Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

Basi usiseme hivyo ukidhani labda kwa ukafiri wako SHAYTWAAN anakupenda au labda kwa weusi wako basi wazungu wanakupenda pia!

Haijalishi rangi. Kuna wengine wanatwangwa na Kenya/AMISOM hapo Somalia na ninaunga mkono sana tu. Gaidi na apigwe tu.
 
Haya makundi ya isis wame create wenyewe na wanawapa silaha, tumeona ndege za American zikiangusha silaha huko majagwani, hata miripuko ya ufaransa wame fanya wenyewe kwa ku sacrify watu Wao ili waweze kutimiza haja zao.

Punguza hisia na ongea kwa facts. Ufaransa haijafikia.hatua hiyo ya kishetani ya kuua raia wake. Kubali katika uislam kuna kitu kilicho na tatizo hasa katika mafunzo yenu
 
well said, Isis imeshakuwa janga la kidunia, kama mtoa mada angekuwa kwenye viatu vya wafaransa angefanyaje? wakati ufaransa wanaenda Syria tayari ulishakuwepo umwagaji damu( sio kwamba umeletwa na wafaransa) naomba mtoa mada atusaidie kuwa hao Isis wanapochinja watu(waislamu wakiwemo) wanataka kuachieve nini

Tatizo naloliona mm nikuwa marekani na washirika wake walidhohofisha utawala Wa nchi za kiarabu kwa kusema wanadai democracy hali kwamba sio lazima mfumo unao fanya kazi sehem x utafanikiwa pia sehem y. Wale viongozi wa mwazo wanchi za kiarabu walikuwa wanadhibiti hivi vikundi mapema kabla havija stawi.
Kwasasa ningumu sana hususani kwanamna wanayo itumia, labda watengeneze ushirikiano kwa maana wazipe nguvu serikali za huko.
 
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma

We binti gimanini,

Wewe inaonekana unatumia ubongo wa kuku kufikiri, au unatumia "masaburi"

Teh teh teh!

Hivi wale magaidi wa Ireland waliokua wakiua Wazungu wenzao walikua Waislam?, na wale Shangazi Baraka nao ni Waislam?

Hao wote ni Wakristo na magaidi wauwaji wakubwa!

Uenda HABARI hizi hukuzifahamu hapo kabla, na sasa zimekushtua mno! Teh teh teh!

Viumbe kama nyinyi mmejaa chuki na mmeficha mengi sana vifuani mwenu kiasi mkaja dondoka na kufa kwa kulishwa mambo msio na ufahamu nayo!

Ni yote ni kwa sababu una ubongo wa kuku kichwani mwako, mabwana zako watakutumia sana mithili ya "toilet paper"
 
Last edited by a moderator:
mtoa post!
-->>umeshashuhudia jihad-John akiwachinja wanaadamu kama kuku?

Inaonekana wewe ni mgeni na majambo haya!

Kuna wakina John huko Africa ya magharibi wanaitwa Aunt Baraka, kazi yao ni kuuwa!

Hilo ni kundi la kigaidi hapa hapa Africa!

Hata huko Ulaya yapo!
 
Bado watu tuna utumwa wa kikoloni na tunafikilia kwa kutumia akili za wengine.
Na mbaya zaidi hatuambiwi mambo kwa historia sahihi bali mambo mengi tunayajua baada ya kuwa yameshatengenezwa na yametoa matokeo yaliyo kusudiwa ndipo na ss humezeshwa fikra kulingana na wao wanavotaka ufikilie. Isis historia yake iliundwa na haohao wanaoipiga vita kwa manufaa yao ambayo hatuwezi kuelezwa wazi ila baada ya kuona hawafikii kile walichokusudia na hawawezi tena kuimonitor wakaipa sura nyingine na kuitangaza ni adui wa dunia lkn hayo hatuwezi kuyajua kwakuwa ni mambo yanaendeshwa na wanaofikilia kwa ajili yetu na sisi tukawa speaker tu bila kuchuja tunachoongea
Ukitaka kujua ukweli wa kitu kichunguze kuanzia asili yake sio zao lake tu
 
Hapana...haya ni mauaji ya kinyama na chuki tu.
Tunajua ufaransa imepigwa..na pole yao..sasa jiulize jee kuna msyria katika hao magaidi ?
Jee hao isis wanatoka wapi ? Ni wasyria?
Ukweli hakuna raia wa syria ambaye ni gaidi. Syria ni taifa lilojengwa kwa misingi ya utaifa mbele na uzalendo. Ni taifa lililoengwa kwa misingi ya kisasa na elimu. Sio taifa lilojengwa kwa imani kali.
Isis sio raia wa Syria . Isis wanatoka ulaya wanatoka France
Belgium
German
UK.
Chechenia
Tunisia
Libya kwa mssada wa france.
Saudi
Australia.
Raia wa huko ndio walosafiri kwenda syria kusimika utawala wa kiimla kwa msaada wa nchi zao.
Sasa kwenda kuua watoto
Kuua wanawake
Kuua wazee kwa kisa cha isis ni makosa ya kivita.
Na kusema kuwa sawa france wana haki ya kwenda syria kuua ukweli sasa dunia imekua kichaa na watu wote ni vichaa na wendawazimu..scavengers

Akili za viroba zinapokuwa kazini kuulazimisha uongo
 
Inaonekana wewe ni mgeni na majambo haya!

Kuna wakina John huko Africa ya magharibi wanaitwa Aunt Baraka, kazi yao ni kuuwa!

Hilo ni kundi la kigaidi hapa hapa Africa!

Hata huko Ulaya yapo!

Nadhan huelew nini maana ya ant baraka na malengo yao... Nakuomba tu usje sema na panya road ni kikundi cha kigaid..
Jua kutofautisha kukundi cha kihalifi na kigaid
 
Killing one ISIS members is actually creating 100 new members. The innocent people who get killed at this time creates extremism to relatives who later decide to join IS
 
ubabe wa marekani na washirika juu ya Somalia,Iraq na Libya ni moja ya sababu za kushamiri ugaidi..
ubabe wa CCM bara na Zanzibar
ni moja ya sababu ya kukandamizwa haki Tanzania..
tunahubiri amani na upendo tunanajisi haki.
ole wao..
 
Si bora mngekuwa mkiwakamata watu mnawapa test ya hesabu kama20x20 akishindwa kujibu achinjwe ili duniani watu wasio na akili kama wewe mtoa mada waishe.siyo mnawakamata watu na kuwaauliza eti mama yake mtume nani akishindwa jibu mnamchinja.ina maana mungu mwenyewe aliyemuacha aishi ni mjinga?wengine ni wakristo hata mama yake yesu hawamjui sembuse mama yake mtume?tuacheni mambo haya bwana tuiashi kwa upendo
 
Wapigwe tu kwani magaidi wote ni waislam ila waislam wote si magaidi.mwislamu hafai kbs hapa duniani. ni wa kuogopwa kama ukoma

UGAIDI. UMEANZISHWA NA WAZUNGU WENYEWE
UGAIDI UMEANZISHWA NA KANISA KATOLIKI

RUDI DARASANI USOME UJUE


UNAPOKIDHAMIN KIKUNDI UNAKIPA MAFUNZO HARAMU NA SILAA KIKIKUBUHU UNAANZA NGEMBE MSIUCHAFUE UISLAM
ISIS INAUNDWA NA IZRAEL NA united states
 
Back
Top Bottom