Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

Haya makundi ya isis wame create wenyewe na wanawapa silaha, tumeona ndege za American zikiangusha silaha huko majagwani, hata miripuko ya ufaransa wame fanya wenyewe kwa ku sacrify watu Wao ili waweze kutimiza haja zao.

Hiki unachieleza ndiobukweli na uhalisia wa makundi mengi na kulitambua hilo linahitajia akili yenye kufikiri kwa uhuru sio hizi akili zetu zilizojazwa propaganda na zenye ushabiki bila kupima. Watu wengi hawafikiri kwa akili zao( fikra huru) bali wanatumia akili za wengine na misukumo ya propaganda .
 
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma

Hebu jiulize umekaa na waislamu wa ngapi na wamekusaidia wangapi ambao ni waislamu!??acha fikra MGANDO ifnye akili yko KUFIKIRIA jpo kwa sekunde ukweli wa kauli yko!!!Thats iz NONSENSE/MISSENSE!!
 
Mleta mada bila shaka inaonekana una ndugu yako ambae yuko huko raqqa syria kwa magaidi wenzake, kwa ushauri tu mwambie ajisalimishe mapema sababu jana UN imetoa idhini ya kila gaidi duniani auawe.

Hivi maana ya "Gaidi" ni nn???na kwnn mwislamu ndio gaidi tu???.Je,na watu km Mkapa hawakupaswa kuitwa magaidi walioosemekna kuwauwa wazanzibar.
 
Watu mnashabikia wafaransa ni waume zenu? Wafaransa ni wavamizi wa Libya na Syria. Kwanini wasingewaacha walibya na wasyria wayamalize wenyewe? Halafu tangu lini ndege za kiivita zikachagua magaidi tu na kuwaacha wananchi wa kawaida. Tukubaliane tu kuwa hawatuthamini
 
Sio jambo jema kushabikia vifo vya binadamu wenzako sababu tu ya din ambayo sio kiungo cha mwili labda ulizaliwa nacho umeikuta tu,lakin makundi ya kigaidi yanapswa kujua kuwa yanawaponza waislam wasio na hatia, wazungu sio watu wa kuchezea unalipiza kisasi kwa kuua watu hamsin wao wanakuja wanaangamiza watu mia tano,na huwezi jua inawezekana pia wanatumia silaha za kibailojia sema havisemwi tu.
 
Walibya walihadaiwa na wasyria wakahadaiwa. Sijui walidhani huyu mzungu anawapenda. Hebu ona mateso wanayoyapata sasa
 
Uislam ni tatizo duniani nini kifanyike

We labda toa wazo kipi kifanyike ..undu.. let's make reasonable points guys tusiongee ili uonekane na wewe umeongea
 
Watu mnashabikia wafaransa ni waume zenu? Wafaransa ni wavamizi wa Libya na Syria. Kwanini wasingewaacha walibya na wasyria wayamalize wenyewe? Halafu tangu lini ndege za kiivita zikachagua magaidi tu na kuwaacha wananchi wa kawaida. Tukubaliane tu kuwa hawatuthamini

hili ni wazo la busara! tuwaache wafaransa na wasyria wamalizane wenyewe, na sisi tuangalie yetu, tuendelee kuisoma namba
 
tatizo ni kwamba france imeua mpaka raia wasio na hatia

Kwani wafaransa hao waliouliwa na isis walikuwa na hatia? Unaporevenge nia na madhumuni ni kumuumiza muhusika directly kwa watu wake, ata kama hautampata yeye ila ukifanikiwa kuwapata wake zao watoto wao ndio maumivu na machungu yanawapata na iyo inakuwa ni sweet revenge....
 
boko haram, al qaida, alshabab, janja wid, Hezbollah,Isis,n.k tumuulize nani jamaniiii! Hawa wote wakishaua! Wananyanyua msahafu juu then Allah whak bar!!!! Kweeeeeli??? Mhhh!!!
 
Ulitaka watumie nini? Maisha ya magaidi hayana thamani wanaua na kujiua wao wenyewe hivyo ukiweka troops on the ground Ni kama Kazi bure na FYI troops on the ground ni gharama kuliko matumizi ya ndege.

kwahiyo unapoona wanauliwa watoto,wakina mama na wazee kwako wewe furaha kubwa?sindio? lkn juwa kwamba Mwenyezi Mungu yupo pamoja nao,inshallah ipo cku atawaangamiza wote wanaofanya hivyo
 
Back
Top Bottom