Ufahamu UKIMWI wa kulogewa

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,140
Reaction score
10,857
Pengine ukiongea na mtu kuhusu nguvu za uchawi, atakujibu kwa mkato, "Siamini mambo hayo".
Lakini ukweli ni kwamba nguvu za uchawi zipo na zinafanya kazi na pia zinapoelekezwa kwako ni lazima zitakudhuru kama huna NGUVU ya kuzizidi ambayo ni NGUVU za KIROHO.

Kwa mujibu ya mada hii, uko ulozi wa kushambulia na kudhoofisha afya na kinga ya mwili wako ambao usiposhughulikiwa ni lazima ukupeleke kaburini.

Ulozi huu pamoja na mambo mengine hutumia kwa kulogewa aina tatu za majini ambayo ni, Jini Muba (linaloshughulika na maradhi ya kuambukiza), Jini Balishebe (linaloshughulikia magonjwa yasiyopona) na Jini Aherumi (linaloleta homa za mara kwa mara).

Ukiologewa majini hayo na Jina lako kuwekwa katika sanda na kufukiwa makaburini, kinachofuata na ni mwili kudhoofika, magonjwa ya mara kwa mara na hatimaye kifo kama hujachukua hatua haraka.

Kwa wale wenye dalili za maradhi mazito na yasiyoeleweka, ni vizuri MNAPOSALI na/au KUOMBEWA, muyakembee majini hayo tena kwa majina yao.

Elimu ni Bahari.
 
Sasa mlishindwa nini kumloga mjerumani aliyeitawala nchi yetu na kuwanyonga mababu zetu? Bogus..!
 
Mimi natafuta mtu aniloge.

Nishindwe kuja JF kesho. Kwa sababu ya vipele vya vidole vyote.

Zawadi nono itatolewa.
We jamaa kiboko aisee...! Ila kweli, kesho ushindwe kubonye screen..
 
Kiranga hujaona mtu kalogwa?au hujui kuwa kuna watu wanalogana? Mimi siyo mshabiki lakini katika mazingira niliyoishi nimeyaona ktk familia, ndugu na majirani. Nguvu za giza zipo lakini haziwezi kushindana na nguvu za nuru.
 
Huu ndio ugonjwa uliomuua Sam wa ukweli.

RIP Sam. Tutakukumbuka daima milele
 
pamoja na ubish wangu wa kuamin kama uchawi upo niliokuaga nao kama wengne ila uliisha maana hii mimi nishaona
Kipid kile nlikuaga nasoma kile kitabu cha "uchawi wa mchungaji Stephano "jamaa alielezea kua ukimwi wa kurogwa Upo lkn hachukui mda yaan we unaugua ndan ya siku saba Na dalili zote za ngoma kisha kifo ka una mzungumzia Sam ile ngwemgwe OG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…