyingi...Yes, but then those few who enriched themselves got a pass, should we continue to give them a pass today?..heck no! Ndio maana katika gari lolote lile, a rear view mirror ni ndogo kulinganisha na kioo cha mbele. Why? Kwa sababu the past doesn't matter. The future..where your going matters not where you are coming from. Kwa hiyo basi, tuangalie ni nini kimetokea kuhusu fedha za BoT (mwaka 2005 to current) and not what happened in the 80's. Tupige kelele tukemee hii tabia ya viongozi corrupt kujichulia resources za wananchi kwa manufaa yao wakati mamilioni wanaendelea kudoda kwenye umasikini wa kupindukia. Tu demand accountability na hata ikiwezekana tuwazomee na kuwapiga mawe. Tusi-justify tabia ya mtoto kuwa jambazi sugu ukubwani eti kwa sababu alipokuwa mtoto alikuwa anaiba sukari.
 
Back
Top Bottom