Ufahamu uchawi wa Sigil

hivi kwanini WACHAWI WANAKUWAGA MASKINI WA KUTUPWA..il hali wanaweza kufanya watakavyo kuhusu pesa....mfano wa kilokote...kukusanya pesa kwa njia yaa shirki.....sasa hizo pesa kwaninj wasijitajirishe,wao wanazama zaidi kwenye ufukare...???...
Uchawi wa kishamba ndio wa kimaskini ila ukichanganya namambo mengine ngoma inayotoka hapo ni hatari kimsingi wachawi wengi wanaofanya combination ni matajiri wakubwa ila huwezi kuwajua kwakuwa hawahitaji kukaa na mizigo ya makaratasi ya manoti, muda wowote wakati wowote mahali popote wakitaka chochote wanapata
 
Ningependa kukuuliza toka ujue haya mambo umefaidika nn na unajiandaaje na maisha baada ya kifo naamini ulikuwa na dini kabla ya haya mambo je hauamini juu ya Mungu?maana naskia hayo mambo yana mikataba hadi kuuza roho au kuna pepo ya kishetan?
 
Wchawi ni matajiri bana si maskini kama wengi wanavyodhani. Kama mtu angekuwa na uwezo wa kuwatambua wachawi wote duniani angeshangaa sana. Pia utajiri sio kuwa na mali tu, bali watu wanapenda kuwa na uwezo wa kufanya lolote analotaka. Ndio maana unaweza ona wengine ni maskini ila yy anahivunia kuwa na uwezo wa kupata milioni muda wowote anapoihitaji
 
Hakuna "dini ya Kiarabu" ewe punguani. Dini ni ya Mwenyeezi Mungu tu unless uwe hujuwi maana ya neno "dini".

Halafu huko ulikuwa kopi na ku pesti umeshindwa kabisa kuitafsiri hiyo mada. Mengi sana humu unadanganya.

Ntarudi.
 
Hapa kidogo naona kuna mushkeri hainiingii akilini.
 
Jaribu Google search direct
eg, nimeset my intent ni health, so nikiandika am healthy, nikairudia kuandika mara nyiingi kisha nikaitolea vowels nikairudia hadi ikawa alama flan hivi kisha nikaichoma. Je hapo ni ushetani? maana ndio sigil niiongeleayo mie.
 
Hakuna "dini ya Kiarabu" ewe punguani. Dini ni ya Mwenyeezi Mungu tu unless uwe hujuwi maana ya neno "dini".

Halafu huko ulikuwa kopi na ku pesti umeshindwa kabisa kuitafsiri hiyo mada. Mengi sana humu unadanganya.

Ntarudi.
kwan unaenda wapi....?
 
Ningependa kukuuliza toka ujue haya mambo umefaidika nn na unajiandaaje na maisha baada ya kifo naamini ulikuwa na dini kabla ya haya mambo je hauamini juu ya Mungu?maana naskia hayo mambo yana mikataba hadi kuuza roho au kuna pepo ya kishetan?

Hajui lolote huyo ni kopi na pesti. Google signal magic uielewe ni nini.
kwan unaenda wapi....?

Mada zingine.
 
Hizo ndio alama muhimu(sigilis) kwenye kutengeneza roho zenye nguvu kwenye ulimwengu wa giza...ni alama hizo ambazo hutengenezewa formulas na kuleta matukio na matokeo yanayotakikana

Mshana jnr wewe naamini kabisa siyo mchawi ila unaelimisha jamii kutambua upande wa pili wa dunia nahitaji kuwasiliana na wewe nje ya hapa sebuleni nifanyeje?
 
Mshana jr acha hayo mavitu mwanangu mrudie Muumba ipo siku hayo majini yatakuja kukuchenjia ukaona dunia mbaya, najua yapo kwenye damu lakini jitahidi tu!
Mkuu nimeipenda signature yako.
 
Mshana jnr wewe naamini kabisa siyo mchawi ila unaelimisha jamii kutambua upande wa pili wa dunia nahitaji kuwasiliana na wewe nje ya hapa sebuleni nifanyeje?
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nilikuwa offline...karibu pm tafadhali
 
eg, nimeset my intent ni health, so nikiandika am healthy, nikairudia kuandika mara nyiingi kisha nikaitolea vowels nikairudia hadi ikawa alama flan hivi kisha nikaichoma. Je hapo ni ushetani? maana ndio sigil niiongeleayo mie.
Kitu chochote kisicho na mahusiano na Mungu kama hicho jua kina mushkeli kwakuwa hapo humuombi Mungu bali unatengeneza chako mwenyewe
 
sijaelewa chochote kwenye hzo sigil.......nifafanulieni wadau....
Sigil ni aina fulani ya alama ambazo ukizichanganya katika mfumo fulani hukupa matokeo unayotaka kutokana na shida yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…