Guys why are we living in yesterday? That is gone we have no control over..but we do have a control of whats going on today. Enzi za Nyerere, and Mwinyi na first term ya Mkapa, mambo yalikuwa yanafanyika kwa siri sana, don't get me wrong bado kuna usiri mkubwa sana katika sehemu nyeti lakini mambo yamebadilika. Magazeti yana uhuru kidogo wa kukemea maovu na hata kuandika maovu ya serikali, na mtandao ndio kabisaa umetake mawasiliano to the next level. Hebu fikiria enzi za Mwinyi ama Mkapa first term..ungepata wapi hizi pdf za mikataba mibovu ya Richmond, IPTL, BOT na kadhalika?
Tusitetee ufisadi kwa kusema ulianza siku nyingi...Yes, but then those few who enriched themselves got a pass, should we continue to give them a pass today?..heck no! Ndio maana katika gari lolote lile, a rear view mirror ni ndogo kulinganisha na kioo cha mbele. Why? Kwa sababu the past doesn't matter. The future..where your going matters not where you are coming from. Kwa hiyo basi, tuangalie ni nini kimetokea kuhusu fedha za BoT (mwaka 2005 to current) and not what happened in the 80's. Tupige kelele tukemee hii tabia ya viongozi corrupt kujichulia resources za wananchi kwa manufaa yao wakati mamilioni wanaendelea kudoda kwenye umasikini wa kupindukia. Tu demand accountability na hata ikiwezekana tuwazomee na kuwapiga mawe. Tusi-justify tabia ya mtoto kuwa jambazi sugu ukubwani eti kwa sababu alipokuwa mtoto alikuwa anaiba sukari.