kwahiyo unapoona wanauliwa watoto,wakina mama na wazee kwako wewe furaha kubwa?sindio? lkn juwa kwamba Mwenyezi Mungu yupo pamoja nao,inshallah ipo cku atawaangamiza wote wanaofanya hivyo
UFARANSA WANAUA WATU SYRIA DUNIA IMEKAA KIMYA!
Ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake, zinafanya mashambulizi ya maana nchini Syria, katika kile kinachodaiwa kulipiza kisasi kwa kundi la ISIS linalodaiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea katika maeneo sita tofauti nchini Ufaransa.
Mashambulizi ya ndege za kivita za Ufaransa na washirika wake ambayo hayana tofauti na yale yanayoitwa "mashambulizi ya kigaidi", yanagharimu maisha ya wasio na chembe ya hatia, tumeshuhudia watoto wadogo wakiuawa mithili ya dagaa, watu wazima, wanawake na makundi mengine yasiyo na hatia wanakatizwa maisha yao kama vile ni kunguni hawana thamani yeyote ya kuishi ulimwenguni!
Waswahili wanasema "vita haina macho", naam, maana kinachotokea nchini Syria katika vita ya Ufaransa na washirika wake dhini ISIS inagharimu maisha ya mamia ya wasiokuwa na hatia, najiuliza hivi viko wapi vyombo vya habari vya Kimataifa? Mbona kimya? Sijui hawauoni huu UGAIDI wanaofanyiwa wananchi wa Syria kwa mgongo wa ISIS?
Yako wapi matamko ya Jumuiya za Kimataifa? Umoja wa Mataifa wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachotokea! Wako wapi wamiliki wa mtandao wa 'facebook' wa kutushawishi kubadili 'profile pictures' zetu ili kuwaombea watu wa Syria?
Ufaransa na washirika wake wanafanya 'mijishambulizi' iliyovuka kiwango nchini Syria, dunia imekaa kimya! Yalipotokea Ufaransa dunia nzima ilihamia Paris, matamko ya kulaani yalitolewa kila pembe ya dunia, watu wakabadilisha 'profile' zao eti kuonesha kuguswa na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Paris, Ufaransa!
Inakadiriwa watu 159 walipoteza maisha katika mashambulizi ya Paris, lakini idadi ya wanaoendelea kufa nchini Syria kwa mashambulizi hayo hayo ya kigaidi yanayofanywa na 'wazungu' imevuka hiyo ya Ufaransa, dunia imekaa kimya! Wanataka kutuaminisha kuwa damu ya mzungu thamani yake ni kubwa mno ukilinganisha na damu ya wasiokuwa wazungu?
Mwenyezi Mungu ndiye pekee mwenye kusimamia haki!
Nawasilisha.
Ally Mohammed,
Zanzibar,
Tanzania,
Email : allymohammed01@gmail.com,
Simu ya mkononi : + 255 655 572 594,
Simu ya mezani : + 255 732 940 023.
Basi usiseme hivyo ukidhani labda kwa ukafiri wako SHAYTWAAN anakupenda au labda kwa weusi wako basi wazungu wanakupenda pia!
Inaonekana wewe ni mgeni na majambo haya!
Kuna wakina John huko Africa ya magharibi wanaitwa Aunt Baraka, kazi yao ni kuuwa!
Hilo ni kundi la kigaidi hapa hapa Africa!
Hata huko Ulaya yapo!
Si bora mngekuwa mkiwakamata watu mnawapa test ya hesabu kama20x20 akishindwa kujibu achinjwe ili duniani watu wasio na akili kama wewe mtoa mada waishe.siyo mnawakamata watu na kuwaauliza eti mama yake mtume nani akishindwa jibu mnamchinja.ina maana mungu mwenyewe aliyemuacha aishi ni mjinga?wengine ni wakristo hata mama yake yesu hawamjui sembuse mama yake mtume?tuacheni mambo haya bwana tuiashi kwa upendo
tatizo ni kwamba france imeua mpaka raia wasio na hatia
UGAIDI. UMEANZISHWA NA WAZUNGU WENYEWE
UGAIDI UMEANZISHWA NA KANISA KATOLIKI
RUDI DARASANI USOME UJUE
UNAPOKIDHAMIN KIKUNDI UNAKIPA MAFUNZO HARAMU NA SILAA KIKIKUBUHU UNAANZA NGEMBE MSIUCHAFUE UISLAM
ISIS INAUNDWA NA IZRAEL NA united states
UGAIDI. UMEANZISHWA NA WAZUNGU WENYEWE
UGAIDI UMEANZISHWA NA KANISA KATOLIKI
RUDI DARASANI USOME UJUE
UNAPOKIDHAMIN KIKUNDI UNAKIPA MAFUNZO HARAMU NA SILAA KIKIKUBUHU UNAANZA NGEMBE MSIUCHAFUE UISLAM
ISIS INAUNDWA NA IZRAEL NA united states
hapana ni mkundu wakoooooooooooooooohojamavi,hivi unaweza kutengeneza kikundi cha uhalifu mahsus kwaajili ya kukuvamia kwenye familia yako,sio nyie kwenye maandishi yenu mmeahidiwa ukiuawa kwaaajili ya uislam kuna mabikra 74 pamoja na sahani 200 za ubwabwa,zinakusubiri, au sio nyie mnao hukumu waislam wenzenu kwa kuwaponda mawe? Sasa anaeuchafua uislam ni us hapo au liktabu lenu ?
Hojamavi,hivi unaweza kutengeneza kikundi cha uhalifu mahsus kwaajili ya kukuvamia kwenye familia yako,sio nyie kwenye maandishi yenu mmeahidiwa ukiuawa kwaaajili ya uislam kuna mabikra 74 pamoja na sahani 200 za ubwabwa,zinakusubiri, au sio nyie mnao hukumu waislam wenzenu kwa kuwaponda mawe? Sasa anaeuchafua uislam ni us hapo au liktabu lenu ?