Ufahamu uchawi wa Sigil

Je ni alama gani niwe nachanganya ili niwe najaza hela kwenye mabegi yangu matatu makubwa.....?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] anglia picha nilizoambatanisha
 
Je ni alama gani niwe nachanganya ili niwe najaza hela kwenye mabegi yangu matatu makubwa.....?
changanya fedha begi moja na la pili karatasi kisha uzilalie bila kukohoa kwa siku saba ukijafungua begi la karatasi nazo zitakuwa fedha anza leo.
 
Naomba maelekezo how to pm you nimejaribu nikachemsha japo zamani nilishafanya hivyo.
Click avatar yangu itatokea profile yangu na sehemu ya msg click tena hapo kisha fuata maelekezo
 
changanya fedha begi moja na la pili karatasi kisha uzilalie bila kukohoa kwa siku saba ukijafungua begi la karatasi nazo zitakuwa fedha anza leo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji124]
 
Mkuu mshana nimefuata hatua zote za kubuild a sigil lakin sasa hapo kwenye kuactivate /kuicharge hizi sigil naona inakuwa shida kidogo
Msaada hapo kama hautojali
 
Ndio maana sikutaka kabisa kuingia kwenye utengenezaji wake...hata hii law of attraction ni mule mule
Dah noma saaana huko youtube wa amerika na wazungu wana campaign saaana mambo za giza kwa kuficha codes chief.....yaani darker ballaaaa
 
Smart
 
Duh, hizi Elimu za masuala ya giza hapana jamani, sidhani kama tunazihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…