Ufahamu uchawi wa Sigil

wewe mshana acha kufundisha watu uchawi utaangamia wewe, kwa andiko lako hili unaweza ukawa historia
 
Hua ana kuja dada wa kazi na kusepa lakini haingii chumbani


Sent using iphone
 
Huyo ndio wa kuanza naye... Trust me huyo kuna kitu anajua... Uchawi wa kileo uko so weak kuweza kupenyeza vitu kama hivyo chumbani bila kufungua milango
BTW huyo HG kama kakuonesha dalili na wewe mzee mzima unajifanya hujiongezi she can play with your mind
Hua ana kuja dada wa kazi na kusepa lakini haingii chumbani


Sent using iphone

Jr[emoji769]
 

Haha salute chief umepiga mule mule, japo mtoto mashaallah ila siwezi piga ntajivunjia heshima ukweni, ngoja nione kama nitalogeka nita leta mrejesho


Sent using iphone
 
Usi under estimate nguvu ya mwanamke
Haha salute chief umepiga mule mule, japo mtoto mashaallah ila siwezi piga ntajivunjia heshima ukweni, ngoja nione kama nitalogeka nita leta mrejesho


Sent using iphone

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr.at his best.Natamani kweli kukuona not only as Mshana,but as a Pare who has decided to be a distinguished servant of the devil.
 
roho zenye nguvu kwenye ulimwengu wa gizaa? we mshana sasa umenishindaa nimerudisha mpira kwa goli kipaa
Hizo ndio alama muhimu(sigilis) kwenye kutengeneza roho zenye nguvu kwenye ulimwengu wa giza...ni alama hizo ambazo hutengenezewa formulas na kuleta matukio na matokeo yanayotakikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…