Ufahamu uchawi wa Sigil

Hapa niwe mkweli sijui kwa kweli ila naona imekaa kama ramli chonganishi

Jr[emoji769]

Vipi itakua ime nizuru mkuu, nime ikuta kitandani kabla sijalala nikaitoa


Sent using iphone
 
Du.Hii ya nyota ngoja niishike.ndo nilichombulia hapa leo.🤣🤣
 
Nadhani nimekujibu... Nimekwambia kojolea kisha mwagia chumvi na mafutaa halafu piga kibiriti
Haha Poa mkuu , ila uja nambia kama kuna nitapata tatizo kuona ilo karatasi


Sent using iphone

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…